Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

MKUU WA WILAYA YA UBUNGO AWATULIZA MADEREVA DALADALA WA SIMU 2000

$
0
0
 Mkuu wa Wilaya ya Ubungo ,Kisare Makoli akielekea  kwenye kituo cha daladala cha simu 2000 mara baada ya madereva wa Daladala kupinga tozo ya shilingi 1000 kama Ushuru wa magari ambapo awali walikuwa wanalipa shilingi 1000
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo ,Kisare Makoli, akizungumza na Madereva Daladala waliopo katika eneo la Simu 2000 mara baada ya kuweka mgomo kupinga tozo ya Shilingi 1000 na kudai kuwa barabara hiyo ni mbovu

 Askari wa kikosi cha Kutuliza Ghasia wakiwa wanaimarisha ulinzi katika eneo la kituo cha Daladala cha Simu 2000

 Askari wa kikosi cha Kutuliza Ghasia wakiwa wanaimarisha ulinzi katika eneo la kituo cha Daladala cha Simu 2000
 Askari wa kikosi cha Kutuliza Ghasia wakiwa wanaimarisha ulinzi katika eneo la kituo cha Daladala cha Simu 2000

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles