MKURUGENZI:WAKULIMA TUMIENI RASILIMALI ZA NCHI KILIMO KILIMO CHA UMWAGILIAJI
PICHA: Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Ndg Methew J. Mtigumwe akisoma na kupata maelezo mbalimbali kuhusu ufanisi katika Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) mara baada ya kutembelea banda hilo wakati wa...
View ArticleWASANII WANOGESHA UWEKAJI JIWE LA MSINGI LA MRADI HOIMA HADI TANGA
Wasanii nyota wa muziki wa kizazi kipya wanaounda kundi la Tanzania All Stars wakijiandaa kupanda jukwaani kutumbuiza kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa bomba la mafuta ghafi toka...
View ArticleKAMPUNI YA NETWORK LTD YAZINDUA DROO KUBWA YA MILIONI 60
PICHANI:Mratibu wa Mawasiliano wa Tatu Mzuka, Sebastian Maganga akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo Pichani) kuhusiana na mchezo wa bahati nasibu ya Tatu Mzuka, wakati wa uzinduzi wa...
View ArticleWAFANYAKAZI WA TANESCO WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KAMPENI YA "KA...TA"
Mwenyekiti wa Kamati ya Majadiliano ya TUICO, Tawi la TANESCO, Bw. Hassan JM. Athumani, akizungumza wakati wa kutoa tamko la Wafanyakazi wa TANESCO kupitia chama chao cha TUICO kumpongeza Rais wa...
View ArticleTWA YAZINDUA MWONGOZO, USHAURI NA MAFUNZO KWA WANAWAKE AFRIKA
Rais taasisi isiyo ya serikali ya wanawake wenye mafanikio Tanzania (Tanzania Women of Achievement….TWA) Irene Kiwia (Kulia) akiongea na hadhara wakati wa kuzindua zana ya taasisi hiyo itakayotumika...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA WOMEN ADVANCING AFRICA (WAA)
Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu akizungumza kwenye kongamano la wanawake la Women Advancing Africa (WAA)lenye lengo la kutatua changamoto na kuendesha maendeleo ya kiuchumi Afrika jana,...
View ArticleTANDAHIMBA YAJIHIMARISHA KILIMO CHA KOROSHO, YAOMBA MAFUNZO ZAIDI
PICHANI: Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mkoani Mtwara, Sebastiana Waryuba, akifungua mafunzo kwa maofisa ugani wa wilaya hiyo leo yanayohusu jinsi ya kutumia sayansi na teknolojia katika kuboresha kilimo...
View ArticleMHANDISI MTIGUMWE AWASHUKURU WOTE WALIOSHIRIKI MAONESHO YA KILIMO NANE NANE...
PICHANI: Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi (Kilimo) Mhandisi Methew MtigumweNa Mathias Canal, Dar es salaamKatibu Mkuu Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi (Kilimo) Mhandisi Methew Mtigumwe...
View ArticleFANYA YAFUATAYO KABLA HUJAPANDA MLIMA KILIMANJARO
Na Jumia Travel TanzaniaHivi unajua kwamba binti wa miaka nane, Roxy Getter, kutokea Florida nchini Marekani amekuwa ni mwanamke wa kwanza mwenye umri mdogo zaidi kupanda mlima Kilimanjaro mpaka...
View ArticleWANANCHI MASASI WAILALAMIKIA KUKATIKA UMEME MARA KWA MARA
Na Dotto Mwaibale, MasasiWANANCHI wa Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara wamelilamikia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutokana na kuwakatia umeme mara kwa mara na kusabisha kuwaunguzia vifaa vyao vya...
View ArticleBODI YA BARABARA WAKUKAGUA MIRADI 3 YA BARABARA MANISPAA YA UBUNGO
Wajumbe wa bodi ya barabara inayoongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda wakikagua barabara ya Kifuru-Msigani ikiwa ni ziara ya kukagua miradi ya barabara inayotekelezwa na...
View ArticleEGYPTIAN PRESIDENT ABDEL FATTAH EL-SISI'S VISIT TO TANZANIA
The plane carrying Egyptian President Abdel Fattah El-Sisi touches down at the Julius Nyerere International Airport (JNIA) in Dar es Salaam in Tanzania ahead of his two-day official visit set to open a...
View ArticleSHAKA AINGIA PEMBA KWA KISHINDO
Na Mathias Canal, PembaKatibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka leo Agosti 15, 2017 amewasili Visiwani Pemba-Zanzibar kwa Ziara ya kikazi. Ambapo hii...
View ArticleMAANDALIZI YA IKUNGI ELIMU CUP 2017 YAPAMBA MOTO
Na Mathias Canal, Wazo Huru BlogMkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu Jana Agosti 16, 2017 ametembelea na kukagua uwanja utakaotumika kwa ajili ya Mashindano ya ligi ya mpira wa miguu...
View ArticleWAZIRI JENISTA, NAIBU WAZIRI DKT. KALEMANI WAZINDUA MRADI WA REA III WAKUGAWA...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Watu Wenye Ulemavu), Mhe.Jenista Mhagama, akikabidhi kifaa kijulikanacho kama umeme tayari(Ready Board) kikichobuniwa na...
View ArticleKUBENEA ZAIDI YA MILIONI 90 KUKARABATI SHULE ZA MSINGI KATA YA MAKUBURI
Mbunge wa Ubungo,Saed Kubenea akizungumza na Wanafunziwa Darasa la Tatu wa Shule ya Msingi Makuburi wakati alipokwenda kukagua ukarabati wa Madarasa wa shule hiyo unaotokana na mfuko wa jimbo na fedha...
View ArticleROLI LAPINDUKA NA KUACHA BARABARA ENEO LA KIMARA TEMEBONI
Roli la Mafuta likiwa limepinduka mara baada ya kuacha barabara ya Mororogo na kuanguka pembeni katika eneo la Kimara Temboni jijini Dar es Salaam leoRoli la Mafuta likiwa limepinduka mara baada ya...
View ArticleWASANII KUTOKA MTWARA KUPAMBA NDANDA DAY KESHO CHAMAZI.
Meneja Mkuu wa Masoko wa Mitsuni Group,Erhard Mlyansi amewaahidi Ndanda kuwapatia bidhaa zinazopatikana kutoka kampuni ya Sayona kwa ajili ya kuwapelekea wakinamama kwenye Wodi ya wazazi Temeke...
View ArticleSHEHENA YA MENO YA TEMBO YAKAMATWA MBEZI BEACH, JIJINI DAR
Waziri wa Maliasli na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe amesema serikali imefanikiwa kukamata jumla ya meno ya tembo 28 katika ghala moja lililopo Mbezi Beach jijini Dar es salaam, yenye uzito wa...
View ArticleIKUNGI KUTOKOMEZA UKEKETAJI, MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Mhe.Miraji Mtaturu (aliyesimama) amezindua mradi wa AWARE unaosimamiwa na Shirika la Stars of Power Rescue Foundation SPRF, la mkoani humo unaolenga kufanya...
View Article