KAMATI YA ULINZI NA USALAMA KILWA YATEMBELEA KISIWA CHA SONGO SONGO
Meneja Mradi wa kuchakata na kusafirisha Gesi katika Kisiwa cha Songo Songo, Andrew Hooper (kulia) kutoka Kampuni ya Pan African Energy akitoa maelezo mbele ya Kamati ya Ulinzi na Usalama inayoongozwa...
View ArticleMOTO WAATHIRI MIUNDOMBINU YA UMEME MKOANI RUKWA
NA MWANDISHI WA K-VIS BLOGWATU wasiojulikana wamechoma msitu wa Kirando wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa ambao umeunguza miundombinu ya umeme ya Shirika la umeme Nchini TANESCO.Kwa mujibu wa taarifa...
View ArticleSHUJAAZ WAWAFUNDA WAANDAAJI WA MASHINDANO YA EAST AFRICA CUP 2017
Mkuu wa utafiti wa Kampuni ya Well Told Story,Dkt Anastasia Mirzoyants akitoa maelezo kwa washiriki wa Warsha iliyoandaliwa na Mradi wa Shujaaz iliyofanyika Hotel ya Uhuru mjini Moshi.Baadhi ya...
View ArticleMBOWE AFUTURISHA MISIKITI MINNE JIMBONI KWAKE, ATUNUKIWA CHETI
PICHANI:Mbunge wa Jimbo la Hai,Freeman Mbowe akiwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya hiyo Helga Mchomvu wakati wa Futari ya pamoja iliyoandaliwa na Mbunge huyo katika miskiti minne tofauti.Na...
View ArticleWCF YAANDAA MAFUNZO YA SIKU TANO KWA MADAKTARI DAR ES SALAAM
PICHANI: Mkurugenzi Mkuu wa WCF, Bw. Masha Mshomba, akimkabidhi Dkt.Kezia, cheti cha ushiriki wa mafunzo ya tathmini ya ajali na majeraha kwa mfanyakazi aliyeumia wakati akitekeleza majukumu yake...
View ArticleSHEAKH MKUU WA TANZANIA ASHIRIKI FUTARI ILIYOANDALIWA NA BENKI YA AZANIA MOSHI
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakichukua Chakula wakati wa hafla fupi ya Futari iliyoandaliwa na Benki ya Azania na kufanyika ofisi za Bakwata mkoa wa Kilimanjaro.Sheakh Mkuu wa Tanzania ,Mufti Abubakary...
View ArticleWANAWAKE WA PENTEKOSTE WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA KUDUMISHA AMANI NCHINI
Naibu Katibu Mkuu wa Muungano wa Makanisa ya Pentekoste katika Tanzania wa Umoja wa Wanawake (UW-MMPT), Loveness Maiko akizungumza katika Kongamano la Kitaifa la Wanawake wa kanisa hilo la mwaka huu wa...
View ArticleMAMBO YA KUSTAAJIBISHA AMBAYO YANAPATIKANA TANZANIA
Na Jumia Travel TanzaniaInastaajabisha kuona watu wa mataifa ya nje wanajua vitu vingi zaidi vinavyopatikana Tanzania kuliko watanzania wenyewe. Sijui ni ile hulka ya kutopenda kufuatilia mambo au ni...
View ArticleWANAWAKE WAWEKA REKODI YA KUCHEZA SOKA KATIKA KILELE CHA KILIMANJARO
Kundi la Wanamichezo 60 wakiwemo wachezaji 30 wa timu za taifa za wanawake kutoka mataifa zaidi ya 20 walioshiriki kuweka rekodi ya kucheza soka katika eneo la kreta lililopo katika kilele cha Uhuru.Na...
View ArticleCUF KUIFIKISHA KORTINI WAKALA WA USAJILI, UFILISI NA UDHAMINI (RITA)
PICHA:Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi(CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu madai ya muendelezo wa hujuma dhidi ya chama hicho...
View ArticleKIRISHI YATAMBULISHA RASMI MRADI WA KILIMO KWA WANACHAMA WAKE
PICHA: Baadhi ya Wanachama wa KIRISHI wakiingia kwenye moja ya gari liliwapeleka katika mradi wa shamba lililopo Zinga, Bagamoyo jumapili asubuhi.Na Mwandishi Wetu, ImmamtukioUongozi wa ushirika wa...
View ArticleIDRIS SULTAN LANDS MAJOR PART IN HOLLYWOOD/EAST AFRICAN PRODUCTION
New York City - July 3rd, 2017 — After weeks of a closely guarded audition process, 2014 Big Brother Africa-Hotshots winner Idris Sultan is cast in the upcoming American motion picture ‘Ballin...On the...
View ArticleMAONESHO YA SABASABA 2017;MAMLAKA YA UDHIBITI WA UNUNUZI KATIKA SEKTA YA UMMA...
Meneja Usimamizi na Utawala wa Mifumo ya TEHAMA, wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi katika Sekta ya Umma (PPRA), Bw.Bernard Ntelya, (kulia), akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensehni wa PPF, Bw....
View ArticleMAONESHO YA SABASABA 2017; WAAJIRI NA WAFANYAKAZI WAJITOKEZA KWA WINGI BANDA...
Mkurugenzi wa Huduma za Tiba na Tathmini wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCD), Dkt. Abdulsalaam Omar, akimfafanulia mwananchi huyu aliyetembelea banda la Mfuko huo lililoko kwenye hema kubwa la...
View ArticleTEHAMA YAONGEZA UFANISI KITUO CHA MIKUTANO CHA ARUSHA (AICC)
Je unajua jinsi TEHAMA inavyoboresha utendaji kazi na utoaji wa huduma kwa umma katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC). Usikose kuangalia kipindi hiki
View ArticleNAIBU KATIBU MKUU CCM AIPONGEZA NMB KWA FANIKIWA ACCOUNT
PICHANI: Mkuu wa Kitengo cha 'Trade Finance' wa Benki ya NMB, Linda Teggisa akimweleza Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo kuhusu huduma mbalimbali ambazo zinatolewa na Benki ya NMB...
View ArticleMAONESHO YA SABASABA 2017: HUDUMA ZA PSPF NI "CHAP CHAP", AFISA WA POLISI ASEMA
Modesta Mchopa wa PSPF, (kulia), akimpatia taarifa za michango mwanachama wa Mfuko huo, Afisa wa polisi, E.M Peter, aliyefika kwenye banda la Mfuko huo leo Julai 5, 2017. Afisa huyo wa polisi amesifu...
View ArticleKAIMU JAJI MKUU, WAZIRI MWIJAGE WATEMBELEA BANDA LA WCF
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe.Profesa Ibrahim Hamisi Juma, (kushoto), akikaribishwa na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Fidia Kwa Wafanyakazi, (WCF), Bw. Sebera Fulgence, alipotembela banda...
View Article