MKURUGENZI MKUU WA LAPF ATEMBELEA MAONYESHO YA SABASABA
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Serika za Mitaa LAPF Bw. Eliudi Sanga akimsikiliza Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe wakati...
View ArticleRIPOTI YA HALI YA UTALII TANZANIA 2017 YAZINDULIWA
PICHANI: Meneja Mkaazi wa Kampuni ya Jumia Travel Tanzania, Fatema Dharsee, akizungumza katika hafla fupi ya uwasilishwaji wa Ripoti ya Utalii Tanzania kwa mwaka 2017 kutoka katika kampuni hiyo...
View ArticleMANISPAA YA UBUNGO KUANZA UJENZI WA BARABARA YA KWENDA SHULE YA SHERIA
PICHANI: Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi kayombo akielekeza jambo wakati wa ziara ya kikazi ya kutembelea na kukagua barabara ya Mawasiliano kuelekea Shule ya Sheria (Law school Of...
View ArticleBEI YA DAWA ZA SERIKALI YASHUKA NCHINI
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati akitoa taarifa ya kupungua kwa bei za dawa,...
View ArticleWAKAZI WA DAR WAFURIKA BANDA LA UBER NA KUJIUNGA
Wafanyakazi kampuni ya Uber Godfrey Mabula na Ibrahimu Kunguya wakitoa maelezo kwa wakazi wa Jiji la Dar es salaam waliofurika katika banda kujua jinsi Program ya Uber inayorahisisha usafiri wa kutumia...
View ArticleMAONESHO YA SABASABA 2017;FINCA MICROFINANCE BANK WANG'ARA KATIKA KUTUMIA...
Mfanyakazi wa Finca Microfinance Bank Bi ;Irene Kijangwa akimpa maelezo mteja aliyetembelea banda lao kuhusu hatua jinsi ya kufungua akaunti za Finca .mapema jana katika maonesho ya sabasaba Jijini Dar...
View ArticleMWIGULU MGENI RASMI MKUTANO WA KULIOMBEA TAIFA JIJINI D'SALAAM
PICHANI: Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya maombi ya shukrani kitaifa na kuiombea nchi na Rais Dk. John Magufuli , Askofu Mkuu wa Naoith Pentekoste Church, Dk.David Mwasota (katikati), akizungumza...
View ArticleBALOZI DK.PINDI CHANA NA MWENYEKITI WA BODI YA WADHAMINI WA LAPF WATEMMBELEA...
Balozi wa Tanzania Nchini Kenya Dr. Pindi Chana akisalimiana na Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe alipotembelea banda la LAPF katika maonyesho...
View Article'CASTLE LITE UNLOCKS' YASISITIZA WASHIRIKI KUJIANDIKISHA KATIKA TAMASHA LA...
PICHANI: Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Idara ya Kuunganisha Wateja Afrika Mashariki, George Kavishe (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu...
View ArticleTIGO, RITA, UNICEF NA GSMA WASHIRIKIANA KUSAJILI VYETI VYA WATOTO NCHINI
PICHANI: Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Kampuni ya Millicom, Mohamed Dabour (katikati), akimkabidhi cheti cha kuzaliwa mmoja wa akina mama aliyempeleka mtoto wake kumsajili katika Hospitali ya Rufaa ya...
View ArticleJAMII MEDIA, CIPESA WAKUTANISHA WADAU WA TECHNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO
Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media, Maxence Mello (wa pili kulia) akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kumalizika kwa kongamano la wadau wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT) nchini...
View ArticleVIONGOZI WA DINI WATAKIWA KUMSAIDIA RAIS MAGUFULI KULILETEA MAENDELEO
PICHANI: Muhubiri wa kimataifa 'Mama Afrika' Dk.Nicku Kyungu akihubiri katika kongamano la kitaifa la viongozi wa dini lililofanyika Kanisa la Naoith Pentekoste Church Makuburi Ubungo jijini Dar es...
View ArticleJUMIA MIONGONI MWA MAKAMPUNI 50 YA KITEKNOLOJIA DUNIANI
Na Jumia Travel TanzaniaJumia kwa mara ya pili mfululizo imeorodheshwa na Taasisi ya Kiteknolojia ya Massachusetts (MIT) ya nchini Marekani kuwa ni miongoni mwa makampuni 50 bora yanayotumia teknolojia...
View ArticleWANANCHI WA KUZENZA, MWANZA WAGOMBEA NYAMA YA FISI
Na Jovin Mihambi, MwanzaBAADHI ya wananchi waishio katika Mtaa wa Kuzenza, Kata ya Butimba wilayani Nyamagana katika hali isiyo ya kawaida wameonekana wakigombania nyama ya fisi ambayo iligongwa na...
View ArticleJUMIA TRAVEL YAUNGANISHA MFUMO WA HUDUMA KWA WATEJA NA FACEBOOK MESSENGER
PICHANI: Kampuni inayoongoza kwa uwakala wa huduma za kusafiri mtandaoni Afrika, Jumia Travel imezindua mfumo mpya wa huduma kwa wateja kupitia ‘Facebook Messenger’ kwa kushirikiana na Salesforce...
View Article