WINGI WA ABIRIA WALAZIMU FLYDUBAI KUONGEZA SAFARI TANZANI
· Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro sasa ni kituo cha tatu nchini Tanzania na cha kumi na mbili miongoni mwa vituo vyote vya flydubai barani Afrika· Huduma hii mpya yaongeza safari za ndege toka Dubai...
View ArticleKAIMU MKURUGENZI MTENDAJI WA TANESCO AWAHAKIKISHIA WATANZANIA MRADI WA...
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Dkt. Tito E. Mwinuka (katikati), akiongozana na Meneja wa mradi wa upanuzi wa Kinyerezi I, Mhandisi Simon Jilima,(kushoto) na Meneja Mwandamizi wa Miradi wa...
View ArticleHAYA NI BAADHI YA MAENEO YA KITALII JIJINI DAR ES SALAAM
Na Jumia Travel TanzaniaUmaarufu wa Dar es Salaam kwenye shughuli za kibiashara umelifanya jiji hili kuwa vigumu kwa watu kuvizingatia vivutio vyake vya kitalii. Watu wengi huvifahamu kwa kuviona tu...
View ArticleWCF YATOA MUONGOZO WA TATHMINI YA UGONJWA NA AJALI KWA MADAKTARI
Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Bw. Emmanuel Humba, akifungua mafunzo ya siku tano kwa madaktari 70 kutoka hospitali 35 za umma na binafsi jijini Dar es Salaam...
View ArticleMWENYEKITI WA HALMASHAURI YA HAI ASHIKILIWA NA POLISI KWA SAA TANO BAADA YA...
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Hai,Hela Mchomvu (Kulia) akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya wilaya ya Hai kwa ajili kuongoza kikao cha baraza hilo.Kulia kwake ni Mkurugenzi wa...
View ArticleNGULI WA TIMU ZA TAIFA ZA WANAWAKE DUNIANI KUCHEZA MECHI KATIKA KRETA YA...
Baadhi ya wapagazi Zaidi ya 300 wakijiandaa kwa ajili ya safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro katika Lango la Lemosho kusindikiza ugeni wa kund la wanamichezo 60 wakiwemo wachezaji 30 wa timu za taifa...
View ArticleHALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
 Afisa Utumishi Mkuu Ally Juma Ally (Kushoto) akisikiliza maswali mbalimbali ya watumishi wa Manispaa ya Ubungo wakati wa kikao cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma. Kushoto kwake ni Yamo...
View ArticleWANAWAKE WAMUOMBA RAIS MAGUFULI KUTEMBELEA MASOKO KUJIONEA MIUNDOMBINU
PICHANI: Ofisa Mradi wa 'Mpe Riziki Si Matusi' kutoka Shirika la Equality for Growth (EfG), Suzan Sita (kulia), akitoa mada katika Warsha ya Siku tatu ya kuwajengea uwezo viongozi wa Umoja wa Wanawake...
View ArticleMWALIMU COMMERCIAL BANK (MCB) YAFANYA MKUTANO WAKE WA KWANZA WA WANAHISA
NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidBENKI ya Walimu, (Mwalimu Commercial Bank Plc-MCB)), iko mbioni kuanzisha huduma ya uwakala wa benki ambapo itashirikiana na mawakala wa sehemu mbalimbali nchini ili...
View ArticleFANYA YAFUATAYO KUNOGESHA SIKUKUU YA EID-AL-FITR
Na Jumia Travel TanzaniaNi siku chache zimebakia kabla ya waumini wa dini ya kiislamu nchini na duniani kote kumaliza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan kwa kusherehekea sikukuu ya Eid al-Fitr. Zipo...
View ArticleSBL YAZINDUA MRADI WA MAJI KWA WAKAZI WA CHANG'OMBE JIJINI DAR ES SALAAM
PICHANI: Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Serengeti (SBL), Helene Weesie (kulia), akimtwisha ndoo ya maji mkazi wa Chang'ombe B, Mgeni Hamisi Ramadhani wakati wa uzinduzi mradi wa maji wenye...
View ArticleAKINAMAMA WALIMA NYANYA KINYEREZI DAR WAJIFUNZA KILIMO CHA UYOGA
Mafunzo kwa vitendo. Akinamama wa Kinyerezi Green Voices wakiweka udongo kwenye mifuko kama maandalizi ya kilimo cha uyoga.AKINAMAMA wanaojishughulisha na kilimo cha nyanya, spinachi, kabichi na...
View ArticleMRITHI WA DKT. MDEGELA KKKT DAYOSISI YA IRINGA KUWEKWA WAKFU JUMAPILI
Askofu Mteule Mchungaji Blastone Tuluwene Gavile (kushoto) akiwa na Msaidizi wa Askofu Mteule Mchungaji Himid John Sagga.IBADA ya kuwekwa wakfu kwa Askofu Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...
View ArticleKIJIJI CHA SHUJAAZ CHAFUNGULIWA KATIKA MASHINDANO YA EAC 2017 MJINI MOSHI
Mwakilishi wa Taasisi ya Wel tel Story ,watayarishaji wa Mradi wa Shujaaz,Alan Lucky akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani ) kuhusu kufunguliwa kwa kijiji cha Shujaaz katika Mashindano ya...
View ArticleJIJI LA ARUSHA LATUMIA TEHAMA KUBORESHA UTOAJI WA HUDUMA
Je unajua jinsi TEHAMA inavyoboresha utendaji kazi na utoaji wa huduma kwa umma katika Jiji la Arusha. Usikose kuangalia kipindi hiki uone jinsi ambavyo TEHAMA imesaidia kuboresha utendaji kazi wa Jiji...
View Article