SOKO LA MBAO LIMESHUKA WILAYANI MUFINDI
Mbunge wa mafinga mjini Cosato Chumi akiongea na wafanyabiashara wa mazao ya misitu wilayani Mufindi juu ya malamiko yao kwa TRA mkoa wa IringaNa Fredy Mgunda,Mufindi Wafanyabiashara wa mazao ya misitu...
View ArticleBI. KAGANDA ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UBUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI
Bi.Emmanuela Mtatifikolo Kaganda, mmoja wa wagombea ubunge katika Bunge la Afrika Mashariki akikabidhiwa fomu na Bw. Said Bakari wa Idara ya Uhusiano wa kimataifa katika makao makuu ya CCM mtaa wa...
View ArticleTANGA UWASA YAWAPIGA MSASA WAANDISHI WA HABARI
Mtaalamu wa Mazingira wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Ramadhani Nyambuka akisistiza jambo kwa waandishi wa habari kuhusu huduma kwa mteja wakati wa semina ya...
View ArticleWAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, AIPONGEZA PPF KWA KUWEKEZA KWENYE VIWANDA
Mkutano Mkuu wa mwaka wa 26 wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakiwa kwenye ukumbi wa Simba wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha, (AICC), leo Machi 23, 2017. Kauli mbiu ya mwaka...
View ArticleKAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YATEMBELEA MRADI WA KINYEREZI
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo, (aliyesimama), akizungumza mbele ya wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, wakati wa ziara...
View ArticleTIMU YA RIADHA YAKABIDHIWA BENDERA ,YAELEKEA UGANDA, KUREJEA NA MEDALI
Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) Anthony Mtaka akikabidhi Bendera kwa manahodha wa timu ya taifa ya riadha kwa upande wa wanaume,Fabian Joseph (kushoto) na Magdalena Shauri (kulia)Wengine ni...
View ArticleMUWSA WAADHIMISHA WIKI YA MAJI KWA KUPANDA MITI KATIKA VYANZO VYA MAJI.
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) wakishusha miti tayari kwa ajili ya kuotesha kando ya vyanz vya maji vinavyosimamiwa na mamlaka hiyo.Kaimu...
View ArticleSERIKALI YAWAONDOA HOFU WANACHAMA PPF KUFUATIA UAMUZI WA KUWEKEZA KWENYE VIWANDA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama, akitoa hotuba yake ya kufunga Mkutano wa 26 wa Wamachama na Wadau wa PPF kwenye ukumbi wa...
View ArticleWAZIRI MWIGULU AWAASA ASKARI KUTOWABAMBIKIZIA WATU KESI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe Mwigulu Lameck Nchemba akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao cha kazi cha Mwaka 2017 cha Maafisa waandamizi wa Polisi na Makamanda wa Mikoa/VikosiMzee John Samwel...
View ArticlePPF YAKABIDHI VIFAA TIBA KATIKA KITUO CHA AFYA LONGIDO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu), Mhe. Jenista Mhagama,(watatu kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Mrisho Gambo,(wanne kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa...
View ArticleBOT YAWAPIGA MSASA WAANDISHI WA HABARI ZA UCHUMI NA FEDHA
Mchumi Mwandamizi wa Benki Kuu ya Tanzania, (BoT), kutoka Kurugenzi ya Utafiti na Sera za Uchumi, Bw. Lusajo Mwankemwa, akiwasilisha mada juu ya Sera ya Fedha ya Benki Kuu ya Tanzania, wakati wa semina...
View ArticleMTANZANIA ALIYEWEKA REKODI YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA MUDA MFUPI...
Gaudence Lekule akiwa katika kilele cha Uhuru ,Mlima Kilimanjaro baada ya kukimbia kwa muda wa wa saa 8:36 mpya akiwa Mwafrika na Mtanzania wa kwanza kutumia muda huo kupanda kilele cha mlima...
View ArticleWANANCHI BINAFSI WANAWEZA KUKOPA (MOGEJI) MORTGAGE KATIKA MABENKI
NA K-VIS MEDIA/Khalfan SaidWANANCHI binafsi wanaweza kwenda kwenye mabenki na kuomba mikopo ya fedha za ujenzi, (Mortgage Finance), bila ya kuanza kupitia kwenye taasisi nyingine za fedha.Hayo...
View ArticleUCHACHE WA MATUMIZI YA BENKI HUCHANGIA KUCHAKAA HARAKA KWA FEDHA
Meneja Msaidizi wa Benki Kuu, (BoT) , kutoka Kurugenzi ya Huduma za Kibenki, Bw.Abdul M. Dollah, akitoa mada juu ya Huduma za Kibenki Benki Kuu ya Tanzania NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidIDADI ndogo ya...
View ArticleDTB YAPATA FAIDA KABLA YA KODI YA BILIONI 31 MWAKA 2016 NA MKAKATI WA...
CAPTION: Mkuu wa Kitengo cha Masoko katikaka benki ya DTB, Nd. Sylvester, akiongea na waandishi wa habari leo katika Hoteli ya New Afirica. Benki ya DTB Imetangaza faida kabla ya kodi ya Bilioni 30...
View ArticleMISA-TAN YAWANOA WANAHABARI KANDA YA KASKAZINI JUU YA SHERIA MPYA YA HUDUMA...
Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya The Guardian Ltd,Jesse Kwayu akiwaongoza washiriki wa warsha inayotolewa na Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA-TAN) juu ya changamoto zilizopo katika...
View ArticleTANESCO YAKABIDHI MRADI WA UMEME KWENYE SHULE YA MSINGI GARAGAZA HUKO KIBAHA
Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania, (TANESCO), mkoa wa Pwani, Mhandisi Martin Madulu, (kushoto), akipena mikono na Afisa Elimu, (Taaluma), mkoawa Pwani, Bw.Shirley Membi Swai, wakati wa makabidhiano...
View ArticleMD KAYOMBO ATEMBELEA OFISI YA MTENDAJI KATA YA UBUNGO
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo akisaini kitabu cha wageni Mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya Ofisi Mtendaji wa Kata ya Ubungo, kushoto ni Ofisa Mtendaji wa Kata Ya Ubungo...
View Article