CRATOR YA NGORONGORO YAPATA UMAARUFU ZAIDI BAADA YA CLOUDS 360 KURUSHWA...
Gari maalumu la kurushia matangazo ya moja kwa moja la kituo ha televisheni cha Clouds likiwa Crator ya Hifadhi ya Taifa ya Ngorongo kwa ajili ya kurusha kipindi cha Clouds 360.Mtangazaji Sam Sasali...
View ArticleUTALII WA BALOON WAWA KIVUTIO KIKUBWA KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENETI
Kikapu maalumu kinachotumika katika Baloon kwa ajili ya kubeba watalii kikishushwa katika eneo la Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kwa ajili ya Utalii wa Baloon.Waandaaji wa Baloon wakifanya maandalizi ya...
View ArticleNAIBU KATIBU MKUU NISHATI NA MADINI ATEMBELEA MIRADI YA TANESCO KINYEREZI
NA MWANDISHI WETUNAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Dkt, Juliana Palangyo, (pichani anayezungumza), ametembelea miradi ya kuzalisha umeme wa Gesi Asilia ya upanuzi wa Kinyerezi I pamoja...
View ArticleMASHINDANO YA MEI MOSI KITAIFA YAZINDULIWA MJINI MOSHI
Timu ya Watumishi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) wakiingia uwanjani kwa maandamano wakati wa uzinduzi wa mashindano ya Mei Mosi kitaifa yanayofanyika mjini Moshi.Na Dixon Busagaga...
View ArticleRAIS MGENI RASMI SIKU YA UUHURU WA HABARI DUNIANI
Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika-Tanzania, Salome Kitomari akizungumza kwenye mkutano wa wanahabari kutambulisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari 2017 uliofanyika leo...
View ArticleIVORY BAND YAPANIA KUPAA KATIKA ANGA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA
Ijumaa hii na kila Ijumaa ni siku ya raha na starehe kwa wakazi wa Tabata na vitongoji vyake, maana mara tu baada ya jua kuzama kiota maarufu cha NEXT DOOR kilichopo katika kitongoji hicho cha...
View ArticleKINGDOM HERITAGE PRERSENTS DISCOVER YOUR POTENTIAL
Kampuni ya KINGDOM HERITAGE imeandaa event inaitwa "Discover Your Potential" ni event yenyewe wazungumzaji wahamasishaji katika mambo ya mipango,maendeleo,ndoto na maono na ujasiliamali.Watakuwa...
View ArticleMIGODI INAYOMILIKIWA NA KAMPUNI YA ACACIA YAWA KIVUTIO KATIKA MAONESHO YA...
Maonesho ya Wiki ya Usalama na Afya mahala pa kazi yanayofanyika Moshi mkoani Kilimanjaro.Maonesho haya yanayohusisha kampuni na Taasisi mbalimbali nchini yanaratibiwa na Wakala wa Usalama na Afya...
View ArticleSERIKALI YAWATAKA WAAJIRI KUJISAJILI KWENYE MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI (WCF)
Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano WCF, Laura Kunenge (Pichani chini) akimkaribisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama katika banda la WCF...
View ArticleUHARIBIFU WA VYANZO VYA MAJI VYAIGIZA HASARA TANGA UWASA YA MILIONI 13 KWA SIKU
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Joshua Mgeyekwa akizungumza na waandishi wa habari leo kuhusiana na mikakati waliochukua kukabiliana na...
View ArticleSSRA YASHIRIKI MAONYESHO YA MAADHIMISHO YA SIKU YA USALAMA NA AFYA MAHALA PA...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, na Watu wenye Ulemavu, Mh. Jenista Mhagama, akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Meneja wa Rasilimali watu na Utawala wa Mamlaka ya Usimamizi...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AHUDHURIA IBADA YA JUMAPILI MAKANISA MAWILI TOFAUTI MJINI...
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitakiana amani na mmoja wa mapadre katika Kanisa la Kuu la Katoliki Parokia ya Kristo Mfalme Moshi Mjini alikohudhuria ibada ya...
View ArticleMKUU WA MKOA WA PWANI AISHUKURU TANESCO KWA MSAADA WA VIFAA VYA USAFI
Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikiri, (kulia), akipeana mikono na Kaimu Meenja Uhusiano wa Shirika la Umeme Tanzania, (TANESCO), Bi. Leila Muhaji, wakati akipokea msada wa vifaa vya kufanyia...
View ArticleWAAJIRI WAHAMASISHWA KUJISAJILI MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI (WCF)
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (Workers Compesation Fund – WCF), Masha Mshomba, (pichani) amewahamasisha waajiri nchini kujisajili katika mfuko huo kwani mkombozi mkubwa kwa waajiri...
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI MWANZA
Mtaalamu wa Mawasiliano nchini, Innocent Mungy akiwasilisha mada kwenye kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari 2017 linalofanyika jijini Mwanza. Kongamano hilo lililoanza leo...
View Article