Quantcast
Channel: Matukio
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUSIC: MWASITI - KAA NAO (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

View Article


BRAND NEW MUSIC: WILLY PAUL & ALAINE - I DO (OFFICIAL VIDEO)

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MWANZA : SBL MDAU MUHIMU WA MAENDELEO KIUCHUMI

PICHANI: Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela(katikati) akionyesha kwa waandishi wa habari bia mpya ya chapa Allsopps ambayo inauzwa katika soko la Afrika mashariki., kushoto ni Mkurugenzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANESCO YATOA SIKU 14 KWA WADAIWA BILI ZA UMEME KULIPA, VINGINEVYO HUDUMA YA...

NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidSHIRIKA la Umeme Tanzania, (TANESCO), limetoa siku 14 kwa Wateja wake wote linalowadai kulipa madeni yao, vinginevyo litasitisha utoaji wa huduma ya nishati kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KONGAMANO LA VIJANA KUHUSU MCHAKATO WA BAJETI YA SERIKALI 2017/18

Mbunge wa viti maalum wa Pwani, Hawa Mchafu Chakoma (CCM) akizungumza kwenye kongamano la vijana kuhusu mchakato wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2017/2018 uliofanyika leo jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYABIASHARA WA VILEO MANISPAA YA UBUNGO WATAKIWA KUWASILISHA MAOMBI YA...

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo anawatangazia wafanyabiashara wote wa vileo kuwa msimu wa kukata leseni za biashara za vileo kwa mujibu wa sheria ya vileo Na 28 ya Mwaka 1964...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI,MALIASILI NA UTALII YATEMBELEA ENEO LENYE...

Msafara wa Magari ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi,Malisili na Utaalii,yakpita katika maeneo mbalimbali ya Pori Tengefu la Loliono kwa ajili ya kujionea hai halisi ya mgogoro ulioo katika eneo...

View Article

UTEKELEZAJI SERIKALI MTANDAO EP 01

Hiki ni kipindi cha Utekelezaji wa Serikali Mtandao nchini kinachotoa elimu kwa umma jinsi Serikali mtandao ilivyorahisisha utendaji kazi kwa Taasisi za Serikali na utoaji huduma kwa umma kupitia mtandao.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEW MUSIC: DJ WAIZ Ft. BABY J & KIJUKUU - SHOBO ROBO (OFFICIAL VIDEO HD)

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAXCOM AFRICA (MAXMALIPO) INAWAKARIBISHA KUNUNUA HISA KWA NJIA YA MTANDAO

  PICHANI:Mkuu wa kitengo cha Masoko na Ubunifu Bwana. Deogratius Lazari Mosha akifafanua jambo kwa Waandishi wa habari (hawapo pichani)Kampuni ya Maxcom Africa (Maxmalipo) inawakaribisha watanzania...

View Article

KUANZA KWA MVUA:TANESCO YATOA TAHADHARI KWA WANANCHI

View Article

WA-BAHA'I DUNIANI KUSHEREHEKEA MWAKA MPYA (NAW-RUZ)

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAMII YA WAFUGAJI NGORONGORO WATOA MALALAMIKO YAO KWA KAMATI YA BUNGE

Wananchi wa jamii ya wafugaji waliposimama katikati ya barabara ya kuingia Makao makuu ya Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro kwa lengo la kuzuia msafara wa Kamati ya Bunge ya Maliasili na Utalii...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NITAHAKIKISHA SHULE ZOTE MAFINGA MJINI ZINAKUWA NA UBORA : COSATO CHUMI

MBUNGE wa jimbo la mafinga mjini Cosato Chumi akikabidhi madawti kwa viongozi wa kata ya sao hill kwa ajili ya matumizi ya shule MBUNGE wa jimbo la mafinga mjini Cosato Chumi akipongezwa na viongozi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI KILIMANJARO YANASA SILAHA,DAWA ZA KULEVYA NA VIROBA VILIVYOPIGWA MARUFUKU

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Msaidizi Mwandaizi wa Jeshi la Polisi ,Wilbroad Mutafngwa akionyesha silaha zilizomakamatwa pamoja na Dawa za Kulevya aina ya Mirungi na Bhangi.Misokoto...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAWASCO KUTUMIA WIKI YA MAJI KUSIKILIZA CHANGAMOTO ZA WAKAZI WA DSM

                        Na Mwandishi wetu.Shirika la Majisafi na Majitaka jijini Dar es Salaam (DAWASCO) limepanga kutumia maadhimisho ya 29 ya wiki ya maji inayoanza kesho kutoa elimu ,kusikiliza kero...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANGA UWASA INAHITAJI BILIONI 15 KUTEKELEZA MPANGO WA KUSAFISHA MAJITAKA

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa)Mhandisi Joshua Mgeyekwa akizungumza na waandishi wa habari mkoani Tanga kuhusu maadhimisho ya wiki ya Maji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI ATEMEBELEA ENEO LA UJENZI WA IKULU MPYA KIJIJINI CHAMWINO,...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na wahandisi na maafisa wa Wakala wa Majengo ya Serikali wakati alipowasili kukagua eneo linapojengwa Ikulu mpya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKOSI 841KJ MAFINGA KIMESHEREKEA MIAKA 50 KWA KUJENGA KIWANDA CHA NAFAKA

Mgeni rasmi katika maazimisho hayo Luteni kanali mstaafu Pius Chale alikipongeza kikosi cha 841kj mafinga kwa kutimiza miaka 50 pamoja na kuzindua jarida maalum la kikosi hicho akiwa amelishika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MD KAYOMBO AWAONYA MAAFISA WATENDAJI WA KATA NA MITAA KUTOPOKEA RUSHWA

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo akitoa ufafanuzi wa muongozo wa ukusanyaji wa mapato kwa Maafisa Watendaji wa Kata na Mitaa Maafisa Watendaji wa Kata na Mitaa wakimsikiliza kwa...

View Article
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live