![]()
Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya The Guardian Ltd,Jesse Kwayu akiwaongoza washiriki wa warsha inayotolewa na Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA-TAN) juu ya changamoto zilizopo katika sheria mpya ya Huduma za Habari.
![]()
Baadhi ya Wanahabari kutoka mikoa ya Tanga,Arusha ,Manyara na Kilimanjaro wakishiriki katika warsha hiyo inayofanyika katika Hoteli ya Impala jijini Arusha.
![]()
Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Luninga cha ITV mkoa wa Manyara,Charles Masanyika akichangia jambo wakati wa warsha hiyo.
![]()
![]()
Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Mwananchi mkoa wa Manyara ,Joseph Lyimo akichangia jambo katika warha hiyo.
![]()
![]()
Wakili Msomi na Mwanahabari mwandamizi James Marenga akiwapitisha washiriki wa warsha hiyo katika vifungu mbalimbali vya sheria ya Huduma ya Habari.
![]()
![]()
Baadhi ya Washiriki.
![]()
![]()
Afisa Habari na Utafiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari kusini mwa Afrika tawi la Tanzania (MISA-TAN) Sengiyumva Gasirigwa
![]()
Baadhi ya wanahabari wanaoshiriki warsha hiyo.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.