Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

WAFANYABIASHARA WA VILEO MANISPAA YA UBUNGO WATAKIWA KUWASILISHA MAOMBI YA LESENI

$
0
0

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo anawatangazia wafanyabiashara wote wa vileo kuwa msimu wa kukata leseni za biashara za vileo kwa mujibu wa sheria ya vileo Na 28 ya Mwaka 1964 na marekebisho yake unaanza tarehe 1/04/2017.

Hivyo kila mfanyabiashara anapaswa kuwasilisha maombi ya leseni za vileo katika ofisi ya Biashara Manispaa ya Ubungo zilizopo eneo la Kibamba CCM Kabla ya tarehe 15/03/2017. (Maombi yaambatanishwe na Tax Clearence Certificate na Leseni iliyoisha)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles