NAMAINGO YATOA ELIMU YA UJASIRIAMALI JIJINI MBEYA
PICHANI: Wazee wa Mtaa wa Maendeleo kata ya Maanga wakifuatilia Semina elekezi iliyokuwa ikitolewa na Wakufunzi wa Namaingo Jijini MbeyaKampuni lisilo la kiserikali "Namaingo Business Agency" ukanda wa...
View ArticleUNDP WAKUTANA NA WANAFUNZI WA WERUWERU, KILIMANJARO
Mwakilishi wa Mashirika ya Kimataifa nchini na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Alavaro Rodriguez (katikati) akiwa ameongozana na Mkurugenzi anayesimamia Mashirika ya...
View ArticleSBL YAANZA KUUZA BIA KENYA
Dar es Salaam, Februari 20, 2017- Kwa mara ya kwanza, Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imeanza kuuza nje ya nchi bidhaa zake katika soko la kikanda, eneo la kwanza likiwa ni nchi jirani ya...
View ArticleKAIMU MKUU WA MKOA WA TANGA AIPONGEZA TAYODEA
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Mwanasha Tumbo akizungumza wakati wa uzinduzi wa akibadhi vifaa vya vijana wa mradi wa WEKEZA (Wezesha Ustawi Endelevu kiwango cha Elimu Kuzuia Ajira kwa watoto)...
View ArticleNAMAINGO YAWAKUTANISHA WAJASIRIAMALI WA MKOA WA TANGA
Mkurugenzi wa Kampuni ya Namaingo Business Agency, Bi Ubwa Ibrahim akisisitiza jambo kwenye mkutano huo wa pamoja. MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu...
View ArticleMEYA JIJI LA TANGA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI
Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga.Alhaji Mustapha Selebosi akisisitiza jambo kwenye kikao cha baraza la madiwani leo kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga,Daudi Mayeji kushoto ni Mwenyekiti...
View ArticleEAST AFRICAN NGWASUMA ORINGINAL BAND WAWAPAGAWISHA WAKATI WA MKOANI KILIMANJARO
Kiongozi wa band ya East African Ngwasuma Original Band Kingombe Blaise wa pili kulia akiwa anafanya mambo katika ukumbi wa Filomena Bar uliopo Boma Ngo'mbe mkoani Kilimanjaro wakati wa onyesho lao...
View ArticleNHIF YATOA ELIMU KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MKINGA
Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Ally Mwakababu akizungumza wakati wa kikao cha pamoja baina yao na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Mkinga kuhusu umuhimu wa kujiunga na Mfuko wa...
View ArticleSIKU YA WANAWAKE, WANAWAKE WATAKIWA KUJENGEA TABIA YA KUPIMA AFYA
Na Woinde Shizza,ArushaWanawake wote hapa nchini wametakiwa kujijengea tabia ya kupima afya zao mara kwa mara ili kuweza kujua matatizo ya mwili waliyonayo na kuyatatua kabla ya madhara makubwa kutokea...
View ArticleTAKWIMU ZINAVYOONESHA HALI YA UZAZI SALAMA NCHINI TANZANIA
Karibia wanawake 67,000 walitibiwa katika vituo vya afya kwa ajili ya matatizo yanayotokana na utoaji mimba usio salama kwa mwaka 2013 nchini Tanzania. Hata hivyo, karibu wanawake wengine 100,000 ambao...
View ArticleWAZIRI MKUU AFUNGUA MKUTANO WA WAKUU WA MASHIRIKA YA UMMA LEO IKULU, DSM
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akitoa hotuba yake ya ufunguzi katika mkutano wa Wakuu wa Mashirika ya Umma uliofanyika Ikulu, Dar es Salaam mapema leo. Mkutano huo...
View ArticleTWAWEZA: WENGI WAKUMBWA NA NJAA KATIKA KIPINDI CHA MIEZI MITATU ILIYOPITA
Kwa ujumla, wananchi hawana uhakika wa chakula lakini hali imezidi kuwa mbaya siku za karibuni1 Machi 2017, Dar es Salaam: Idadi kubwa ya wahojiwa wa Sauti za Wananchi (asilimia 78) wameripoti uhaba wa...
View ArticleKAIMU RC TANGA AGIZA WILAYA ZA MKOA HUO KUUNDA MAJUKWAA YA WANAWAKE
Mmmoja wa Wajasiriamali kushoto akimuonyesha Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tangaa,Mhandisi Mwanasha Tumbo ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Muheza akiangalia moja kati ya bidhaa wanazozalisha wakati wa kongamano...
View ArticleG-NAKO "NAPENDA SANA SEX"
Irene Robinson na Abdul Mbwambo. Sio kitu cha kushangaza tena ukikuta msichana ananyanyua simu na kumpigia kijana kumtaka kimapenzi. Wala haishangazi kukuta kijana ana wapenzi zaidi ya mmoja na pengine...
View ArticleRAIS MAGUFULI : ZANZIBAR NA TAASISI NYETI SASA KUKATIWA UMEME KWA MADENI.
Rais John Pombe Magufuli, akizindua Mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza na kusambaza umeme wa Kilovolti 132kv, mkoani Mtwara leo Machi 5, 2017. Kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter...
View ArticleUBUNGO YABAINISHA MPANGO WA KUKUZA UCHUMI NA KUPUNGUZA UMASIKINI
PICHANI: Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ubungo Mhe Boniface Jacob akisisitiza jambo mbele ya waandishi wa habari ofisini kwake. (Picha zote na Nassir Bakari)Na Mathias Canal, Dar es salaamHalmashauri ya...
View ArticleTGNP,OXFAM NA CARE INTERNATIONAL YAUNGANA MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Mkurungezi wa TGNP Lilian Liundi (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutangaza uzinduzi wa kauli mbiu ya ya mwaka huu "“Kuwa Jasiri, PingaUkatili Dhidi ya Wanawake” Katika...
View Article