WIZARA YA AFYA KUFANYA UZINDUZI WA KONDOMU MPYA MKOANI MWANZA
Baada ya juzi Agost 30,2016 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, kuzindua aina mpya ya Kondomu iitwayo Zana Kondomu mkoani Mbeya, Uzinduzi kama huo unatarajiwa kufanyika mkoani...
View ArticleMBUNGE MUFINDI KASKAZINI ATOA MSAADA WA AMBULACE JIMBONI KWAKE
MBUNGE wa Mufindi kaskazini,Mahamood Mgimwa akikabidhi gari hilo kwa viongozi wa wilaya ya mufindiMBUNGE wa Mufindi kaskazini,Mahamood Mgimwa akikabidhi gari hilo kwa viongozi wa wilaya ya mufindi huku...
View ArticleSHINDANO LA OZONA MISS LAKE ZONE 2016 LAZINDULIWA RASMI JIJINI MWANZA
Shindano la Ulimbwende la "Ozona Miss Lake Zone 2016" linaloshirikisha Walimbwende 18 kutoka Mikoa ya Kanda ya Ziwa limezinduliwa rasmi hii leo Jijini Mwanza.Shindano hilo litakalofanyika jumamosi...
View ArticleMGODI WA BULYANHULU UMETOA MILIONI 100 KWA AJILI YA MADAWATI MKOA WA GEITA
Naibu Waziri wa TAMISEMI Sulemani Jafo akihutubia wadau wa kampeni ya kuchangia Madawati Mkoa wa Geita kwenye Harambee iliyofanyika Mjini GeitaMeneja wa Ustawi na Mahusiano ya Jamii katika Mgodi wa...
View ArticleWATANZANIA WACHANGAMKIA KUPATWA KWA JUA NA KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII.
Wafanyabiashara wa tikiti maji wakitumia tukio la kupatwa kwa jua katika mji wa Rujewa wilayani Mbarali kuuza matunda hayo kwa wananchi waliofika katika eneo maalum lililotengwa kwa ajili ya kushuhudia...
View ArticleKUMBUKUMBU YA KIFO CHA MWANAHABARI DAUDI MWANGOSI, UTPC YALILIA MAZINGIRA...
Septemba 2,2012 Mwandishi wa Habari, Marehemu Daudi Mwangosi (hayuko pichani), aliyekuwa pia Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari mkoani Iringa, aliuawa na polisi akiwa kazini katika Kijiji cha...
View ArticleSERIKALI YAAHIDI MAZINGIRA SALAMA KWA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU
Afisa Tawala Wilaya ya Nyamagana, Kombe Danty (wa pili kushoto), akizungumza kwenye ungaji wa Mafunzo/Semina ya Utetezi wa Haki za Binadamu katika Sekta ya Madini nchini hii leo jijni Mwanza.Na George...
View ArticleKIWANDA CHA SARUJI CHAIPIGA TAFU SHULE YA SEKONDARI YA ILBORU YA ARUSHA
TangakumekuchablogTanga, KIWANDA Cha Saruji Cha Simba (Simba Cement) cha Tanga, kimeipa shule ya Sekondari ya Ilboru Secondary School ya Arusha mifuko 400 ya saruji yenye thamani zaidi ya milioni 4.8...
View ArticleBENKI YA DIAMOND TRUST YASAIDIA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU
Meneja wa kitengo cha Masoko wa Benki ya Diamond Trust (DTB), Sylvester Bahati (kulia), akikabidhi magodoro 50 kwa Mkuu wa kituo cha watoto wenye mahitaji aalumu kilichopo Chamazi, Bi. Winfrida...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULIA ALAKIWA KWA SHANGWE MJINI ZANZIBAR AKITOKEA KISIWANI PEMBA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume mjini Zanzibar leo jioni akitokea kisiwani Pemba ambako aliweka shada...
View ArticleJESHI LA POLISI MWANZA LASHIRIKI MAONESHO YA BIASHARA YA AFRIKA MASHARIKI
Taasisi mbalimbali zikiwemo za Serikali na binafsi kutoka ndani na nje ya nchi zimeshiriki Maonesho ya Biashara ya Afrika Mashariki, yanayofanyika viwanja vya Rock City Mall Jijini Mwanza. Maonesho...
View ArticleSIMIYU YAJIPANGA KUANZA KUTENGENEZA CHAKI
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka (kushoto) akionesha aina tofauti za maboksi yatakayotumika kufungashia chaki nyeupe na za rangi ambazo zinatarajiwa kuanza kuzalishwa na Vijana wa Wilaya ya...
View ArticleKIKOSI KAZI CHA TANESCO CHAANZA KUBADILISHA MIUNDOMBINU YA UMEME JIJINI DAR...
Meneja Mwandamizi wa Usambazaji Umeme wa Shirika la Umeme Tanzania, (TANESCO), ambaye pia ndiye Meneja wa Mradi wa kuimarisha miundombinu ya Umeme, Injinia Theodory Bayona.(katikati), akisimamia kazi...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI ALIPOHUTUBIA WANANCHI UWANJA WA DEMOKRASIA ZANZIBAR JUMAMOSI
Viongozi mbalimbali wakiwa wamejipanga kumsubiri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3,...
View ArticleRC SHIGELLA MGENI RASMI UZINDUZI WA BODI YA TANGA UWASA KESHO
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga(Tanga Uwasa) Mhandisi, Joshua Mgeyekwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na uzinduzi wa bodi mpya.keshoMamlaka ya Maji...
View ArticleWAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA KUSHIRIKI UANGALIZI WA...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dk. Augustine Mahiga akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Shelisheli, Alix Michel.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITanzania ilikabidhiwa...
View ArticleUSIKU WA BWANA NA BIBI BALIYANGA KANISA LA EAGT LUMALA MPYA JIJINI MWANZA
Jana Septemba 04, 2016 ilikuwa siku njema kwa waumini wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya Jijini Mwanza, Bwana Robson Mkesha Baliyanga na Miss Penina Mkama, baada ya kufunga ndoa takatifu katika Kanisa la...
View ArticleUSIKU WA BWANA NA BIBI BALIYANGA KANISA LA EAGT LUMALA MPYA JIJINI MWANZA
Jana Septemba 04, 2016 ilikuwa siku njema kwa waumini wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya Jijini Mwanza, Bwana Robson Mkesha Baliyanga na Miss Penina Mkama, baada ya kufunga ndoa takatifu katika Kanisa la...
View ArticleWASHIRIKI 29 MAISHA PLUS EAST AFRIKA 2016 WAINGIA KIJIJINI KUANZA SAFARI YA...
Ally Masoud maarufu kwa jina la Kipanya akiwa katika kijiji na Babu mwenyeji wa kijiji cha Maisha Plus wakijadili jambo wakati wakiwangoja washiriki wa shindano hilo hapo jana ambapo pia ilikuwa...
View ArticleWIZARA YA AFYA YASISITIZA JUU YA MATUMIZI SAHIHI NA ENDELEVU YA KONDOM MPYA...
Kaimu Mkuu wa kitengo cha habari, elimu na mawasiliano kutoka Mpango wa Taifa wa kudhibiti Ukimwi, Eddah Katikiro (katikati), akizungumza kwenye semina elekezi kuhusu uzinduzi wa Kondom mpya ya Zana...
View Article