PSPF YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA JESHI LA MAGEREZA UKONGA JIJINI DAR ES...
Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (kushoto), akimkabidhi seemu ya vifaa vya michezo, Mkuu wa Kikosi Maalum cha Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es Salaam,...
View ArticleKANISA LA EAGT LUMALA MPYA, MWANZA KUFANYA HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA JIPYA
Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza, chini ya Mchungaji kiongozi, Dkt.Daniel Moses Kulola, linapenda kuwakaribisha watu wote kwenye Harambee ya Ujenzi wa Kanisa jipya na...
View ArticleWAFANYAKAZI WA NMB TAWI LA NELSON MANDELA WASHIRIKI ZOEZI LA USAFI MJINI...
Wafanyakazi wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela mjini Moshi wakiwa wamebeba vifaa kwa ajili ya kufanya usafi katika eneo la njia mbili maarufu kama Double Road mjini Moshi leo. Wafanyakazi wa Benki...
View ArticleRAIS MAGUFULI AHUDHURIA MISA YA MIAKA 50 YA NDOA YA RAIS MSTAAFU MKAPA NA MKEWE
Rais Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Petro Fr. Stephano Kaombwe wakati akiwasili kuhudhuria Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe...
View ArticleDC MTATURU AWATAKA WANANCHI WALIOVAMIA ENEO LA HIFADHI KUHAMA NDANI YA MWEZI...
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mhe Miraji Jumanne Mtaturu akisikiliza Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Kaugere Beatus Kapatya akitoa taarifa juu ya kusimama kwa ujenzi wa Zahanati hiyo.Baadhi ya wananchi...
View ArticleRC SINGIDA AKABIDHI MADAWATI 630 KWA WAKURUGENZI WA WILAYA NA MANISPAA
Na Mathias Canal, SingidaWakurugenzi wa Manispaa na Halmashauri za Mkoa wa Singida wamekabidhiwa jumla ya madawati 90 kwa kila Halmashauri ili kuondoa adha waliyokuwa wanakumbana nayo wanafunzi wa...
View ArticleSHUKRANI ZA FAMILIA YA MAREHEMU MOHAMED MTATURU MKONONGO
 Marehemu Mohamed Jumanne Mtaturu Mkonongoenzi za uhai wake Familia ya marehemu Mohamed Jumanne Mtaturu Mkonongo na mkewe Bi. Naiz Edriss Mavura pamoja na familia ya Mama Amina Mtaturu, Mheshimiwa DC...
View ArticleDC NDEJEMBI AJIONEA KITUO CHA AFYA KILICHOJENGWA CHINI YA KIWANGO
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma Mhe Deogratius Ndejembi akisisitiza jambo wakati akizungumza na wananchi waliofika kupatiwa huduma ya afyaMkuu wa Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma Mhe Deogratius...
View ArticleTANZANIA YAFANIKIWA KUPUNGUZA IDADI YA WAGONJWA WA TRAKOMA
Mkurugenzi wa Tiba kutoka Wizara hiyo Dkt. Magreth Muhando akizungumza kwa niaba ya Waziri Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwenye ufunguzi wa Mkutano wa pili wa mwaka wa nchi 7 za...
View ArticleMWANDISHI SIMON KIVAMWO ANAHITAJI DAMU KUOKOA MAISHA YAKE, SHIMYE WANAHABARI...
Bw. Simon Kivamwo Waandishi wa habariwakitoa damu ili kuwezeshamatibabu ya Mwandishi wa habari mkongwe hapa nchini Bw. Simon Kivamwo ambaye anapatiwa matibabu kwenye hospitali ya Ocean Raod iluyoko...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA OMR MBABANE- SWAZILAND
 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika -SADC- ambaye pia ni Rais wa Botswana Luteni Jenerali Dokta SERETSE KHAMA IAN KHAMA amempongeza...
View ArticleTANESCO KUBORESHA KITUO KIKUU CHA KUPOZA NA KUSAMBAZA UMEME CHA ILALA
NA K-VIS MEDIASHIRIKA la Umeme Tanzania, (TANESCO), linapenda kuuarifu umma kuwa kutakuwepo na katizo la umeme KUANZIA Septemba 3, 2016 kwenye maeneo mengi ya jiji la Dar es Salaam kutokana na kazi...
View ArticleMAONESHO YA BASHARA YA AFRIKA MASHARIKI YAFUNGULIWA RASMI JIJINI MWANZA
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, Dkt.Leonard Massale, hii leo akifungua Maonesho ya Biashara ya Afrika Mashariki yanayofanyika Jijini Mwanza. Maonesho hayo yameandaliwa na Chemba ya...
View ArticleIKUNGI HALF MARATHON 2016 KUANZA KURINDIMA WILAYANI IKUNGI JUMAMOSI WIKI HII
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu akielezea dhamira ya kuanzishwa kwa Ikungi Half Marathon ofisini kwakeNa Mathias Canal, SingidaNi kama vile kuwa na kiu kizito kinachohitaji maji ya...
View ArticleYALIOJIRI MKUTANO WA NCHI ZA JUMUIYA YA MADOLA KANDA YA AFRIKA NCHINI MAURITIUS
Viongozi Wakuu pamoja na Sekretieti ya Mkutano huo wakiwa katika picha ya pamoja baada ya ufunguzi wake, katikati mwenye suti Waziri Mkuu wa Mauritius Sir Anerood Jugnauth. Ujumbe wa Tanzania...
View ArticleTANAPA KUTUMIA KUPATWA KWA JUA KUFUNGUA LANGO LA PILI LA KUINGIA RUAHA...
Mkuu wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya ,Reuben Fune akiangalia jua kwa kutumia kifaa maalum ambacho kinachuja mwanga ili usiweze kuathiri macho kifaa hicho kitatumika katika tukio la kupatwa kwa jua...
View ArticleALICHOKISEMA ALIYEKUWA KATIBU WA CHADEMA MKOANI MWANZA BAADA YA KUTIMKIA CCM
Aliyekuwa Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema mkoani Mwanza, John Nzwalile (kulia), akirejesha kadi ya chama hicho kwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoani Mwanza, Dkt.Antony...
View ArticleWATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU WATAKA SERIKALI KUTOWAONA WACHOCHEZI KATIKA JAMII
Kaimu Kamishna Msaidizi wa Madini Kanda ya Ziwa Victoria magharibi, Mayigi Makobela, akizungumza katika ufunguzi wa Mafunzo ya Watetezi wa Haki za Binadamu yanayofanyika Jijini Mwanza.Na George...
View Article