WASHINDI WA MBIO ZA BAISKELI ZA KANDA YA ZIWA ,WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO
 Mgeni rasmi katika Mashindano hayo,Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ,Anastazia Wambura akiwa katika picha ya pamoja na viongozi waandamizi wa mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi pamoja na...
View ArticleWAFANYABIASHARA WA SOKO LA SAMAKI WATAKA KUHAMIA SOKO LA MICHUNGWANI TANGA
Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo kulia akizungumza na wafanyabiashara wa samaki katika soko la kuuzia samaki wabichi na wakavu ambalo limevunjwa na kutakiwa kuhamia...
View ArticleDK. KIGWANGALLA ASIMIKWA UCHIFU WA WANYAMWEZI WA TANZANIA, AAHIDI MAKUBWA
Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dk. Hamisi Kigwangalla amepewa heshima ya Uchifu wa Watanzania wa Kabila la Wanyamwezi na...
View ArticleWANAHABARI WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA GOMBE
Baadhi ya wanahabari wakiwa katika Boti wakielekea Hifadhi ya Taifa ya Gombe,hifadhi maarufu kwa kuwa na mnyama aina ya Sokwe mtu.Watalii wakielekea Hifadhi ya Taifa ya Gombe . Eneo mojawapo...
View ArticleMADIWANI WA KYERWA NA BIHARAMULO MKOANI KAGERA WAPEWA SOMO LA USIMAMIZI NA...
Mwezeshaji kutoka Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3), Magdalena Katunzi akiwasilisha mada ya uzimamizina Udhibiti wa fedha katika Mamlaka za serikali za mitaa. Mada hiyo ilitolewa...
View ArticleSBL YAZINDUA BOMBA LA 470M/- KUDHIBITI MAJITAKA
Naibu Waziri ofisi ya Makamu wa Raisi Mazingira Mheshimiwa Luhaga Mpina (katikati) akiongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Helene Weesie wakiongozana kuelekea kwenye bomba la...
View ArticleRAIS MSTAAFU MWAI KIBAKI ATEMBELEA DARAJA LA MWALIMU NYERERE
Mwakilishi Maalumu wa masuala ya maji kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Watu wa Kenya Mwai Kibaki (kushoto) akisalimiana na...
View ArticleRATIBA YA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA 2016/2017
Ratiba rasmi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2016/2017, imetoka. Ratiba hiyo imezingatia michuano mbalimbali ya kitaifa na kimataifa kwa ngazi ya klabu na timu za taifa ili kukwepa dhana...
View ArticleIBADA NA MAZISHI YA MWANAHABARI CHARLES SOKORO YAFANYIKA JIJINI MWANZA.
Ibada ya Mazishi ya aliekuwa Mkuu wa Vipindi na Afisa Mahusiano katika kituo cha runinga cha Barmedas Tv cha Jijini Mwanza, Mwalimu Charles Sokoro, imefanyika jana katika Kanisa la AICT Makongoro na...
View ArticleMSUBI BINAGI KUIBUKA NA KIPINDI KIPYA CHA RUNINGA
Inyake hii kutoka kwa coming up Star Actor/ Video King na Presenter Msubi Binagi. Usikose kumfuatilia kupitia akaunti yake ya Instagram @msubi_binagi ili upate updates kuhusu kipindi chake kipya cha Tv...
View ArticleNAVY KENZO KUMSINDIKIZA MISS TANGA 2016
                      NA, MWANDISHI WETU TANGA MSANII wa Mziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania Navy Kenzo anatarajiwa kutumbuiza kwenye shindano la kumtafuta malkia wa Mkoa wa Tanga Miss Tanga 2016...
View ArticleKUELEKEA MKUTANO MKUU MAALUMU WA CCM, WAJUMBE MWANZA WAELEZEA IMANI YAO.
Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoani Mwanza, Simon Mangelepa, akizungumzia maandalizi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa chama hicho kutoka mkoani Mwanza, ambao tayari wameanza kuwasili...
View ArticleMOTISHA YA NUNUA, UZA, SHINDA NA KONYAJI YAZINDULIWA KANDA YA ZIWA
Meneja Masoko na Udhaamini wa Kampuni ya TBL, George Kavishe (wa pili kulia), akizungumza katika Uzinduzi wa Motisha Mpya ya Nunua, Uza, Shinda na Konyagi kwa Wasambazaji wa kinywaji cha Konyagi Kanda...
View ArticleWASIFU WA DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, MGOMBEA NAFASI YA MWENYEKITI WA CCM
1.0. MAISHA YAKENdugu John Pombe Joseph Magufuli alizaliwa Oktoba 29, mwaka 1959 katika kijiji cha Chato, Wilayani Biharamulo katika Mkoa wa Kagera. Hivi sasa Chato ni Wilaya katika Mkoa wa Geita....
View ArticleAMANA BANK TANZANIA WAZINDUA KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA
Juma Msabaha ambaye ni senior costomer service manager wa Bank Ya AMANA nchini Tanzania akifafanua jambo kwa wanahabari wakati Bank Hiyo ikizindua Rasmi Kituo cha Huduma kwa wateja ambacho ni mahsusi...
View ArticleMKUU WA WILAYA ATANGAZA KATA ZA WILAYA MPYA YA UBUNGO
TANGAZO MUHIMUKwa Wakazi wa Kata za Makurumla, Mburahati, Manzese, Mabibo Sinza, Ubungo, Makuburi, Kimara, Mbezi, Msigani, Saranga, Goba, Kibamba na Kwembe. Ninyi ni wakaazi wa Wilaya Mpya ya...
View ArticleMHE. UMMY MWALIMU AAGIZA KUTENGWA FEDHA YA MFUKO WA MAENDELEO YA WANAWAKE
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (Mb.) akikagua shughuli za maendeleo za vikundi vya wanawake wajasiliamali wa Kata ya Magoweko Wilayani Gairo, Mkoa wa...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII,MHANDISI RAMO MAKANI ATEMBELEA HIFADHI YA...
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akiwasili katika Hifadhi ya Taifa ya Rubondo.Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akipokelewa na Mbunge wa Geita Vijijini...
View ArticleJK AONGOZA KIKAO CHA NEC LEO MJINI DODOMA, NI KIKAO CHAKE CHA MWISHO, WAJUMBE...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimuongoza Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kuingia ukumbini, kwa ajili ya kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) leo katika ukumbi wa...
View Article