KOFFI OLOMIDE AKIWA NA ALIYEMPIGA, AELEZA KILICHOTOKEA KWA WANAHABARI
KOFFI AKIWA NA MNENGUAJI WAKE ALIYEMPIGA TEKE BAADA YA KUWASILI JOMO KENYATA INTERNATIONA AIRPORT
View ArticleMWENYEKITI CCM MARA ATUHUMIWA KWA USALITI
Na Mwandishi Wetu, MWANZABAADHI ya wenyeviti wa Kata,Matawi pamoja na mabalozi wa nyumba kumi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Wilaya za Mkoa wa Mara wamemtuhumu Mwenyekiti wa chama hicho mkoani...
View ArticleMAMBO YAMENOGA MKUTANO MKUU MAALUMU WA CCM MJINI DODOMA
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM, Mbunge wa Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza, Stanslaus Mabula (kulia), akiwa pamoja na Diwani wa Kata ya Igoma Jijini Mwanza, wakiwa katika Viunga vya...
View ArticleWanafunzi watarajiwa chuo cha UDSM wafundwa juu ya maisha ya chuo
Meneja wa Mafunzo na Maendeleo wa Benki ya NMB, Edith Mwiyombela (kulia) akiwasilisha mada kwenye Semina kwa wanafunzi wanaotarajia kujiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na baadhi ya wanachuo...
View ArticleKIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO
WAKATI wasanii wa kundi la ngoma za utamaduni la Utandawazi wanajipanga kutumbuiza, watu wengi waliokusanyika kwenye viwanja wa shule ya msingi Bukongo mjini Nansio walikuwa wanajiuliza mtoto Gozbert...
View ArticleTAARIFA ZA KUPOTEA KWA MTOTO GERALD DAVID BWANAMGANGA
Mtoto GERALD DAVID BWANAMGANGA anayetafutwa na wazazi wake.Mtoto GERALD DAVID BWANAMGANGA ambaye anatafutwa na wazazi wake, ana umri wa miaka MIWILI NA NUSU. Amepotea jumapili tarehe 25/7/2016 mida ya...
View ArticleTANAPA YAIONGEZEA NGUVU TIMU YA TAIFA YA RIADHA INAYOJIANDAA NA MASHINDANO YA...
Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete akitoa neno la ukaribisho kwa wanahabari na wageni wengine katika hafla fupi ya kukabidhi hundi kwa wanariadha wanaounda timu...
View ArticleMAALIM SEIF KUNGURUMA TENA MAREKANI
Na Mwandishi wetu, Philladelphia Makamo wa Kwanza Mstaafu wa Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, anatazamiwa kunguruma tena chini Marekani wiki...
View ArticleGGM YAFANIKISHA ZOEZI LA KUKUSANYA PESA KWA AJILI YA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI
Mkuu wa wilaya ya Moshi Kipi Warioba akiongozana na kundi la wapanda mlima Kilimanjaro kutoka kampuni ya Mgodi ya Geita Gold Mining (GGM) waliopanda kwa lengo la kuchangisha fedha za kusaidia taasisi...
View ArticleDC MUHEZA AFANYA ZIARA HOSPITALI YA MUHEZA, AWATAKA WATUMISHI KUACHA KUFANYA...
MKUU wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo kushoto akipofanya ziara ya kuitembelea hospitali ya Teule kuangalia changamoto zinazoikabili kulia ni Mganga Mfawizi wa Hospitali...
View ArticleVODACOM FOUNDATION YATUMIA BILIONI 15 KATIKA MIRADI YA JAMII NCHINI
Vodacom Tanzania imekuwa na kauli mbiu ya “Kufana maisha ya watanzania kuwa bora,sio kupitia huduma za mawasiliano pekee bali pia kusaidia kukabiliana na changamoto mbalimbali zilizopo kwenye jamii...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII AKUTANA NA VIONGOZI WA HIFADHI YA KISIWA...
Naibu Waziri wa Maliasilili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani ,akiviishwa vazi maalum (Boya) ambalo hutumika kujiokoa wakati uafiri wa maji unatumika.Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii ,Mhandisi Ramo...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA UJUMBE WA VIONGOZI WA MFUKO WA ABBOTT
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla (kushoto) akizungumza na viongozi wa mfuko wa Abbott (Abbott Fund) kutoka nchini Marekani na wale wa Tanzania...
View ArticleWIMBO MPYA WA INJILI KUTOKA KWA MWIMBAJI ELISHA WAUPENDO
Bonyeza HAPA Kusikiliza na Kupakua Wimbo Mpya wa Mwimbaji wa Muziki wa Injili nchini Tanzania, Elisha Waupendo. Wimbo Unaitwa Umenipa Kibali. Pia waweza kuusikiliza ama kuupakua moja kwa moja hapa...
View ArticleRATIBA YA USAILI MAISHA PLUS EAST AFRICA 2016
Baada ya Usaili kufanyika kwa kishindo katika mikoa ya Mtwara na Dar es salaam usaili wa Maisha Plus unaendelea katika mikoa mingine ndani ya Tanzania. 30/07/2016 - MBEYA - Ukumbi wa City Pub...
View ArticleMAALIM SEIF KUONGEA NA WATANZANIA BOSTON
Zanzibar Diaspora Association inapenda kuwaalika kwenye mkutano wa hadhara utakao fanyika Siku ya Jumamosi July 30th -MAHALI: 42 Charles St Boston MA 02122.MDA: Kuanzia 5:pm mpaka 7:pmMgeni rasmi ni...
View ArticleMAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI SHAURI LA KUPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI JIMBO LA...
Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)Jumaa Aweso katika akipongezwa na wananchi wa Jimbo la Pangani mara baada ya kutangazwa na Mahakama Kuu Kanda ya Tanga kuwa mshindi halali katika Uchaguzi Mkuu...
View Article