RC MAKALLA AIOMBA BENKI KUU IFANYE UTAFITI KUHUSU UNUNUZI WA MAZAO YAKIWA...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makala (Katikati)akizungumza na viongozi wa benki kuu ya Tanzania (BOT)tawi la Mbeya,kulia Mkurugenzi wa benki kuu ya Tanzania (BOT)tawi la Mbeya Jovent Rushaka na Meneja...
View ArticleTANAPA YASAIDIA UJENZI WA MIUNDOMBINU MAENEO YA HIFADHI YA TAIFA MILIMA YA...
Mkuu wa Idara ya Ujirani Mwema katika Hifadhi ya Taifa ya Mlima ya Mahale,Mhifadhi Romanus Mkonda akizungumza juu ya ujenzi wa madaraja ulioanza katika barabara ya kuelekea katika hifadhi...
View ArticleSABABU ZA KUNDI LA MUZIKI LA PAYUS & MECRAS KUTOKA JIJINI MWANZA KUBADILI JINA.
Wakali wa wimbo wa Chausiku, Payus na Mecras kutoka Jijini Mwanza, ambao awali walikuwa wanaunda kundi la Muziki la Payus & Pacras, wamebadili jina la kundi lao na sasa wanaitwa WAPANCRAS.Sikiliza...
View ArticlePBZ YAADHIMISHA SHEREHE ZA MIAKA 50 KWA KUSAIDIA JAMII NA KUTEMBELEA...
Wafanyakazi wa PBZ wakijumuika na Mkurugenzi Mtenda wa PBZ Ndg Juma Ameir katika kutoa huduma kwa wateja ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha miaka 50 ya PBZ tangu kuazishwa kwa benki hiyo wakiwa...
View ArticleMKUU WA MKOA AAGIZA KUKAMATWA MKANDARASI WA UJENZI UWANJA WA SONGWE
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla,akitolea ufafanuzi na kujibu kero mbalimbali zilizotolewa na wananchi wa Mkoa wa Mbeya, katika kikao maalum cha kupokea kero za wananchi kilichofanyika kwenye ukumbi...
View ArticlePENUEL CONFERENCE 2016
PENUEL Maana yake ni mahala pa Kukutana na Mungu uso kwa uso na nafsi yako ikabaki salama, hii ni kulingana na Mwanzo 32:30 kwa kile kilicho mtokea Yakobo,Kongamano la Penuel linamahanisha mahala pa...
View ArticlePPF YAIBUKA KIDEDEA KUNDI LA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII NA MAKAMPUNI YA BIMA
Rais wa Rwanda Paul Kagame, (wapili kulia) akiwa na mwenyeji wake Rais John Pombe Magufuli, (wakwanza kulia), akimkabidhi tuzo ya msindi wa kwanza kundi la Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na makampuni ya...
View ArticleTANAPA YAELEKEZA WAKANDARASI KUTUMIA MALIGHAFI ZINAZOZALISHWA NCHINI
Mkuu wa Idara ya Ujirani Mwema wa Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Mahale,Mhifadhi ,Romanus Mkonda akizungumza na kina mama wanaofanya kazi ya kuponda mawe mwambao mwa ziwa Tanganyika kwa lengo la kupata...
View ArticleMADC WAPYA MKOANI TANGA WATAKIWA KUSIMAMIA SHUGHULI ZA MAENDELEO KWA UMAKINI...
Katibu Tawala Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi akizungumza kwenye halfa ya kuapishwa wakuu wa wilaya wapya wa mkoa wa Tanga kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella na Katibu wa CCM Mkoa wa...
View ArticleWCF WAALIKA WADAU KUJUA UTARATIBU WA FIDIA INAYOANZA KUTOLEWA MWEZI HUU
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Kazi, ajira, vijana na wenye ulemavu), Jenista Mhagama, (kulia), akizungumza jambo wakati alipotembelea banda la Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi,...
View ArticleMFALME WA AFRO POP 20 PERCENT ARUDI KWENYE GEMU NA SAUTI YA GHARAMA
Na Sultani Kipingo Mfalme wa Afro Pop nchini Abbas Hamisi Kinzasa almaarufu kama 20% (Twenty per Cent) anavunja ukimya na kurejea kwa kishindo kwenye anga ya muziki, huku akiwa msanii wa kwanza kusaini...
View ArticleWATUHUMIWA WA UJAMBAZI NA MAUAJI MSIKITINI MWANZA, MMOJA NA MWINGINE AFARIKI...
Na Daud Magesa, MwanzaWATUHUMIWA wawili wa ujambazi waliokuwa wakihusishwa na mauaji ya wauamini watatu katika Msikiti wa Rahman pamoja na unyang’aji katika maduka ya M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money...
View ArticleWAKUU WAPYA WA WILAYA ZA MKOA WA MWANZA WAPEWA MAJUKUMU MARA BAADA YA KUAPISHWA
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella, akizungumza katika hafla ya kuwaapisha wakuu wapya wa Wilaya za Mkoa wa Mwanza hii leo, Julai 04,2016 katika viunga vya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.Na BMGMkuu...
View ArticleWANAHABARI WAMLILIA MAREHEMU MWALIMU SOKORO, ALIEKUWA MHARIRI WA BARMEDAS TV
Aliekuwa Mhariri wa miaka mingi wa Barmedas Tv ya Jijini Mwanza, Mwalimu Charles Sokoro, enzi za uhai wake. Marehemu Sokoro alifariki dunia jumamosi julai 16,2016 majira ya saa mbili usiku katika...
View ArticleWAENDESHA BAISKELI WACHUANA MASHINDANO YA ACACIA TUFANIKIWE PAMOJA CYCLE...
Mgeni rasmi katika Mashindano hayo,Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo , Anastazia Wambura akiwa katika picha ya pamoja na viongozi waandamizi wa mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi pamoja na...
View ArticleKONGAMANO LA VIJANA WAJASIRIAMALI NA WAWEKEZAJI MKOANI MWANZA LAFANYA
Mgeni Rasmi, Meneja wa Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogo SIDO mkoani Mwanza, Damian John Changa, akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Biashara, Viwanda na Uwekezaji, katika ufungaji wa Kongamano la...
View ArticleVODACOM YAFANIKISHA MAWASILIANO KATIKA SAFARI YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO
Mkuu wa Vodacom Kanda ya Kaskazini,Henry Tsamburakis akizungumza na wageni raia wa Afrika Kusini wanaopanada Mlima Kilimanjaro kwa lengo la kuchangisha fedha za kununua taulo za watoto wa kike wawapo...
View ArticleWANAWAKE WAFUGA NYUKI KUOKOA MISITU YA PUGU NA KAZIMZUMBWI
PICHA: Maofisa wa taasisi ya Mfuko wa Wanawake wa Afrika (WAF) Anna Salado na Alicia (kushoto) wakipata maelezo ya fugaji nyuki katika msitu wa hifadhi wa Pugu.WANAWAKE wanaofuga nyuki wataokoa hekta...
View Article