DAR ES SALAAM NA KIBAHA KUKOSA MAJI KWA SIKU TATU
SHIRIKA LA Majisafi na Majitaka Dar es salaam (DAWASCO), imetangaza kuwapo tatizo la upatikanaji wa huduma ya Maji katika maeneo yote yanayohudumiwa na mtambo wa Maji wa Ruvu Juu, jijini Dar es salaam,...
View ArticleAZANIA BANK YAKABIDHI MADAWATI 50 SHULE YA MSINGI MNAZI MJINI MOSHI.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky Sadicky akizungumza wakati wa kukabidhi Madawati 50 yaliyotolewa na benki ya Azania tawi la Moshi kwa shule ya msingi Mnazi katika manispaa ya Moshi ikiwa ni...
View ArticleIJUE SWALA YA TARAWEHE KATIKA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI
  Leo Ramadhani 11MAELEZO YA AWALI Baada ya kumaliza kumi la kwanza ambalo ni kumi la rehema, sasa tuko katika kumi la kati ambalo ni kundi la MAGHAFIRA. Waumini wengi wameendelea kushindana na...
View ArticleNAPE AONGOZA MAMIA KATIKA SIKU YA KIMATAIFA YA YOGA, JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye. akiwa katika mkao wa kusafisha kichwa unaojulikana kwa lugha ya Yoga "KAPALABHATI". Faifa za mkao huu ni pamoja na kusafisha njia za...
View ArticleBENKI YA DIAMOND TRUST YAANZISHA KAMPENI MAALUMU KATIKA MITANDAO YA KIJAMII
NA Imma Matukio BlogBENKI ya Diamond Trust Tanzania (DTBT) imeanzisha kampeni maalum kupitia mitandao ya kijamii ambayo inalenga kutoa uelewa juu ya huduma wanazotoa kwa wateja na wadau mbalimbali....
View ArticleMAOFISA 27 WA NGAZI ZA JUU TANAPA WAMALIZA MAFUNZO YA KIJESHI, KAMBI YA...
Waziri wa Maliasili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe akipokea salamu wakati wa ufungaji wa mafunzo kwa maofisa 27 wa ngazi za juu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) ,mafunzo yaliyofanyika katika...
View ArticleMCHEZO WA SHUGA WABADILISHA TABIA ZA VIJANA
Mratibu wa mradi wa Shuga akijibu maswali yaliyokua yanaulizwa na kikundi cha wasikilizaji cha Iwawa- Makete mkoani NjombeWakionyesha furaha zao baada ya kuelewa mada ya siku ukihusianisha na maisha...
View ArticleWACHAWI WAVAMIA MKUTANO WA INJILI JIJINI MWANZA
Na Binagi Blog_BMGKatika hali ya kushangaza, binti mmoja (pichani katikati) ametoa ushuhuda mbele ya waumini wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza na kueleza jinsi...
View ArticleMASHINDANO MAKUBWA YA KUHIFADHI QURAAN TUKUFU KUFANYIKA DIAMOND JUBILEE
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Mashindano ya Kimataifa ya Kuhifadhi Quraan Tukufu, Sheikh Othman Ally Kaporo (katikati), akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa idara...
View ArticleWABUNGE KUSHIRIKI HARAMBEE YA MEDIA CAR WASH
Na MAELEZO Zaidi ya waandishi wa Habari 1000 kutoka vyombo mbalimbali kunufaika na Mfuko wa Bima ya Afya kupitia msaada kutoka kwa Kamati ya Okoa Maisha ya Waandishi wa habari. PICHANI:Â Mjumbe wa...
View ArticleUTAFITI CZI WABAINISHAASILIMIA 89 WAMKUBALI MAGUFULI, AWAPIKU JK NA LOWASSA
Mwanasheria msomi, kutoka taasisi huru inayojishughulisha na ushauri wa mambo ya habari, (CZI), David Saile Manoti, (katikati), akiwa na wasomi wenzake, Bi Dotto Nyirenda, (kushoto) na Juma George...
View ArticleKIJANA WA MUHEZA AFYEKA SEHEMU ZAKE ZA SIRI NA KORODANI
Na Mwandishi Wetu,Muheza, TangaKijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Festo Hozza (18) mkazi wa Amani Wilayani muheza amediriki kujikata sehemu zake za siri na korodani kwa kutumia kitu chenye makali...
View ArticleKAMPUNI YA SERENGETI YAZINDUA MRADI WA MAJI WA KATESH, HANANG
Mradi wa maji wenye thamani ya shilingi milioni 81 mjini Katesh wilayani Hanang uliofadhiliwa na kampuni ya bia ya serengeti ikiwa ni mkakati wa kuwapatia wakazi wa eneo hilo maji safi na salama....
View ArticleKITUO CHA EAGT LUMALA MPYA, MWANZA CHAKABIDHI MSAADA
Mkurugenzi wa Kituo cha Huduma na Mtoto EAGT Lumala Mpya, Jorum Samwel (kulia mwenye suti), akitoa ufafanuzi juu ya msaada wa vitanda, magodoro na vyakula uliotolewa na Kituo hicho ambacho kiko chini...
View ArticleWATEJA WA SIMBA CEMENT KUNUNUA KUNUNUA SARUJI KWA M PESA
Afisa Mkuu Biashara wa Vodacom Tanzania, Gregory Verbond (kulia) na Mkurugenzi Kiwanda cha Saruji cha Simba Cement cha Tanga (TTCL), Reinhardt Swart (kushoto) wakiwekea makubaliano ya mteja kunua...
View ArticleTANAPA YATOA MILIONI 600 KUSAIDIA VIKUNDI 70 VYA MWAMBAO MWA ZIWA TANGANYIKA...
Mkuu wa Idara ya Ujirani Mwema katika Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Mahale,Romanus Mkonda akitoa maelezo mafupi mbele tya waandishi wa habari waliotembelea vijiji vinavyopakana na hifadhi hiyo iliyopo...
View ArticleWANAHABARI WATEMBELEA VIJIJI VINAVYO PAKANA NA HIFADHI YA TAIFA YA MILIMA YA...
Baadhi ya Wanahabri kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Mahale inayosifika kwa uwepo wa Sokwe Mtu.Usafiri unaotegemewa katika Hifadhi ya Taifa ya Milima ya...
View Article