BENKI YA POSTA YASAIDIA VIJANA BIHARAMURO
Meneja Mahusiano Mwandamizi wa Benki ya Posta Tanzania Noves Moses(katikati) akionyesha fedha kissing cha shilingi milioni 8 zilizotolewa na Benki hiyo kwa ajili ya kuwasaidia vijana waendesha bodaboda...
View ArticleSAMATTA NA WASANII WENGINE WAKABIDHIWA MAENEO YAO NA SHIWATA
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Sanaa wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bi. Leah Kihimbi (kushoto) akisalimiana na Afisa Utamaduni Mstaafu wa Wizara hiyo Bw. Michael Kagondela pamoja na...
View ArticleWAZIRI MAGEMBE AFUNGUA MKUTANOWA MWAKA WA TANAPA NA WANAHABARI MOROGORO
Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete akitoa maelezo ya awali kuhusu mkutano wa mwaka wa Hifadhi za Taifa Tanzania ,Wahariri,Wanahabari waandamizi kutoka vyombo...
View ArticleTANAPA YAFANYA MKUTANO MKUU WA MWAKA NA WANAHABARI KUTOKA VYOMBO MBALIMBALI...
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Prof Jumanne Maghembe (MB) akifungua mkutano wa Mwaka wa hifadhi za taifa Tanzania na wanahabari na wanahabari waamdamizi kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini...
View ArticleTRA YAVUKA LENGO LA UKUSANYAJI MAPATO MWEZI MEI
MKamishna Mkuu wa TRA Bw. Alphayo Kidata akitilia mkazo jambo wakati wa kikao na waandishi wa habari kuhusu taarifa ya makusanyo ya mapato kwa mwezi Mei 2016,kilichofanyika katika Ofisi za Mamlaka ya...
View ArticleSHARON ASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA NA WATOTO YATIMA
Mtoto Sharon Mwakifulefule (kushoto) akisalimiana mmoja wa watoto wanaolelewa katika kituo cha Yatima Trust Fund kilichopo Mbagala Chamanzi jijini Dar es Salaam, wakati alipokwenda kituoni hapo kwa...
View ArticleBENKI YA POSTA TANZANIA YAKABIDHI MADAWATI KWA SHULE YA MSINGI MKOANI MBEYA
Mkurugenzi wa fedha toka benki ya Posta Tanzania (TPB) Bi.Regina Semakafu akifurahi jambo na baadhi ya walimu na wanafunzi wa shule ya sekondari Mbeya Day jijini Mbeya mara baada ya kukabidhi madawati...
View ArticleBENKI YA DTB TANZANIA YAZINDUA TAWI LA 25 JIJINI DAR ES SALAAM
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mh. Raymond Mushi, akisaidiana na Mwenyekiti wa Banki ya Diamond Trust (DTB), Bw. Abdul Samji, kukata utepe katika uzinduzi wa tawi jipya la benki hiyo la CBD. Kushoto ni Bi....
View ArticleSHARON ATIMIZA MIAKA SABA KWA KUSHEREHEKEA NA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA...
Sharon Mwakifulefule akimkabidhi msaada wa madaftari Fatma Ali ambaye ni mmoja wa watoto wanaolelewa katika Kituo cha Yatima Trus Fund kilichopo Mbagala Chamanzi jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla...
View ArticleLEONCE MULENDA: KIJANA MSOMI MWENYE NDOTO YA KUWA KIONGOZI WA JUU TANZANIA
* 'Alikula sahani moja' na vigogo kuwania Urais na Uspika wa Bunge 2015* Ni msomi wa Shahada ya uzamivu (PhD) katika masuala ya usimamizi wa Biashara* Asema Dk. Magufuli atarejesha nchi katika misingi...
View ArticleWCF YAWAFIKIA MADAKTARI 380 IKIJIANDAA KUANZA KUTOA FIDIA JULAI MOSI 2016
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia Kwa Wafanyakazi, Masha Mshomba, akitoa hotuba kwenye ufunguzi wa mafunzo ya siku tano kwa madaktari kutoka mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, yanayofanyika mjini Mbeya...
View ArticleMASHINDANO YA KUHIFADHI QUR-AN ZANZIBAR MASJID LOOTA KIEMBESAMAKI LEO
Mgeni rasmin katika Uzinduzi wa Mashindano ya Kitaifa ya Kuhifadhi Qura-an Zanzibar yalioandaliwa na Jumuiya ya Kihifadhi Quran Zanzibar Naibu Kadhi Mkuu Zanzibar Shekh.Hassan Othma Ngwali(katikati)...
View ArticleBALOZI WA CHINA NCHINI ACHANGIA DAMU HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI
BALOZI wa China nchini Tanzania, Dkt. LU Younqing, akitolewa damukwenye maabara kuu ya Hospitali ya Taifa Muhimbili, (MNH), wakati wa siku ya uchangiaji damu nchini, Juni 14, 2016. Balozi huyo...
View ArticleWANA CCM MAHINA WACHACHAMAA, MEYA WA JIJI LA MWANZA KUPULIZIWA HEWA CHAFU...
Na Mwandishi Wetu, MwanzaMADAI ya Meya wa Jiji la Mwanza James Bwire kupuliziwa ofisini kwake juzi hewa chafu inayohisiwa kuwa sumu yamesababisha wanachama wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) wa Kata ya...
View ArticleDAR ES SALAAM KUZINDUA HUDUMA YA UBER
* YAUNGANA NA ORODHA YA MIJI MASHUHURI AFRIKA KUTOA HUDUMA YA UBERDar es Salaam, Juni 2016. Leo, Dar es Salaam inakuwa mji wa 475 kujiunga na mtandao unaokuwa wa Uber duniani. Kwa uzinduzi wa Uber,...
View ArticleUNGANISHWA NA SIMU ZA “BURE NA HALISI KUTOKA AIRTEL”
Dar Es Salaam, 14 Juni 2016, Kufuatia tamko la serikali la kuzima simu zote bandia ifikapo tarehe 16 Juni 2016, Airtel Tanzania imeanzisha ofa kabambe ya “simu za bure na halisi" zinazopatikana katika...
View ArticleTWAWEZA: WANANCHI 8 KATI YA 10 WANAPINGA ZUIO LA BUNGE KUONEKANA LIVE
9 KATI YA 10 WANASEMA GHARAMA ZA KUYARUSHA MATANGAZO HAYO SI HOJA 15 Juni 2016, Dar es Salaam: Watanzania walio wengi (79%) hawakubaliani na maamuzi ya serikali ya kusitisha matangazo ya moja kwa moja...
View ArticleDAWASCO KUONGEZA UZALISHAJI TOKA LITA MILIONI 70 MPAKA 106 KWA SIKU
Na MAELEZOKaimu Meneja Uhusiano wa Shirika la Maji Safi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO) Bi. Everlasting Lyaro amesema kuwa uzimaji wa mtambo wa Ruvu Juu kwa wakazi wa Dar es Salaam na Mji wa Kibaha...
View Article