SERIKALI : MARUFUKU KUSAFIRISHA WA WANYAMA HAI WA HIFADHI ZA TAIFA NJE YA NCHI
Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne akijibu hoja na michango mbalimbali ya wabunge zilizoelekezwa kwenye wizara hiyo wakati wa Majumuisho ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa...
View ArticleMKAKATI WA KUPIGA VITA AJIRA KWA WATOTO KATIKA SEKTA YA KILIMO WAZINDULIWA
Balozi wa Japan Nchini Tanzania, Masaharu Yoshida(kulia) akimpongeza kwa kumshika mkono Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge, Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu, Dk. Abdallah Possi mara baada ya...
View ArticleTANZANIA NA CHINA KUIMARISHA MAHUSIANO
MAELEZO, Tanzania na China kuendelea kuimarisha mahusiano katika nyanja mbalimbali zikiwemo za siasa, uchumi na utamaduni. Ziara ya hivi karibuni ya kikazi ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na...
View ArticleTANZANIA HAITOAANDAA MASHINDANO YA KOMBE LA CECAFA
Shirikisho a Soka Tanzana (TFF), limetangaza kutoandaa michuano ya kuwania Kombe la timu za nchi wanachama wa Shirikisho la Soka la Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), maarufu kama Kombe la Kagame kwa...
View ArticleUZINDUZI WA MSIMU MPYA WA MAISHA PLUS EAST AFRICA 2016
Masoud Kipanya, miongoni mwa waanzilishi wa Maisha Plus na mtangazaji wa kipindi hicho akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi i liyofanyika jana usiku katika viwanja vya Studio za Azam Tv na...
View ArticleRC MWANZA AWATAKA WAFANYABIASHARA KUWEKEZA KATIKA KUJENGA SHULE
Na Jovin Mihambi,MwanzaMKUU wa Mkoa wa Mwanza Bw John Mongella (Pichani Kulia) amewataka wafanyabiashara mkoani humo kuwekeza katika sekta ya elimu ambayo bado ina uhitaji mwingi na shule hizo...
View ArticleWCF WAENDELEA KUELIMISHA MADAKTARI KUHUSU FIDIA KWA WAFANYAKAZI WAPATAPO
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi Bw. Emmanuel Humba, (kulia), akimkaribisha Naibu Waziri wa Kazi Mhe. Anthony Mavunde alipowasilili kufungua mafunzo kwa Madaktari...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AMWAKILISHA RAIS DKT JOHN MAGUFULI KATIKA MKUTANO...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri Mkuu wa Papua New Guinea Mhe. Peter O Neil Alipowasili Katika kituo cha Mikutano cha kimataifa ACC...
View ArticleWAAMUZI WA MECHI YA TAIFA STARS NA MISRI WATAJWA
Waamuzi wanne kutoka Gabon, ndio watakochezesha mchezo wa kimataifa kati ya Taifa Stars ya Tanzania na Mapharao wa Misri utakaofanyika Jumamosi Juni 4, 2016 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.Mchezo huo...
View ArticleYALIYOJIRI KWENYE KIKAO CHA 33 CHA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Baadhi ya mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini Tanzania wakielekea ndani ya Ukumbi wa Bunge leo kusikiliza Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
View ArticleGARI CHUPUCHUPU KUTUMBUKIA BAHARI YA HINDI
Gari lenye namba za usajili T 709 AYW likiwa limeegeshwa pembezoni mwa Bahari ya Hindi baada ya kutofuata sheria za vivuko, gari hilo likiwa limesheheni barafu ambapo haikufahamika mara moja ilikuwa...
View ArticleAHUKUMIWA MWAKA MMOJA KWA KUUZA NYAMA YA MBWA
Kijana Mmoja aliyejulikana kwa jina la Zakaria Mswaki mkazi wa Mlalo Wilayani Lushoto Mkoani Tanga amehukumiwa na mahakama ya mwanzo Mlalo Wilayani humo kifungo cha mwaka mmoja jela kwa tuhuma za...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AHUTUBIA MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA WA KUWEZESHA WANAWAKE...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mzungumzaji Mkuu wa Mkutano wa kuwezesha Wanawake Kiuchumi katika mkutano wa nane kwa Wakuu wa Nchi za Afrika, Caribean na...
View ArticleSERIKALI KUSHIRIKIANA NA TING KUBORESHA MAPATO UWANJA WA TAIFA
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Alex Nkenyenge akizungumza na wawakilishi kutoka Kampuni ya TING(hawapo pichani) kuhusu kushirikiana na Serikali kuboresha mapato ya Uwanja wa taifa...
View ArticleHIFADHI YA SELOUS YAPOTEZA ASILIMIA 90 YA TEMBO WAKE.
Na Daudi ManongiHifadhi ya Taifa ya wanyamapori ya Selous iliyopo kusini mwa Tanzania imepoteza asilimia 90 ya Tembo waliopo katika hifadhi hiyo kutokana na ujangili uliokithiri.Ripoti ya mfuko wa...
View ArticleTATIZO LA HEWA YA UKAA KUPUNGUA HAPA NCHINI
Frank Mvungi-MaelezoWakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi (NHBRA) umeanza kufanya utafiti utakaosadia kupunguza kiwango cha Hewa ya Ukaa (green house gases) kinachozalishwa...
View Article