RAIS MAGUFULI AZINDUA RASMI JENGO LA PPF JIJINI ARUSHA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akikata utepe kuzindua rasmi, Jengo la Kitegauchumi la Mfuko wa Pensheni (PPF) lililopo Mtaa wa Korido Jijini Arusha leo wa pili...
View ArticleRAIS MSTAAFU JK AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI KUTOKA MALARIA NO MORE
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akiongea na waandishi wa Habari (hawapo pichani) kutoka Taasisi ya “Malaria No More” ya nchini Marekani leo jijjini...
View ArticleMFUMUKO WA BEI WA TAIFA WAENDELEA KUPUNGUA
Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo akita taarifa ya kuongezeka kidogo kwa mfumuko wa bei nchini kwa mwezi Aprili 2016 leo jijini Dar es...
View ArticleMEYA WA JIJI DAR ES SALAAM ADAI TAARIFA ZA MAPATO YA JIJI
Na Raymond Mushumbusi MAELEZOMstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita amemwagiza Mkurugenzi wa Jiji kumwandikia Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) kuomba taarifa za mapato halisi za...
View ArticleSITTA AKEMEA UDHALILISHAJI TWPG,AWAONYA WABUNGE
Mwenyekiti wa Chama cha wabunge wanawake Tanzania (TWPG),Magreth Sitta,amelaani vikali vitendo vya kutolewa kwa lugha za matusi na udhalilishaji dhidi ya wabunge wanawake bungeni na kusema hakiwezi...
View ArticleTANZIA MSIBA WA BI MWASABURI HAJI KILICHOTOKEA GLASGOW SCOTLAND
Tunasikitika kuwatangazia msiba wa Mtanzania mwenzetu Bi Mwasaburi Hajikilichotokea Jumamosi jioni huko Glasgow Scotland.Mipango ya mazishi inaendelea na mtajulishwa tarehe ya mazishi.Msiba uko...
View ArticleNAPE: TFF BADO NI MWANACHAMA WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU FIFA
Na Benedict Liwenga-Dodoma.Kufuatia majadiliano na vikao mbalimbali vilivyofanyika mwaka 2005-2010, kumbukumbu zinaonyesha kuwa suala la uanachama wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na...
View ArticleMATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI DODOMA 10 MEI, 2016.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi (kulia) pamoja na Katibu Mkuu, Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Job Masima wakiwa katika mazungumzo Bungeni mjini Dodoma...
View ArticleLOWASSA AMSIMIKA ALHADJI KUWA LAIGWANANI
Waziri Mkuu wa zamani na aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya chadema na kuungwa mkono na ukawa Edward Lowassa akimsimika ulaigwanani Alhadji Mapukori Mberekeli huko Nanja Monduli jana Lowassa ni...
View ArticleWATANZANIA WAHAMASISHWA KUJITOKEZA KUSHIRIKI SHINDANO LA KUONGEZA KIPATO
Mtaalam Mshauri wa Master Card Foundation Gabriel Kivuti akifafanua jambo katika semina ya namna shirika hilo linavyofanya kazi na jinsi ya kushiriki shindano la mwaka 2016 ili kupata washindi...
View ArticleMGODI BULHANHLU WAKUBALIANA NA TAASISI YA MKAPA KUBORESHA HUDUMA YA AFYA YA...
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Bulyanhulu Graham Crew akibadilishana hati za makubaliano na Afisa Mkuu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa,Dkt Ellen Mkondya wakati wa hafla ya makabidhiano ya hati hizo...
View ArticleKILIMO HIFADHI CHA NYANYA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM
Dk. Sophia Mlote, mkazi wa Kinyerezi Zimbili jijini Dar es Salaam akiweka sawa vifaa mbalimbali kwenye banda lake la kilimo ambamo amepanda nyanya. Dk. Mlote anatekeleza kilimo hai kupitia mradi wa...
View ArticleRAIS MSTAAFU KIKWETE AFURAHIA DARAJA JIPYA LA NYERERE (KIGAMBONI)
Rais Msataafu Dkt Jakaya kikwete akifurahia uzuri wa daraja la Nyerere lililopo Kigamboni jijini Dar es Salaam wakati alipotembelea daraja hilo hivi karibuni.Rais Msataafu Dkt Jakaya kikwete...
View ArticleGREEN VOICES WASAIDIA KILIMO CHA UYOGA DAR
Bi. Esther Chiombola akionyesha uyoga ambao uko tayari kuvunwa. Uyoga huo unalimwa na kikundi cha Tunza Women Group cha Bunju jijini Dar es Salaam kwa ufadhili wa mradi wa Green Voices (Makala na Picha...
View ArticleMATUKIO MBALIMBALI BUNGENI LEO TAREHE 11/05/2016
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (kushoto) akifurahi na Wabunge wenzie nje ya Bunge mjini Dodoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,...
View ArticleTAASISI ZA UMMA ZATAKIWA KUTUMIA MIFUMO YA KIUTENDAJI
Mkurugenzi Idara ya Uchambuzi na Ushauri Kazi Bw. Mick Kiliba (katikati) akifungua kikao kuhusu Ufuatiliaji wa Mifumo na Viwango vya Taasisi za Umma nchini kilichofanyika ukumbi wa Utumishi.Wawakilishi...
View ArticleUSAFIRI MPYA WA MABASI YA MWENDO KASI DSM WAPOKELEWA KWA HISIA TOFAUTI
Na Lorietha Laurence-MaelezoBaada ya kuanza rasmi kwa mabasi ya mwendo wa haraka Jijini Dar es Salaam wananchi wameupokea kwa maoni tofauti huku wengi wao wakisifia hatua hiyo ya serikali katika...
View ArticleSERIKALI KUSHIRIKIANA NA SEKTA BINAFSI KUONGEZA MBEGU ZA MAZAO YA MAFUTA
Na Benedict Liwenga, MAELEZO, Dodoma.SERIKALI kwa kushirikiana na na Sekta Binafsi nchini imeandaa mikakati inayolenga kuongeza tija na uzalishaji wa mbegu za mazao ya mafuta hususan zao la alizeti...
View Article