SERIKALI KUSHIRIKIANA NA MAMLAKA NYINGINE KULINDA VIWANDA VYA NDANI
Na Benedict Liwenga, MAELEZO, Dodoma.SERIKALI kupitia Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji inashauriana na Wawekezaji wa Viwanda vinavyofanya kazi kwa kusuasua pamoja na vile vilivyofungwa ili...
View ArticleWATETEZI WA RASILIMALI WATAKA TURKI AKAMATWE NA SERIKALI IGAWE BURE SUKARI YA...
Mratibu Wa watetezi wa Rasilimali wasio na Mipaka WARAMI Ndugu John Marwa kushoto akiwa na Mratibu Msaidizi Makdeo Makeja Kulia wakizungumza na wanahabari mapema leoMratibu Wa watetezi wa Rasilimali...
View ArticleSERIKALI KUKAMISHA MAABARA NNE ZA UPIMAJI KIFUA KIKUU NCHINI.
Na Tigaya Vincent_MAELEZO-Dodoma.Wizara ya Afrika , Maendeleo ya Jamii ,Jinsia Wazee na Watoto ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha maabara nne za Kanda ili kuboresha huduma za vipimo vya upimaji...
View ArticleMAKONDA AKAMATA MAKONTENA 115 YA SUKARI, ADAI UCHUNGUZI UFANYWE HARAKA
Habari zilizotufikia zinasema kuwa Mkuu wa Mkoa Paul Makonda amekuta makontena yenye sukari (115)ikisadikiwa kuwa ni mali ya kampuni ya Mohammed Enterprises. Makonda ameagiza uchunguzi kufanywa ili...
View ArticleRAIS WA TFF AIPONGEZA YANGA KWA KUTWAA UBINGWA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Emil Malinzi ameipongeza timu ya soka ya Young Africans kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa mara ya pili mfululizo baada ya...
View ArticleUPDATES: MSIBA WA MTOTO WA ANKAL ISSA MICHUZI
Assalaam aleikum,Familia ya Ankal Issa Michuzi iliyopatwa na msiba wa kuondokewa na Mtoto wa Ankal, Maggid Muhidin aliefariki Jumapili Mei 8, 2016 huko Durban, Afrika Kusini. Taarifa ya sasa ni kwamba,...
View ArticleDIAMOND PLATNUMZ NA MAFIKIZOLO WATUA BUNGENI DODOMA
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (Mb) (wa pili kulia) akiwa pamoja na Wasanii wa kizazi kipya ambao walitembelea Bunge mjini Dodoma akiwemo Msanii Nasib Abdul maarufu...
View ArticleTIMU YA TAIFA YA VIJANA (UNDER 17) YATUA JIJINI GOA, INDIA
Timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 maarufu kama Serengeti Boys imetua salama jijini Goa, India kwa ajili michuano maalumu ya soka ya kimataifa kwa vijana (AIFF Youth Cup 2016 U-16)...
View ArticleSEKTA YA SHERIA KUCHANGIA UTEKELEZAJI DHANA YA KUIMARISHA VIWANDA
Frank Mvungi-Maelezo.Serikali katika kipindi cha mwaka wa fedha 2016/2017 inatarajia kufanya mapitio katika sheria mbalimbali ili kutoa mapendekezo yatakayowezesha kufanyika kwa marekebisho au kutungwa...
View ArticleBENKI YA KILIMO KUKOPESHA ZAIDI YA BILIONI 40 KWA WAKULIMA
Na Fatma Salum-MAELEZOBenki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imepanga kutumia zaidi ya shilingi bilioni 40 kusaidia utekelezaji wa Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa kwa kipindi cha mwaka...
View ArticleCHAMA CHA MAPINDUZI ZANZIBAR CHAKANUSHA UTAPELI
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar.CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimelaani vikali tabia ya baadhi ya watu wanaotumia vibaya jina la Chama hicho kuwatapeli wananchi kutoa fedha ili wapatiwe nafasi za...
View ArticleNAIBU KATIBU MKUU CCM BARA AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA CCM PWANI
Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara, Rajab Luhwavi akivishwa Skafu na Kijana wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Omari Salum, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa wa Pwani, Wilayani Kibaha mkoani humo leo. Katikati...
View ArticleCHAMA CHA USHIRIKA LINDI CHATAKIWA KULIPA WAKULIMA MILIONI 433
Na Raymond Mushumbusi MAELEZOChama cha Ushirika (NANYUM) wilayani Lindi kitatakiwa kulipa deni la sh. milioni 433 kwa wakulima wa korosho wilayani humo baada ya kukamilika kwa uchunguzi wa tukio la...
View ArticleKUPANDA BURE MABASI YA BRT NI KWA LENGO LA KUELIMISHA WATUMIAJI
Na. Immaculate Makilika- MAELEZOABIRIA wa mabasi ya mwendo wa haraka wametakiwa kupanda bure mabasi hayo hadi siku ya mwisho tarehe Jumapili Mei 15 mwaka huu kabla ya kuanza kutozwa nauliAkizungumza...
View ArticleTAASISI ZA SERIKALI ZATAKIWA KUPUNGUZA GHARAMA YA MAWASILIANO KWA KUTUMIA...
Na. Aron Msigwa –MAELEZO.Serikali kupitia Wakala ya Serikali Mtandao (e-Government Agency) imezitaka taasisi zote zilizounganishwa kwenye mfumo wa simu zenye itifaki ya intaneti (Internet Protocol (IP)...
View ArticleWAIZIRI NAPE NNAUYE AKIWASILISHA BAJETI YA WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe Nape Nnauye (Mb) (kulia) akiwa pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki...
View ArticleWAZIRI WA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI MWIGULU NCHEMBA KUKABIDHI KOMBE KESHO
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba Madelu kesho Jumamosi Mei 14, 201 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Ndanda na Young Africans...
View ArticleUPDATES ZA MSIBA WA MTOTO WA ANKAL: MWILI UMESHAWASILI DAR ES SALAAM, MAZISHI...
Assalaam Aleikhum,Updates za familia ya Ankal Issa Michuzi iliyopatwa na msiba wa kuondokewa na Mtoto wa Ankal, Maggid Muhidin (18), aliyefariki Jumapili Mei 8, 2016 huko Durban, Afrika Kusini:Mwili...
View ArticleSHUKURANI TOKA KWA FAMILIA YA ANKAL KUFUATIA MSIBA WA MTOTO WAO MAGGID
Familia ya Ankal Muhidin Issa Michuzi inapenda kutoa shukrani nyingi sana sana kwa ndugu, jamaa, majirani, marafiki na wafanyakazi wenzie kwa kujitoa kwa hali na mali katika wakati huu mgumu wa msiba...
View Article