UMOJA NA MSHIKAMANO NDIO SIRI YA MAFANIKIO BARA LA AFRIKA – NDUGAI
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akilihutubia Bunge la Afrika (Pan African Parliament) kuwasilisha Ujumbe wa Mshikamano kwa wabunge wa Bunge hilo wakati wa Ufunguzi wa rasmi wa Mkutano wa Pili wa Bunge...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa kilichofanyika Mkoani Dodoma. Kulia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleMAMLAKA YA USIMAMIZI WA BIMA NCHINI (TIRA) YAKUTANA NA WADAU WAKE MBEYA
Meneja wa Kanda Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Nchini (TIRA) Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Ndugu Hiraly Maskini akifungua Mkutano wa wadau wa soko la Bima kutoka Mikoani ya Nyanda za Juu Kusini (hawapo...
View ArticleJK AKUTANA NA NAIBU MKURUGENZI WA GATES FOUNDATION YA MAREKANI
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akizungumza na Naibu Mkurugenzi Kanda ya Afrika wa Gates Foundation ya Marekani, Haddis Tadesse, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu...
View ArticleNHIF YAZINDUA HUDUMA TOTO AFYA KADI
Meneja Huduma za Dawa Michael Kishiwa kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ( NHIF) akiwaeleza waandishi wa habari kuhusu huduma mpya ya mfuko huo iitwayo “Toto Afya Kadi” inayohusisha watoto wenye...
View ArticleWABUNGE WANAWAKE WA UPINZANI WASUSIA BUNGE, WAPINGA KUITWA 'BABY'
Mtafaruku mpya umetokea kwa mara nyingine tena Bungeni ambapo wabunge wanawake kutoka vyama vya upinzani kutolewa bungeni kutokana na kupinga kudhalilishwa ambapo Wabunge hao walisimama mara baada ya...
View ArticleMWAKYEMBE:UBAKAJI UMEZIDI KUWA TISHIO KWA WATANZANIA
Serikali imekiri kuwa sasa vitendo vya kubaka na kulawiti vimefikia mahali pabaya ambapo matukio 19 kwa siku yamekuwa yakiripotiwa nchini.Pia katika kipindi cha Januari hadi Machi mwaka huujumla ya...
View ArticleJK AMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI MAZISHI YA LUCY KIBAKI, KENYA
Mwili wa mke wa aliyekuwa rais wa Kenya Mwai kibaki , mama Lucy Kibaki ukiwasili kwa hapo jana katika eneo la Bunge la Odhaya kaunti ya Njeri,mjini Nairobi nchini Kenya.Rais Mstaafu wa Tanzania Dkt...
View ArticleRAIS JOHN MAGUFULI AWATAKA WATAZANIA WAMUOMBEE AMALIZE KERO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimia waumini aliposhiriki ibada ya Jumapili ya Kupaa kwa Bwana katika Parokia ya Toleo la Bwana jimbo la Arusha leo Mei 8,...
View ArticleFASTJET YACHUKUA UBINGWA WA BONANZA LA FASTJET SPORT EXTRA
Wachezaji wa Timu ya fastjet (wenye jezi nyeusi) wakichuana na wachezaji wa timu ya Diamond Trust Bank(DTB) wakati wa mashindano ya bonanza la fastjet sports Extra katika viwanja vya TCC Chang’ombe,...
View ArticleDC WA WILAYA YA SHINYANGA AKABIDHI HATI 92 ZA KIMILA
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Mhe. Josephine Matiro akimkabidhi Anna Kadilana mkazi wa kijiji cha Nyida hati yake ya hakimiliki ya kimila. Anna alisema, "Nimeamua kukata hakimiliki kwa sababu ya kukwepa...
View ArticleMJASIRIAMALI ALIYEWEZESHWA NA AIRTEL FURSA AISHUKURU AIRTEL
Kijana mjasiriamali Diana Moshi (Kulia) akimkabidhi keki Mkurugenzi wa kitengo cha Mawasiliano Airtel, Beatrice Singano Mallya (Kushoto) kama shukrani yake kwa Airtel baada ya kuwezeshwa kupitia...
View ArticleWASANII WA INJILI WANUFAIKA NA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)
Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Sanaa kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Joyce Hagu akizindua kujiunga kwa wanachama wa Chama cha Muziki wa Injili Tanzania (CHAMUITA) katika...
View ArticleTANZIA: ANKAL ISSA MICHUZI AFIWA NA MWANAE
Ankal Issa Michuzi anasikitika kutangaza kifo cha mwanae Maggid Muhidin kilichotokea jana Jumapili huko Durban, Afrika Kusini, alikokuwa masomoni.Mipango ya kuusafirisha mwili wa marehemu inafanywa,...
View ArticleWADAU WA MAJI KUJADILI RASILIMALI ZA BONDE LA MTO RUFIJI
Na Jacquiline Mrisho MAELEZOWizara ya Maji na Umwagiliaji imeandaa warsha kwa wadau wake juu ya tathmini ya kimkakati ya athari za kimazingira na jamii juu ya mpango jumuishi wa usimamizi na maendeleo...
View ArticleWANANCHI WAHAMASISHWA KUNUNUA DHAMANA ZA SERIKALI
Frank Mvungi-MaelezoBenki Kuu ya Tanzania imewataka wananchi kununua dhamana za Serikali ili kuchangia katika kukuza uchumi wa Taifa.Kauli hiyo imetolewa leo Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa...
View ArticleJK AAGWA LEO NA MABALOZI WAPYA WA TANZANIA NCHINI JAPAN NA URUSI
Balozi mpya wa Tanzania nchini Japan, Balozi Mathias Chikawe akisaini kitabu cha wageni, alipofika kumuaga Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,...
View Article