Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

JK AKUTANA NA NAIBU MKURUGENZI WA GATES FOUNDATION YA MAREKANI

$
0
0
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akizungumza na Naibu Mkurugenzi Kanda ya Afrika wa Gates Foundation ya Marekani, Haddis Tadesse, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, May 5, 2016. (Picha na Bashir Nkoromo).
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiagana na Naibu Mkurugenzi Kanda ya Afrika wa Gates Foundation ya Marekani, Haddis Tadesse, baada ya mazungumzo yao, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, May 5, 2016. (Picha na Bashir Nkoromo).

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Latest Images

Trending Articles