TRICKSTER YALETA SHINDANO LA BIASHARA NCHINI, YASHIRIKISHA NCHI 5
Na MaelezoKampuni ya Kijapani inayofanya shughuli zake nchini (Trickster) imeandaa shindano la wazo la biashara litakalozishirikisha nchi tano za Afrika zikiwemo Kenya,Rwanda,Zambia,Zimbabwe na...
View ArticleWAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA UJUMBE WA KAMATI YA FEDHA YA BUNGE LA FINLAND
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) January Makamba hii leo amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Kamati ya Fedha ya Bunge la Finland.PICHA: Waziri wa Nchi Ofisi ya...
View ArticleAIRTEL WAKUTANA NA MABALOZI WAO AMBAO NI WASANII WA NAVY KENZO
Airtel yaleta 'Jipimie Yatosha YakoAirtel Tanzania' katika mpango wake wa kutoa uhuru zaidi kwa wateja wake imetangaza kifurushi kipya kupitia huduma yake ya vifurushi vya Airtel Yatosha kijulikanancho...
View ArticleWIZARA YAKANUSHA KODI YA NG’OMBE ILIYORIPOTIWA NA UWAMINAKI
Na MAELEZOWizara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi imekanusha kodi ya ng’ombe iliyoripotiwa na Umoja wa wafanyabiashara wa Mifugo na Mazao yake wa Wilaya ya Kinondoni. Taarifa hii imetolewa na Katibu Mkuu...
View ArticleRAIS MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 32 YA KIFO CHA SOKOINE
Rais Mstaafu Mzee Benjamin William Mkapa akimaliza kuweka saini katika kitabu cha Kumbukumbu ya miaka 32 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine kabla ya Ibada...
View ArticleMAWAKALA WAVAMIA MOSSACK FONSECA KUHUSU SUALA LA BIASHARA HARAMU(BBC)
Mawakala wavamia Mossack FonsecaImage caption Mossack Fonseca imeshutumiwa kwa kuepuka kulipa kodi na ulaghai.Mawakala kutoka afisi ya mkuu wa sheria nchini Panama wamevamia jengo la kampuni ya...
View ArticleBABA ASKOFU MSTAAFU WA JIMBO KUU KATOLIKI LA DODOMA AMEFARIKI USIKU WA...
TANZIABABA ASKOFU MSTAAFU WA JIMBO KUU KATOLIKI LA DODOMA MHASHAM ASKOFU MATHIAS JOSEPH ISSUJA AMEFARIKI USIKU WA KUAMKIA LEO HUKO KATIKA HOSPITAL YA MT. GASPAR ITIGI.Matthias Joseph Isuja (amezaliwa...
View ArticleMACHINJIO VINGUNGUTI YAFUNGWA KWA UCHAFU
Gazeti la MajiraMAMLAKA ya Chakula na Dawa nchini (TFDA), imeyafunga machinjio ya Vingunguti, Dar es Salaam kwa muda usiojulikana kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ya uchafu wa mazingira na...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AFUNGUA AFUNGUA KONGAMANO LA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA NA OMAN
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Kongamano la Uwekazaji kwa Wafanyabiashara baina ya Tanzania na Oman kuhusu kuangalia fursa za uwekezaji katika...
View ArticleKENYA YATETEA MSIMAMO WAKE KUHUSU KUWARUDISHA WATAIWAN NCHINI CHINA
Na Mwandishi WetuKenya imesema inaendela na msimamo wake juu ya suala la kurudisha kundi la Wataiwan nchini China, tendo ambalo limechukuliwa kama mwanzo wa uhasama.“wamekuja kutoka China na...
View ArticleWAFANYAKAZI AIRTEL WAINGIA MTAANI KUTOA ELIMU YA HUDUMA MPYA
Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Bw, Sunil Colaso akiongea na wateja wa Airtel mkoani Morogoro leo kuhusu huduma mpya ya Jipimie Yatosha yako iliyozinduliwa mwazoni mwa wiki hii. Airtel ilizindua huduma...
View ArticleKOBE BRYANT KUSTAAFU, ATAENDELEA KUHESHIMIKA KATIKA MICHEZO
Kobe Bryant, aliyeisaidia timu ya Lakers kushinda mara tano kwa kunyakua makombe ya NBA katika miaka 20 ya kucheza mpira wa kikapu Los Angeles nchini Marekani, alitangaza rasmi siku ya jumapili katika...
View ArticleKUBENEA AFUNGWA MIEZI MITATU KWA LUGHA YA MATUSI DHIDI ALIYEKUWA DC KINONDONI
Mhe. Said Kubenea- Mbunge wa Jimbo la Ubungo (CHADEMA).Na. Raymond Mushumbusi- Dar es salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu mbunge wa Ubungo (CHADEMA) Saeed Kubenea kifungo cha nje cha...
View ArticleCHUO CHA ARDHI CHAELEZA WANAFUNZI WA SEKONDARI ZA DSM JINSI YA KUJIUNGA
Mtaalam wa Jiografia kutoka Chuo Kikuu Ardhi Dkt. Mlenge Fanuel Mgendi akiwahamasisha wanafunzi wa kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Jangwani kupenda kusoma na kuweka bidii katika...
View ArticleCHAMA CHA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA (TUMA) CHATANGAZA KAMATI YA UTENDAJI
Katibu Mkuu Chama cha muziki wa kizazi kipya, Tanzania Urban Music Association(TUMA) Samuel A. Mbwana(Braton) kulia, akielezea mikakati ya chama hicho katika kuboresha ufanisi na utendaji wa chama...
View ArticleWABUNGE WA AFRIKA MASHARIKI KUTOKA TANZANIA WATEMBELEA THE GUARDIAN
NA K-VIS MEDIA/Khalfan SaidWabunge wa bunge la Arika Mashariki, (EALA), kutokaTanzania, wameendelea na ziara yao ya kutembelea vyombovya habari hapa nchini, ikiwa ni mkakati wa Jumuiya hiyo,...
View ArticleBI. KIDUDE KUENZIWA KWA FILAMU YA MAISHA YAKE
Mtayarishaji na Muongozaji wa filamu mbili za “Maisha ya Bi. Kidude” na “Kifo cha Bi. Kidude”, Bw. Andy Jones akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema hii leo jijini Dar es Salaam...
View ArticleSENDEKA AWASILI MKOANI KILIMANJARO LEO
Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akisalimiana na Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro, Deogratius Ruta alipowasili Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro, mjini Moshi leoMjumbe wa NEC na Ofisa Mwandamizi...
View Article