Katibu Mkuu Chama cha muziki wa kizazi kipya, Tanzania Urban Music Association(TUMA) Samuel A. Mbwana(Braton) kulia, akielezea mikakati ya chama hicho katika kuboresha ufanisi na utendaji wa chama wakati akitangaza kamati ya utendaji ya Chama kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Msanii Pray-God Kweka.
CHINI: Mkuu wa Habari na Mawasailiano toka Chama cha muziki wa kizazi kipya, Tanzania Urban Music Association(TUMA) Pray-God Kweka (Baghdad) akisistiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu mikakati ya chama hicho katika kuboresha ufanisi na utendaji wa chama wakati akitangaza kamati ya utendaji ya Chama mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Katibu Mkuu Chama cha hicho Samuel A. Mbwana(Braton)

Picha zote na Eliphace Marwa - Maelezo