KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA KUWASILI NCHINI LEO USIKU
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kinachodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, kinatarajiwa kuwasili leo saa 8 usiku katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. JK Nyerere...
View ArticleVIJANA WAANDAA MSAFARAKUPINGA UJANGILI NA KUHAMASISHA UTALII WA NDANI
Mkurungezi mtendaji wa Bongo Ride Idrisa Magesa akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuelezea makamilisho ya maandalizi ya msafara wa hisani wa magari uliopewa jina Bongo Ride Charity...
View ArticleREA:HATUTEGEMEI MSAADA WA MCC
Wakala wa Nishati Vijijini (REA)imesema haitaathirika na kusitishwa kwa msaada wa mamilioni ya fedha uliokuwa utolewe na Shirika la Maendeleo la Milenia (MCC), hivyo mradi huo utaendelea kama...
View ArticleWABUNGE WATATU WABURUZWA MAHAKAMANI KWA RUSHWA
Taasisi ya kuzuia na kupambana rushwa tanzania (TAKUKURU ) imewafikisha mahakamani wabunge watatu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM),kwa tuhuma za...
View ArticleTANZANIA YAPOKEA MSAADA KUTOKA JAPAN
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini hati mbili za makubaliano na Serikali ya Japan itakayoiwezesha Tanzania kupata kiasi Yen Bilioni 6 ambazo ni sawa na Sh. Bilioni 116.4 za...
View ArticleNAIBU KATIBU MKUU WA CCM, AZUNGUMZA NA MAKATIBU WA MATAWI NA KATA WILAYA
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Rajab Luhwavi akiwasalimia baadhi ya viongozi baada ya kuwasili Ofisi za Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma, leo Aprili 3, 2016, kuzungumza na Makatibu wa CCM wa matawi na...
View ArticleMPAMBANO WA SERENGETI BOYS v THE PHARAOHS ELFU MBILI TU
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kiingilio cha shilingi elfu mbili tu (2,000) kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa kirafiki wa kimataifa kati ya Serengeti Boys (Tanzania U17)...
View ArticleSERIKALI YASEMA WAHISANI WATAENDELEA KUISAIDIA TANZANIA KATIKA BAJETI KUU YA...
Na MAELEZOTamko hilo limetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Servacius Likwelile kupitia taarifa yake kwa vyombo vya habari iliyotolewa hivi karibuni Jijini Dar es salaam.Taarifa hiyo...
View ArticleFASTJET YATOA ZAWADI SHINDANO LA PASAKA
Na Mwandishi wetu, Dar es SalaamJUMLA ya washindi 12 wamepewa tiketi za bure za safari ya ndege katika shindano lililodhaminiwa na Festjet Tanzania.Tiketi hizo ambazo zitawawezesha kusafiri katika...
View ArticleMAMBO 9 MUHIMU YA KUFAHAMU KUHUSU UKATILI KWA WATOTO
Afisa wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Asha Sarota akiwasilisha mada katika mafunzo ya waandishi wa habari kuhusu zana ya mawasiliano kuzuia ukatili dhidi ya watoto...
View ArticleDTB YAVUNA FAIDA YA SHILINGI BILIONI 27.3 MWAKA 2015
Diamond Trust Bank Tanzania, (DTB), imetangaza mafanikio makubwa katika matokeo ya biashara kwa mwaka 2015. Ripoti hiyo inaonyesha kuwa DTB inakua kwa kasi ukilinganishwa na ukuaji katika sekta ya...
View ArticleFASTJET YASITISHA SAFARI KILIMANJARO-NAIROBI
Dar es Salaam, Aprili 4, 2016 -Fastjet Tanzania imesitisha safari zake kati ya Kilimanjaro na Nairobi.Fastjet ilikuwa ikifanya safari kutoka Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwenda Uwanja wa...
View ArticleNI MKWAKWANI JUMAPILI HII – Mbeya City Council FC
NYOTA 18 wa kikosi cha Mbeya City Fc sambamba na viongozi 7, alfajiri ya leo, wamewasili salama jijini Tanga tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania bara dhidi ya Mgambo JKT uliopangwa kuchezwa...
View ArticleNAIBU WAZIRI ATOA AAGIZA KIWANJA CHA TBC KUPATIWA HATI.
Na WHUSMNaibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia Wambura amemuagiza Meneja wa Miradi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC ) Bw. Mackselin Chota kuhakikisha kiwanja Na.1...
View ArticleDROO YA NUSU FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO KESHO LIVE
Droo ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup), inatarajiwa kufanyika kesho Jumanne saa 3 usiku moja kwa moja (live) kupitia kituo cha luninga cha AzamTwo.Hatua ya Nusu...
View ArticleANNA KILANGO MALECELA ATENGULIWA UKUU WA MKOA WA SHINYANGA
Ikiwa ni muda mfupi tu tangu ateuliwe kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Rais John Pombe Magufuli amemfukuza kazi Anne Kilango Malecela (Pichani) ya Ukuu wa Mkoa wa Mkoa huo kwa madai kuwa alitoa taarifa...
View ArticleAFRIKA: BEI ZA CHINI ZA BIDHAA ZINAENDELEA KUKWAMISHA UKUAJI UCHUMI
WASHINGTON, Aprili 11, 2016 — Shughuli za kiuchumi katika bara la Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara zilidorora katika mwaka 2015, wakati ukuaji wa Pato Ghafi la Taifa ukiwa wa wastani wa asilimia...
View Article