Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

ANNA KILANGO MALECELA ATENGULIWA UKUU WA MKOA WA SHINYANGA

$
0
0

Ikiwa ni muda mfupi tu tangu ateuliwe kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Rais John Pombe Magufuli amemfukuza kazi Anne Kilango Malecela (Pichani) ya Ukuu wa Mkoa wa Mkoa huo kwa madai kuwa alitoa taarifa za uongo kwamba Mkoa wake hauna wafanyakazi hewa.

Pamoja naye RAS wa Mkoa pia ametimuliwa.

Taarifa zaidi zitafuata

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497