Quantcast
Channel: Matukio
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIPINDI CHA REDIO CHA SHUGA CHARUDI KWA KISHINDO

Mratibu wa Ukimwi kutoka Tume ya Kudhibiti ukimwi mkoa wa Njombe – TACAIDS Abubakari Magege akiongea na washiriki wa kipindi cha redio cha shuga katika uzinduzi rasmi wa msimu mpya wa kipindi hicho...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFANYAKAZI WA DW AACHIWA HURU BAADA YA KUTEKWA NYARA

Mfanyakazi wa kujitegemea wa Deutsche Welle nchini Tanzania, Salma Said(pichani Kulia), alizuiliwa kwa muda wa siku mbili na watu waliomteka nyara katika eneo moja lisilojulikana. Kwa mujibu wa polisi,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA AFANYA MABADILIKO KATIKA BAADHI YA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAYA NDIO MATOKEO RASMI YA UMEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA SOKO LA FERI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akielkea kwenye soko la samaki la Feri akitokea ofisini kwake Magogoni jijini Dar es salaam kukagua hali ya soko hilo Machi 22, 2016. Kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya...

View Article


MARCHI 24 MWISHO WA KUHAKIKI WATUMISHI ILALA

Na MAELEZOWatumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ilala wamepewa mpaka tarehe 24 Marchi mwaka huu wawe wamekwenda kuhakikiwa katika ofisi za utawala za Halmashauri hiyo katika kutekeleza agizo la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAIFA STARS KUVAANA NA CHAD

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager kimekamilika baada ya kundi la pili lenye wachezaji nane kuwasili leo mchana nchini Chad tayari kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAWASA YATOA DARASA KWA VIONGOZI WA JUMUIYA 15 ZA WATUMIA MAJI DAR ES SALAAM,...

Meneja Uhusiano wa Jamii wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es salaam (DAWASA) Bi.Neli Msuya akizungumza na viongozi wa Jumuiya 15 za Watumia Maji zilizojengwa chini ya mradi wa Maji Yetu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YAWAPONGEZA WAZANZIBARI NA RAIS SHEIN KWA KUTEULIWA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRL KUSAFIRISHA SARUJI YA TANGA KWA NJIA YA RELI

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akifafanua jambo baada ya kusaini makubaliano ya kusafirisha saruji ya kiwanda hicho kwa njia ya reli kutoka Tanga kwenda mikoa ya Kigoma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UFAFANUZI MABADILIKO ALIYOYAFANYA MHE. SPIKA YA WAJUMBE WA KAMATI ZA BUNGE.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKIMBIZI KIGOMA WAADHIMISHA SIKU YA MAJI DUNIANI

Jana wakimbizi kutoka katika kambi za Nyarugusu na Nduta zilizopo mkoani Kigoma waliungana na watu wengine ulimwenguni kuadhimisha siku ya maji duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni maji safi kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIONGOZO RAHISI YA USIMAMIZI SHIRIKISHI NA UVUNAJI MISITU KATIKA VIJIJI...

Kampeni ya Mama Misitu (MMC) kwa kushirikiana na Wizara ya Maliasili na Utalii Machi 23, 2016 imezindua miongozo miwili rahisi ya usimamizi shirikishi wa misitu kwa pamoja na uvunaji katika misitu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA SAMSUNG YAZINDUA SIMU MPYA YA GALAXY S7 NCHINI TANZANIA

Balozi wa Samsung akimwelezea mteja namna kifaa cha Gear VR kinavyofanya kazi siku ya uzinduzi wa Samsung Galaxy S7 uliofanyika Mliman City mwishoni mwa wiki iliyopita.Mteja akipata maelezo ya Samsung...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA WA PWANI ATEMBELEA MAJERUHI WA AJALI YA BAGAMOYO

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Everist Ndikilo akimjulia hali Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, Ibrahim Matovu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAREKEBISHO YA RATIBA YA VODACOM PREMIERSHIP

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE MHE. MATEMBE AWAKILISHA BUNGE LA TANZANIA ZAMBIA

Mbunge wa Viti Maalum kutoka Tanzania Mhe. Aysharose Matembe akifuatilia kwa makini ufunguzi wa Mkutano wa Wabunge Vijana kutoka Mabungu yote Duniani unaofanyika sambamba na Mkutano wa134 wa Umoja wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA KINONDONI AZINDUA RASMI UGAWAJI WA FEDHA ZA...

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mh. Boniface Jacob, CHADEMA/UKAWA, leo amezindua rasmi ugawaji wa fedha za Mikopo ya Mfuko wa wanawake na vijana katika Kata 6, kati ya Kata 34 zinazotarajia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBWANA SAMATTA AITESA TIMU YA TAIFA YA CHAD, TAIFA STARS YASHINDA 1

Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager leo imeibuka na ushindi wa bao 1- 0 dhidi ya wenyeji Chad katika mchezo uliomalizika jioni hii katika uwanja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TCRA YAWATAKA WANANCHI KUTOA MALALAMIKO SEHEMU HUSIKA.

Na MAELEZOMamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka wananchi wenye malalamiko yanayohusu huduma zitolewazo na makampuni ya simu kutosita kupeleka malalamiko yao kwenye makampuni husika.Meneja...

View Article
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live