TFF YATOA ANGALIZO KUHUSIANA NA MICHEZO YA KUBAHATISHA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa mshtuko taarifa za kuwepo makundi ya watu na makampuni wanaochezesha michezo ya kubahatisha inayohusu mashindano mbalimbali yanayoandaliwa na...
View ArticleMAHAFALI YA 4 YA CHUO CHA ZENITH NA TRAVELPORT TANZANIA
Mwalimu wa Chuo cha Zenith Learning Center Ali Mussa Mohammed, akizungumza kabla ya kuaza Mahafali ya Nne ya Chuo hicho yaliofanyika katika Ukumbi wa Chuo hicho Majestik Zanzibar jengo la Zanlink,Jumla...
View ArticleMAONESHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YAFANYIKA KISONGE ZANZIBAR
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Maonesho ya Siku ya Wanawake Duniani katika Viwanja vya Mnara wa Kumbukumbu ya Mapinduzi Kisonge Zanzibar. katika Viwanja vya Mnara wa Kumbukumbu...
View ArticleUDSM YAKANA KUWANYANYASA WATUMISHI WAKE
Na. MAELEZO.Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) umekanusha tuhuma zilizotolewa na baadhi ya wafanyakazi waendeshaji wa chuo hicho kwenye baadhi ya vyombo vya habari kuwa unaendesha vitendo...
View ArticleUFISADI: WATU 300,000 WAADHIBIWA CHINA (BBC)
Rais Xi ameangazia sana vita dhidi ya ulaji rushwaChama tawala cha Kikomunisti nchini Uchina kimesema maafisa karibu 300,000 wa chama hicho waliadhibiwa mwaka jana kwa tuhuma za ufisadi. Maafisa...
View ArticleMICHEZO 7 LIGI KUU YA TANZANIA (VPL) KUCHEZWA KATIKATI YA WIKI HII
Michezo saba ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) inatarajiwa kuchezwa katikati ya wiki hii, kwa kesho kuchezwa mchezo mmoja, huku michezo mingine sita ikichezwa siku za Jumatano na Alhamisi katika...
View ArticleKATIBU MKUU KIONGOZI MPYA AKARIBISHWA RASMI, ATEMBEZWA MAENEO MBALIMBALI...
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi, akitembezwa maeneo mbali mbali ya Ikulu Jijini Dar es salaam leo. Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akiwasili Ikulu Jijini Dar es salaam...
View ArticleNINAWATAKIA WANAWAKE WENZANGU ULIMWENGUNI, HERI YA SIKU YA MWANAMKE-MJ
Monica Joseph Mmiliki wa Kampuni ya Monfinance Investment Group na Muwakilishi wa Philips Tanzania."Wanawake Tunapashwa Kuona Jinsia yetu kama rasilimali na sio Dhima". ( Women should view their...
View ArticleMAPOKEZI YA RAIS WA VIETNAM, MHE. TRUONG TAN SANG ALIPOWASILI TANZANIA
Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Augustine Mahiga (kushoto) akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki wakati wa kumpokea Rais wa...
View ArticleRAIS WA VIETINAM ATUA NCHINI
Rais wa Vietinam , Trung Tan Sang na Mkewe Mai Thi Hahn wakipunga baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dar es salam kwa ziara ya siku tatu nchini, Machi8, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)...
View Article