MWAMUZI JONESIA RUKYAA KUCHEZESHA KOMBE LA DUNIA
Na Mwandishi WetuMwamuzi wa kike wa Kimataifa wa Tanzania mwenye beji ya FIFA, Jonesia Rukyaa(PICHANI ALIYETOA KADI YA NJANO) ameteuliwa kuungana na waamuzi kutoka nchini Kenya kuchezesha mchezo wa...
View ArticleMWANARIADHA WA TANZANIA AREJEA NCHINI, ASHIKA NAFASI YA TATU JAPAN
Mwanariadha wa Tanzania ,Alphonce Felix akirejea nchini akitokea nchini Japan kushiriki mashindano ya marathoni yajulikanayo kama Lake Biwa ambapo alifanikiwa kushika nafasi ya tatu akitumia muda wa...
View ArticleJAPAN YAVUTIWA KUWEKEZA SEKTA YA MAWASILIANO TANZANIA
Mwakilishi Mkuu wa Shirika la JICA Tanzania Bwana Toshio Nagase akiongozana na ujumbe wake amekutana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulikia Sekta ya Mawasiliano...
View ArticleBOBAN,KENNY ALLY KUIKOSA STAND UNITED – Mbeya City Council FC
Kiungo Haruma Moshi Boban atalazimika kusubiri mpaka Marchi 14 kuingia tena kwenye kikosi cha City kufuatia kusumbuliwa na maralia jambo linalomfanya kuukosa mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania bara...
View ArticleMCHUMBA WA MTOTO WA BOBBY BROWN ALIJARIBU KUOKOA MAISHA
Aliyekuwa boyfriend wa Bobbi Kristina Brown, Nick Gordon alijaribu kuokoa maisha yake baada ya kumkuta binti huyo kwenye sinki la kuogea akiwa haijtambui, wanasheria wake wamesema. Wanasheria...
View ArticleKIM KARDASHIAN AHADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE KWA KUTOA PICHA YA UTUPU
Wanaharakati wamekuwa mstari wa mbele kupinga picha za utupu kwenye mitandao sio tu Tanzania bali hata nchi mbalimbali tuniani. Kim Kardashian West, mke wa msanii maarufu duniani wa nchini Marekani,...
View ArticleSPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA RAIS WA VIETNAM
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiteta jambo na Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang leo mara walipokutana kwa ajili ya mazungumzo katika Hoteli ya Kilimanjaro 10 Machi,...
View ArticleRAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT) LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na uongozi wa juu wa Benki Kuu pamoja na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango na Katibu Mkuu wake Dkt. Servacius...
View ArticleSEMINA YA KUWANOA WADAU WA SEKTA YA SANAA, YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
Kwa mara ya kwanza, wadau wa Sanaa nchini wamepata fursa ya kukutana na Makampuni, Mashirika na Vyombo mbalimbali katika mafunzo yaliyofanyika hotel ya Hyatt Regency,jijini Dar es Salaam. Semina hii...
View Article