RAIS MAGUFULI AONGOZA MKUTANO WA17 WA WAKUU WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
Wanafunzi walioshinda mashindano ya Insha ya EAC wakipata selfie na viongozi baada ya Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha leo Machi 2, 2016 Rais Dkt John...
View ArticleTANZANIA YATAJWA KUWA MOJA KATI NCHI BORA ZAIDI DUNIANI ZA KUTEMBELEA
Na Mwandishi WetuShirika la habari la nchini Marekani, Fox News kupitia televisheni, limeitaja Tanzania kuwa moja ya nchi zenye mvuto wa kuvutia zaidi na kwamba ni ya kutembelea. Pamoja na Brazil,...
View ArticleWAKALA YA SERIKALI YAISHAURI SERIKALI KUFUATA MIONGOZO KATIKA MATUMIZI YA TEHAMA
Meneja wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Wakala ya Serikali Mtandao Bi. Suzan Mshakangoto akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa Habari kuhusu taratibu zinazotakiwa kuzingatiwa na taasisi za Serikali...
View ArticleSERIKALI KUJENGA MACHINJIO YA KISASA VINGUNGUTI
Na MAELEZOSerikali imejipanga kujenga machinjio ya kisasa katika eneo la Vingunguti Jijini Dar es Salaam ili kuondoa changamoto zilizopo machinjioni hapo ikiwa ni pamoja na kulinda afya za wachinjaji...
View ArticleTWIGA STARS TAYARI KUWAVAA ZIMBABWE KESHO
Kikosi cha timu ya Taifa ya Wanawake ya Mpira wa Miguu (Twiga Stars), leo kimefanya mazoezi ya mwisho tayari kwa kuwakabili timu ya Taifa ya Wanawake kutoka Zimbabwe (Mighty Warriors) katika mchezo wa...
View ArticleWASAMBAZAJI WA FILAMU TANZANIA WAIPONGEZA SERIKALI
PICHA: Rais waShirikisho la Filamu Tanzania Bw. Saimon Mwakifamba (Kushoto) akizungumza nawaandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati akitoa pongezi za Shirikisho laFilamu Tanzania (TAFF) kwa Serikali...
View ArticleWAKUU WA MIKOA WAPEWA JUKUMU LA KUTOA VIBALI VYA KUCHANGIA ELIMU
Na MAELEZOSerikali imeongeza wigo wa utoaji wa kibali cha uchangiaji wa elimu msingi bila malipo hadi kwa Wakuu wa Mikoa baada ya kujiridhisha kuwa taratibu zilizowekwa zimefuatwa kikamilifu.Katika...
View ArticleRC APIGA MARUFUKU VIBALI VYA MALORI YENYE MISIGO YA ZAIDI YA TANI 10
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Saidi Mecki Sadiki akizungumza na wajumbe wa Bodi ya Barabara ya Mkoa wa Dar es salaam kwenye kikao cha kwanza cha Bodi hiyo kwa mwaka 2016. Kulia ni Zungu Azzan na...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AWAONGOZA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kabla ya uzinduzi rasmi wa Barabara ya Arusha-Holili/Taveta-Voi Km 234.3 uliofanyika Tengeru...
View ArticleAKAMATWA KWA MENO YA TEMBO YENYE THAMANI YA MILION 27 MKOANI KATAVI
Na Daniel Mathias,Katavi.Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Robert Nyakie (40) mkazi wa Kanoge ‘A’ barabara ya tatu alikamatwa akiwa na vipande vinne vya meno ya tembo vyenye uzito wa kilogramu 11.50...
View ArticleWAZIRI WA FEDHA ZANZIBAR AZINDUZI WA TAWI LA BANK OF AFRICA MLANDEGE ZANZIBAR.
Tawi Jipya la Bank Of Africa lililofunguliwa na Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee likiwa Tawi la 22 Bank Of Afrika Nchini Tanzania, linalotowa huduma za Kibenki.Wajumbe wa Bank Of Africa...
View Article