↧
PONGEZI ZAMIMINIKA KUTOKA KWA MARAIS DUNIANI AKIWEMO MUGABE
↧
SASA UNAWEZA ANGALIA TELEVISION KWA SIMU ZA MKONONI
Dar es Salaam, Tanzania 19 Novemba 2015, kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imezindua huduma ya ziada itakayowawezesha wateja wake nchi nzima kuangalia vipindi vya televisheni katika vituo vya ndani na nje ya nchi kupitia simu zao za mkononi.
Huduma hii mpya ijulikanayo kama "Airtel TV" imeunganishwa na vituo 8 vya televisheni vya ndani na nje ya nchi na kuwawezesha wateja wa Airtel kuangalia vipindi vilivyopita katika tamsilia wanazozipenda, kuangalia sinema na video wanazohitaji kupitia simu zao.
Akiongea wakati wa uzinduzi wa "Airtel TV" Meneja Uhusiano wa Airtel, Bw Jackson Mmbando (PICHANI JUU)alisema "kwa kawaida mara nyingi watanzania wanaangalia vipindi vya televisheni wakiwa nyumbani wakati wa jioni baada ya kutoka katika kazi zao.
Tunazindua huduma yenye gharama nafuu itakayowawezesha wateja wetu kupata taarifa pindi wasipokuwapo majumbani mwao. "Airtel TV" itawapatia uzoefu wa kipekee na kuwahabarisha wateja wetu wakati wowote wakiwa katika shughuli zao au kwenye foleni, bila kikomo kupitia simu zao za mkononi"
" huduma hiii imelenga kukidhi mahitaji ya wateja kwa kuwapatia habari kiurahisi kwa kujiunga na kifurushi cha siku , wiki au mwezi. Tunaamini huduma hii itapunguza uwiano wa watu wasiokuwa na fursa ya kuangalia Televishoni na pia kuwawezesha kupata matukio kwa wakati kupitia simu zao mahali popote pale walipo" aliongeza Mmbando

Akiongea kuhusu mahudhui na jinsi ya kujiunga na huduma hiyo, Meneja huduma za ziada ,Prisca Tembo alieleza zaidi kuhusu dhamira yao ya kutoa huduma yenye kiwango cha juu na gharama nafuu. " tunayo furaha kuwawezesha watanzania kuangalia vipindi vya televisheni kupitia simu zao kwani tunaenda sambamba na mpango wa serikali wa kidigitali wenye lengo la kuwa na jamii kupata taarifa za yanayotokea ndani na nje ya nchi kwa wakati na kiwango cha juu.
Tembo aliongeza kwa kusema ili kupata huduma ya "Airtel TV" mteja anatakiwa kupakua au kudownload application kwa kupitia linki ya https://goo.gl/iSvaJC kwa simu za Android na https://goo.gl/IMvzCt kwa simu za IOS.
Baada ya kuzi download mteja ataweza kununua kifurushi cha internet maalum cha Televisheni kwa kupiga *148*88# tozo za kujiunga ni Tshs 499 kwa siku, Tshs 2,999 kwa wiki naTshs 11,999 kwa mwezi. Vituo vinavyopatikana katika "Airtel TV" ni pamoja na Star TV, TBC, Fight Box, 360 tune box, Citizen, FilmBox, Channel Ten na Aljazeera.

BREAKING NEWS: MAGUFULI AHAMISHIA MIL 235 ZA SHEREHE YA WABUNGE KUNUNUA VITANDA MUHIMBILI (VIDEO)
RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AMEMUAMBIA SPIKA WA BUNGE AHAMISHIE SHILINGI ZAIDI YA MILIONI 235 ZILIZOTOEWA NA WAFADHILI KWAAJILI YA SHEREHE YA KUFUNGUA BUNGE LA 41 MJINI DODOMA KWAAJILI YA KUNUNUA VITANDA KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI. . . ANGALIA VIDEO CHINI
VIDEO HII NI KWA HISANI YA MUHIDINI MICHUZI
↧
PANONE FC YASONGA MBELE LIGI YA SHIRIKISHO YA AZAM,YAIFUNGA POLISI 2 - 1.

Wachezaji wa timu ya soka ya Panone fc wakipasha misuli moto kabla ya kuanza kwa mchezo wa ligi ya shirikisho inayodhaminiwana Azam.

Wachezaji wa timu ya Polisi Dar wakipasha misuli moto kabla ya kuanza kwamchezo wa ligi ya shirikisho hidi ya Panone fc mchezo uliopigwa katika uwanja wa Chuo cha Ushirika.

Kocha wa timu ya soka ya Panone fc,Atuga Manyundo akizungumza na Azam TV iliyokuwa ikirusha mchezo huo moja kwa moja.

Wapiga picha wa Azam Tv wakiweka sawa mitambo yao kwa ajili ya kurusha live mchezo huo.

Vikosi vya timu za Polisi Dar na Panone fc vikiwa tayari kuingia uwanjani.

Vikosi vikiingia uwanjani.

Panone fc

Polisi Dar.

Wachezaji wa timu hizo wakisalimiana.

Benchi la Polisi Dar.

Benchi la Panone fc.

Kikosi cha Panone fc.

Waamuzi wa mchezo uo.

Camera maalum aina ya Drone akipiga picha za juu katika uwanja wa Ushirika wakati wa mchezo wa ligi ya Shirikisho kati ya Panone fc na Polisi Dar.

Azam Tv walikuwa live kurusha mchezo huo.

heka heka katika mchezo huo.

Panone fc wakishangilia baada ya kupata bao la kwanza.

Heka heka.

Heka heka langoni mwa timu ya Polisi Dar.

Wachezaji wa Polisi Dar wakishangilia mara baada ya kusawazisha bao.

Panone fc wakifanya mabadiliko ,mchezaji Pompy akinngia.

Baadhi ya Mashabiki waliojitokeza katika mchezo huo.

Figisu figisu ilipotokea uwanjanihapa kidogo wachezaji wa timu zote mbili akioneshana msuli.

Mmoja wa wachezaji wa timu ya Panone fc akiwa chini akisikilizia maumivu baada ya kuchezewa vibaya na mchezaji wa Polisi Dar.

Mchezaji wa Panone fc akipewa msaada wa huduma ya kwanza mara baada ya kuchezewa vibaya.

Mlinzi wa timu ya Panone fc Pompy akijaribu kumiliki mpira.

Aliyekuwa Kocha wa timu ya soka ya JKT Ruvu ,Felix Minziro akiwa katika uwanja wa Ushirika akifuatilia mchezo kati ya timu ya Panone fc na Polisi Dar ,

Moja ya heka heka langoni mwa timu ya Panone fc.

Pompy akijaribu kumzuia msgambuliaji wa timu ya Polisi Dar,

Mwamuzi wamchezo huo ,Nathan akiashiria kumalizika kwa dakika 90 za mchezo huo.

Mwisho wa mchezo Panone fc 2 Polisi Dar 1.

Waamuzi wakitoka uwanjani.

Wazee wa kubeti nao hao hawako nyuma sasa hivi wanatembea na mashine zao hadi katika viwanja vya michezo.

Wapiga picha wa Azam Tv wakichukua matukio mbalimbali.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
↧
KANDA YA KASKAZINI WAZINDUA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA

Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili kanda ya Kaskazini na Meneja Miradi wa Shirika lisilo la kiserikali la NAFGEM,Honorata Nasuwa akizungumza na wanahabari(hawako pichani ) juu ya uzinduzi huo,kushoto kwake ni Afisa Ushawishi na utetezi (KWIECO) na mratibu wa maadhimisho hayo kanda,Hilary Tesha.

Baadhi ya wajumbe wa kamati ya maandalizi ya uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili kanda ya Kaskazini.

Baadhi ya waandishi wa habari mkoa wa Kilimanjaro wakifuatilia taarifa juu ya uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia.

Mjumbe wa kamati ya maandalizi ya siku 16 zakupinga ukatili na aliyekuwa Mwenyekiti wa dawati la Jinsia,Grace Lyimo akizungumza jambo katika kikao cha kamati hiyo na wanahabari.

Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia taarifa hiyo.
Na Dixon Busagaga.
↧
↧
MILEY CYRUS KAZIDISHA. . ., AMNYONYA DANCER WAKE MATITI JUKWAANI (ANGALIA PICHA)
Tunajua kichaa chake, usiku wa alhamisi iliyopita, Miley Cyrus (KUSHOTO PICHANI) alifanya kituko ambacho hakijawahi kutokea akiwa jukwaani, wakati akifanya onesho la kukata na shoka jijini Chicago.
Aliingia jukwaani katika ukumbi wa Rivera akiwa amevalia vazi la aibu mno ambalo linaonesha maungo yake na uume wa bandia.
Aliingia jukwaani katika ukumbi wa Rivera akiwa amevalia vazi la aibu mno ambalo linaonesha maungo yake na uume wa bandia.
Lakini kama haitoshi alimnyonya mcheza sho wake maziwa akiwa jukwaani. . .
↧
ARUSHA SASA KUFURAHIA INTANETI YA KASI ZAIDI KUTOKA TIGO
Arusha, Novemba 18 2015. Wateja wa Tigo waishio Arusha sasa wanaweza kupata mtandao wa intaneti wenye kasi kubwa zaidi kufuatia upanuzi wa upatikanaji wa huduma ya 4G LTE hadi kufikia jiji hilo lilopo kaskazini mwa Tanzania Teknolojia ya 4G LTE ina kasi mara tano zaidi kuliko teknolojia ya 3G inayopatikana nchini kwa sasa.
‘’Upanuzi huu umetokana na mafanikio makubwa yaliyopatikana katika majaribio ya awali ya utoaji huduma ya 4G jijini Dar es Salaam kuanzia mapema mwaka huu’’, amesema Mkuu wa Kitengo cha Internet David Zacharia.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha, Zacharia amesema: "ni kielelezo cha jinsi ambavyo Tigo imedhamiria kufanikisha kuleta mabadiliko ya dijitali katika maisha ya watanzania na pia kuwa katika msitari wa mbele wa kutumia teknolojia ya kisasa na kibunifu nchini Tanzania."
Mtandao wa 4G LTE una kasi kubwa zaidi katika kuperuzi na kupakua kwa rahisi kutoka kwenye mtandao wa intaneti na pia katika kufanya mawasiliano kwa njia ya Skype. Huduma hii pia inaharakisha urushwaji wa picha za video na ubora hali ya juu na kufanya mikutano kwa njia ya mtandao.
“Tunapenda kuwahakikishia wateja wetu waishio Arusha kwamba sasa wanaweza kufurahia huduma bora zaidi za mawasiliano kutoka Tigo na Intaneti yenye kasi zaidi,” Gutierrez amesema. Arusha ni makao makuu ya taasisi nyingi za kimataifa ikiwemo Jumuiya ya Afrika Mashariki na kitovu cha utalii nchini.

Wateja wote wa Tigo 4G LTE watanufaika na promosheni; kila atakapo ongeza salió la shilingi elfu moja au zaidi, atapata mb 500 bure kama bonasí.
Ametaja miji mingine katika mikoa sita ambapo 4G itaanza kupatikana hivi karibuni kuwa ni Arusha, Dodoma, Morogoro, Moshi, Mwanza na Tanga, “jambo ambalo linaifanya Tigo kuwa na mtandao mkubwa wa 4G nchini Tanzania.” Lengo kuu ni kufkisha huduma ya 4G katika kila kona za nchi ifikapo mwaka ujao, Zacharia ameongeza kusema.
![]()
Mshereheshaji wa hafla MC Taji Liundi akitoa maelekezo jinsi intaneti ya kasi zaidi kutoka Tigo katika hafla ya uzinduzi wa intaneti ya kasi ya Tigo LTE iliyofanyika jijini Arusha mwishoni wa wiki iliyopita
![]()
Wadau Husni na Benedict Mponzi wakiwa katika pozi katika hafla ya uzinduzi wa intaneti ya kasi ya Tigo LTE iliyofanyika jijini Arusha mwishoni wa wiki iliyopita
![]()
Watoa huduma wa Tigo wakiwa katika pozi tayari kutoa msaada na maelekezo jinsi gani wateja wa TIgo wa jijini Arusha na maeneo ya jirani watakavyofurahia intaneti ya kasi hafla ya uzinduzi wa intaneti ya kasi ya Tigo LTE iliyofanyika jijini Arusha mwishoni wa wiki iliyopita
![]()
Mkuu wa kitengo cha biashara wa Tigo Bw, Shavkat Berdiev akitoa hotuba fupi katika hafla ya uzinduzi wa intaneti ya kasi ya Tigo LTE iliyofanyika jijini Arusha mwishoni wa wiki iliyopita
![]()
Wageni rasmi wakipiga ngoma kama kuashiria uzinduzi rasmi w a Intaneti ya kasi zaidi nchini ya TIGO 4G lte katika hafla ya uzinduzi huo iliyofanyika jijini Arusha mwishoni wa wiki iliyopita
![]()
Watoa huduma wa Tigo mkoani Arusha wakiwa katika pozi na tayari kutoa huduma na maelekezo jinsi huduma ya Tigo 4G lte itakavyowanufaisha wakazi wa jiji la Arusha na maeneo ya jirani katika hafla iliyofanyika jijini Arusha mwishoni wa wiki iliyopita
![]()
Mtaalamu wa mitandao ya kijamii wa Tigo , Bi Samira Baamar akiwa na washindi wa zawadi za vifaa vya intanet vinavyotumia teknolojia ya 4g lte (MODEM NA ROUTER ) waliofanikiwa kujishindia katika hafla ya uzinduzi wa intaneti ya kasi ya Tigo LTE iliyofanyika jijini Arusha mwishoni wa wiki iliyopita
![]()
Mgeni rasmi Wilson E Nkambaku , mkuu wa wilaya Arumeru akitoa hotuba fupi katika hafla ya uzinduzi wa intaneti ya kasi ya Tigo LTE iliyofanyika jijini Arusha mwishoni wa wiki iliyopita
![]()
Umati wa wakazi wa jiji la Arusha wakifurahia jambo katika katika hafla ya uzinduzi wa intaneti ya kasi ya Tigo LTE iliyofanyika jijini Arusha mwishoni wa wiki iliyopita

JAMAA ALIYEBADILI JINSIA AJIUA, KISA KAHUKUMIWA KWENDA JELA YA WANAUME
Mwanaume aliyebadili jinsia na kuwa mwanamke aliyetishia kujiua iwapo angepelekwa jela ya wanaume, amekutwa amekufa. Vicky Thompson (PICHANI KULIA), mwenye umbra wa miaka 21, alihukumiwa kifungo cha miezi 12 katika jela ya HMP Leeds baada ya kuvunja makubaliano ya hukumu aliyopewa awali.
Kwa mujibu wa gazeti la Daily Mirror la niching Uingereza, Mwanasheria wa Vicky, Mohammed Hussain alimweleza hakimu kuwa Vicky ni mwanamke na kumtaka ampeleke kutumikia kifungo chake katika mahakama ya New Hall kitengo cha wanawake, karibu na Wakefield.
Gazeti la Daily Mirror lilieleza kuwa Vicky ambaye bado alikuwa hajabadilishwa maungo yake kwa njia ya upasuaji, alikerwa sana na kitendo cha kufungwa katika jela ya wanaume na kutahadharisha kuwa angejiua.
Hata hivyo sheria za magereza nchini Uingereza zinasema wazi kuwa, mshtakiwa atatumikia kifungo katika jela kutokana na jinsia yake. “ na kwa mujibu wa sheria za nchini Uingereza” hiyo ni kumaanisha kutokana na jinsia iliyoandikwa katika cheti cha kuzaliwa.
Vicky Thompson mkazi wa Keighley, West York nchini Uingereza amekuwa akijitambilisha kama mwanamke tokea akiwa mdogo lakini hakuwahi kufanyiwa upasuaji kubadilisha maungo yake.

WAKENYA WAJIANDAA KUMPOKEA PAPA FRANCIS, ULINZI KUIMARISHWA
Serikali ya Kenya imesema maandalizi ya kumlaki Papa Francis nchini Kenya yamekamilika na ziara yake inatarajiwa kuwa ya kufana.
Kwenye kikao na wanahabari, Msemaji wa Ikulu Manoah Esipisu na Inspekta Mkuu wa Polisi Joseph Boinnet walisema hatua madhubuti zimechukuliwa kumpokea kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki duniani.
“Hili ni tukio muhimu sana, nchi yetu inamkaribisha Papa Francis kwa mara ya kwanza barani Afrika, na ningependa kusema kwamba tuko tayari kumpokea pamoja na msafara wake, usalama umeimarishwa tukiangazia kuanzia kuasili kwake, njia atakazotumia na pia kwa wageni wote watakaomiminika jijini hapa,” alisema Bw Boinnet.
Barabara atakazokuwa akipitia Papa Francis zitafungwa zikiwemo Mombasa Road, Uhuru Highway, Waiyaki Way na Thika Road, hatua ambayo inatarajiwa kuathiri uchukuzi jijini.
Katika mkutano huo na wanahabari askofu Alfred Rotich anayewakilisha maaskofu wa Kikatoliki nchini Kenya, alieleza kuridhishwa kwake na maandalizi na kuwakaribisha Wakenya kushiriki misa.
Hata hivyo amesema mapadri ambao wamekiuka kanuni ya useja, hawatakaribishwa kumuona Papa Francis.
“Hili ni ombi la kanisa kwamba tuendelee na useja, sisi ni watu ambao tunatii viapo vya umaskini, watu wenye roho safi, na watiifu, kama kuna kuhani yeyote ambaye alijiondoa katika kanisa halisi la katoliki, hatutawakaribisha kamwe,” alisema.
Papa Francis atawasili Nairobi Jumatano tarehe 25 mwendo wa alasiri, na moja kwa moja ataelekea kwa ikulu ya Rais kugagua gwaride na kuhutubia taifa kwa pamoja na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta
Alhamisi tarehe 26, kutakuwa na mkutano wa dini nyumbani kwa mwakilishi wa Vatican nchini Kenya, halafu hapo baadaye ataelekea katika chuo kikuu cha Nairobi kuongoza misa kabla ya kuandaa kikao cha maaskofu na viongozi wa dini.
Ijumaa tarehe 27 ataelekea katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Yosefu Mfanyakazi katika kitongoji cha Kangemi viungani mwa mji wa Nairobi, na baadaye kuelekea katika uwanja wa Kasarani kuhutubia vijana.

(BBC SWAHILI)
↧
↧
STANDARD CHARTERED BANK YAPATA MKURUGENZI WA KWANZA MTANZANIA
↧
BIMA YA AFYA NHIF YAKANUSHA KUDAIWA NA HOSPITAL YA RUFAA MBEYA
Na Mwandishi Wetu, Dar es salaam
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya nchini umekanusha kuwepo kwa madai yaliyotolewa na Hospital ya Rufaa Mkoani Mbeya kuwa wanaudai Mfuko jumla ya shilingi bilioni 2 na kwamba wanaudai Mfuko kutoka mwezi Juni, 2015.
Akizungumza jijini Dar es salaam Kaimu Mkurugenzi Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Ndugu Michael Mhando amesema madai yaliyotolewa na Hospital hiyo ya Rufaa Mkoa wa Mbeya hayana ukweli wowote nakwamba mfuko huo unalipa madai baada ya mtoa huduma kuwasilisha kwenye Mfuko.
Amesema madai ya mwisho ya Hospitali hiyo kulipwa ni ya mwezi Agosti, 2015. Madai ya mwezi Septemba, 2015 yamewasilishwa kwenye Mfuko tarehe 4/11/2015 ambayo mpaka sasa yana siku 15 tu. Kwa hiyo Hospitali ya Rufaa ya Mbeya tumewalipa madai yao yote na kwa mwaka huu wa 2015 kuanzia Januari hadi Agosti 2015 tumewalipa kiasi cha shilingi bilioni 4.3.
Madai mengi ambayo yamekuwa yakiwasilishwa kwao yamegubikwa na udanganyifu mkubwa hali inayowafanya kuchukua muda mrefu katika uhakiki wake ikiwemo kuwapigia simu wagonjwa waliopewa huduma za matibabu.
Aidha Mhando amesema mfuko huo unatoa onyo kali kwa watoa huduma ambao wamekuwa bado wakijihusisha na udanganyifu wa aina yoyote kwa kuwa haitawaonea haya kuwafutia usajili na kuwafikisha katika vyombo vya sheria.
Amesema Mfuko pia unazidi kutoa rai kwa watoa huduma kutumia fursa zinazotolewa na Mfuko katika kuhakikisha huduma za matibabu zinaboreshwa kwa wanachama na Watanzania kwa ujumla.
Wakati huo Kaimu mkurugenzi huyo amesema Katika kipindi hiki, baadhi ya watoa huduma wamekuwa wakitoa sababu mbalimbali za kushindwa kutoa huduma nzuri ama za kuridhisha kwa wanachama wao na wananchi kwa ujumla kwa kisingizio cha kukosa fedha hali inayosababisha kukosa dawa, kukosa vifaa tiba na vitendanishi pamoja na kushindwa kuboresha mazingira ya vituo.
Watoa huduma hao wanadai hayo ama wanatoa visingizio vya kukwama huduma katika maeneo yao kutokana na NHIF kuchelewa kulipa fedha fedha za madai ambayo wametibia wanachama wake.
Amesema taarifa hizo zinajenga mazingira kuwa NHIF ni kikwazo katika ufanisi wa vituo hivyo jambo ambalo si la kweli na limebeba taswira ya kuleta chuki baina ya wanachama ama wananchi na chombo chao ambacho kina dhamana ya kuwatibia.
Hata hivyo Mhando amekanusha kuwa wao ndio kikwazo ama sababisho la huduma mbovu katika vituo hivyo nah ii inatokana na ukweli kwamba zipo jitihada mbalimbali ambazo NHIF imekuwa ikizifanya kuhakikisha inasaidiana na Serikali katika kuboresha huduma za vituo hivyo ili wananchi kwa pamoja wapate huduma zinazostahili.
(Imeandaliwa na Mtandao wa Jamiimoja blog)
↧
BREAKING NEWS:SHEREHE ZA UHURU KUTOFANYIKA MWAKA HUU
“Rais Dr. John Pombe Magufuli ameamuru kuwa siku ya Uhuru yaani 9 December hakutakuwa na shamra shamra zozote watu wote watafanya usafi wa mazingira ili kutokomeza ugonjwa wa kipindupindu kwa maana hiyo hakutakuwa na sherehe za magwaride katika uwanja wa Uhuru kama ilivyozoeleka” amesema Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue alipofanya ziara katika Hospitali ya Taifa Muhimbili leo
↧
MBUNGE WA CHUMBUNI APOKELEA NA WAPIKA KURA KWA SHANGWE AKITOKEA DODOMA
Mhe Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe Ussi Salum Pondeza AMJAD akipongezwa na Mke wakati alipofika kumpokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Dodoma kuhudhuria hafla ya kuapishwa wiki iliopita.
Mbunge wa Jimbo la VChumbuni Zanzibar akiwa na Mgombea Uwakilishi wa Jimbo hilo Miraji akimpongeza baada ya kuwasili Zanzibar akitokea Bungeni Dodoma kuhudhuria hafla ya kuapishwa iliofanyika wiki iliopita.
Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Ussi Salum AMJAD akisalimiana na wapiga kura wake waliofika uwanja wa ndege kumpokea baadha ya kuhudhuria hafla ya kuapishwa kuwa Mbunge wao.
Wananchi wa Jimbo la Cumbuni Zanzibar wakimlaki Mbunge wao wakati akiwasili Zanzibar akitokea Dodoma kuhudhuria sherehe za kuapishwa zilizofanyika wiki iliopita Mjini Dodoma.
Viongozi wa CCM Jimbo la Chumbuni wakimlaki Mbunge wao alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Dodoma kuhudhuria sherehe za kuapishwa zilizofanyika wiki iliopita Mjini Dodoma.
Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe Ussi Salum Pondeza AMJAD akiwa na Viongozi wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar waliofika kumpokea uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar akitokea Mjini Dodoma kuhudhuria sherehe za kuapishwa wiki iliopita.
Imetayarishwa na OthmanMapara,Blogspot.
Zanzinews.com
Email othmanmaulid@gmail.com.
↧
↧
RC KILIMANJARO AKUTANA NA MAOFISA WA MANISPAA KUJADILI HOFU YA KIPINDUPINDU

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Amosi Makala akiwa katika ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi,kuzingumza na watendaji wa Afya na Mazingira.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Amosi Makala akifurahia jambo mara baada ya kukutana na watendaji wa Halmashauri kuzungumzia juu ya hofu ya Ugonjwa hatari wa Kipindupindu.kushoto kwake ni kaimu mkurugenzi wa Manispaa hiyo Jeshi Lupembe.

Baadhi ya watendaji.

Mkuu wa wilaya ya Moshi ,Novatus Makunga akiwa na mmoja wa maofisa wakifuatilia maelelzo yaliyokuwa yakitolewa ofisini hapo.

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Amos Makala akizungumzia changamoto iliyojitokeza hivi karibuni ya kujaa kwa dampo la kutupa taka hali iliyosababisha mrundikano wa takataka katika maeneo mbalimbali ya mji wa Moshi,Hapa alikuwa akitoa agizo taizo hilo kushughulikiwa mara moja.

Baada ya agizo hilo mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga alifanya ziara katika dampo lilopo Kaloleni kujinea tatizo lililosabaisha magari ya kubeba taka kushindwa kuendelea na zoezi hilo.

Katapila likijaribu kusawazisha takataka katika eneo hilo la dampo ili kurahisisha utupwaji wa taka katika eneo hilo.

Wakati zoezi la kurekebisha barabara katika eneo la dampo likiendelea,mmoja wa wananchi kkatika eneo hilo alikuwa na shughuli ya kujiokotea vitu ambayo anadhani vitamsadia katika kujipatia kipato.

Mifugo aina ya Mbuzi pia wamekuwa wakifanya eneo hilo la dampo kama sehemu ya kujipatia chakula.

Wafanyakazi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi wakizoea taka zilizokuwa zimerundikana katika eneo la jirani kabisa na soko la Manyema mjni hapa.

Shughuli ya uzoaji taka ikiendelea.

Mkuu wa wilaya ya Moshi ,Novatus Makunga akizungumza namna ambavyo utekelezaji wa agizo la mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro lilivyoanza ikiwa ni njia moja wapo ya kukabiliana na Ugonjwa hatari wa Kipindu pindu.

Hivi ndiyo hali iliyokuwa katika soko la MANYEMA.

DC Makunga akijionea hali halisi.

Moja ya dampo likiwa limejaa taka.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
↧
MAKAMU WA RAIS ATETA NA MTANDAO WA WANAWAKE

Katika mazungumzo hayo Makamu wa Rais aliueleza ujumbe huo kuwa wakati wa kampeni aliahidi pamoja na kazi za kumsaidia Mhe. Rais bado kama mama atafuatilia kwa karibu utekelezaji wa ahadi ya kupatikana kwa maji safi na salama, kuboresha afya ya mama na mtoto, elimu na mazingira.
“Nilipokuwa kwenye kampeni nimejionea shida ya maji na wanawake ndiyo wanaopata tabu ya kutembea mwendo mrefu kutafuta maji. Kwa hiyo, pamoja na kazi zangu za kumsaidia Mhe. Rais nitasimamia miradi yote ya maji, alau tuhakikishe maji yanapatikana umbali wa mita 400 kutoka eneo wananchi wanakoishi au karibu zaidi”.
Alisema kinachofurahisha zaidi suala la maji liko kwenye Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) na miradi mingi ikiwemo ya kuchimba visima virefu katika mikoa kama vile ya Singida na Dodoma iko kwenye mchakato na cha msingi ni kusimamia fedha zinatumika kuleta maji kama ilivyokusudiwa.
Kuhusu afya ya mama na mtoto alisema kazi hiyo ataianza hivi karibuni kwa kushirikiana na Mashirika yasiyo ya kiserikali yanayotetea haki za wanawake ili kupunguza vifo vinavyosababishwa na mimba za utotoni.
“Hili tutajitahidi kulipunguza kwa kiasi kikubwa na hasa baada ya serikali ya Awamu ya Nne kusema kwamba shule ya msingi ya lazima ni kutoka darasa la kwanza hadi kidato cha nne”, alisema na kuongeza
“Katika kipindi hicho binti atakuwa amefikisha miaka 17, atakuwa tayari kukabiliana na mambo ya uzazi tofauti na ilivyo sasa ambapo anamaliza darasa la akiwa mdogo na matokeo yake anapata mimba katika umri mdogo. Mtusaidie kupiga debe huko nje utekelezaji uweze kufanikiwa.”
Hata hivyo, alisisitiza kusimamia suala la kuhakikisha zahanati, vituo vya afya na hospitali nchini zinakuwa na dawa na vifaa tiba vya kutosha katika wodi za wazazi kwa ajili ya kuhudumia akina mama na wananchi kwa ujumla ambao wengi wanaonekana ni watiifu kwa serikali yao.
Kwa upande wa elimu Mhe. Samia alisema atasimamia ujenzi wa mabweni kwa watoto wa kike na kuhakikisha mazingira yanatunzwa kwa sababu uharibifu wa mazingira ndiyo umekuwa chanzo cha upungufu wa maji nchini.
Aidha aliuambia ujumbe huo kuwa hivi sasa tuna mpango wa kuimarisha utendaji serikalini kuanzia serikali kuu hadi serikali za mitaa ili kinachopatikana kidogo kimfikie kila mwananchi.

“Tutaendelea kuaihirisha sherehe ili fedha hizo ziweze kutumika kwa mambo ya kijamii. Kwa msimamo huu amabao Mhe. Rais ameanza nao labda watu wote tushirikiane kwa kutatua matatizo yetu kwa gharama nafuu kwa ufanisi mkubwa.”
Mapema akizungumza kwa niaba ya wenzake Mwenyekiti wa Mtandao huo Prof Ruth Meena alimpongeza Mhe. Samia kwa kushika nafasi ya juu ya uongozi akiwa mwanamke wa kwanza kuweka historia katika Tanzania.
Alimweleza Mhe. Makamu wa Rais matarajio yao kwa serikali ya Awamu ya Tano kuwa itatetea misingi ya haki na usawa katika Nyanja zote.
![]()
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Mtandao wa Wanawak yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dares Salaam.
![]()
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea baadhi ya Vipeperushi na Vitabu vya Mtandano wa Wanawake Tanzania (WFT) kutoka kwa mwenyekiti wa mtandao huo, Prof.Ruth Meena, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dares Salaam.
![]()
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Mtandao wa Wanawak yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dares Salaam, leo Nov 24, 2015. Picha na OMR e Tanzania (WFT) baada ya mazungumzo yao.

MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI KUFANYIKA SINGIDA
Maambukizi ya ukimwi yameongezeka kwenye kundi la vijana wenye umri wa miaka kati ya 19 mpaka 24 tofauti na ilivyokuwa miaka minne iliyopita, ambako kundi lililokuwa limeathiriwa zaidi lilikuwa miaka kati ya 25 mpaka 34, imeelezwa pia licha ya kwamba kiwango cha maambukizi mapya ya virusi hivyo nchini kimeshuka kutoka asilimia 7 mwaka 2004 mpaka kufikia asilimia 5.3 mwaka huu, takwimu za baadhi ya mikoa ikiwemo Singida, Kigoma,Arusha, Mtwara, Kilimanjaro na Kagera zimeonekana kuongezeka.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) kuhusu maandalizi ya maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani kwa mwaka huu, Dk.Fatma Mrisho(pichani juu), alisema kazi kwa ujumla kazi kubwa imefanyika.
Alisema ikilinganishwa na miaka 10 iliyopita, maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi yamepungua kwenye maeneo mengi ya nchi kutokana na jitihada za serikali, wadau na wananchi kwa ujumla.
Dk. Mrisho alisema licha ya mikoa kadhaa kuendelea kuandamwa na maambukizi hayo, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo maendeleo na mwingiliano wa watu, mikoa ya Tanga na Manyara ndiyo yenye takwimu chache za maambukizi zikiwa na asilimia 4 pekee.
Alisema kutokana na takwimu hizo, maadhimisho ya mwaka huu ya siku ya Ukimwi duniani kitaifa yatafanyika mkoani Singida, ambapo yatazinduliwa leo wilayani Singida mjini na Mkuu wa mkoa huo Parseko Kone, huku Rais Dk. John Magufuli akitarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kilele Desemba 1, mwaka huu.
Alisema maadhimisho hayo yatatumika kufanya kazi kama ilivyo kauli mbiu ya uongozi wa serikali ya awamu ya tano ambapo pamoja na mambo mengine, zaidi ya watu 3,500 wanatarajiwa kupimwa afya zao huku zaidi ya 10,000 wakitegemewa kupewa mafunzo maalumu kuhusu Ukimwi na virusi vya Ukimwi (VVU).
Alisema kauli mbiu ya mwaka huu ya maadhimisho hayo ni “Tanzania bila maambukizi mapya ya VVU, vitokanavyo na Ukimwi na ubaguzi, unyanyapaa inawezekana,” hivyo kila mtu ashiriki kikamilifu katika kutekeleza mikakati ya serikali ya kudhibiti Ukimwi kitaifa na kimataifa ikiwa ni pamoja na kufikia malengo ya maendeleo endelevu ya milenia (MSDG)
Kauli mbiu hii inalenga kutoa msukumo wa utekelezaji wa mikakati mbalimbali ya kudhibiti Ukimwi kitaifa na kimataifa ili kufikia azma ya sifuri tatu yaani, maambukizi mapya sifuri, vifo vya Ukimwi sifuri na unyanyapaa sifuri,” alisema
Aliongeza kuwa kufanyika maadhimisho hayo mkoani Singida kutatoa fursa wadau wa udhibiti Ukimwi nchini ikiwemo utoaji elimu, huduma mbalimbali za kiafya na burudani.
Alisema kumeandaliwa kongamano la kitaifa kutathmini hali ya mwelekeo wa udhibiti Ukimwi nchini litakalofanyika Novemba 29 na 30 pamoja na uzinduzi wa mfuko wa fedha wa kudhibiti Ukimwi nchini (AIDS Trust Fund) unaolenga kuongeza uwezo wa ndani wa kugharamia huduma muhimu kudhibiti Ukimwi.
Pia alisema, “Katika maadhimisho ya mwaka huu tutakuwa na uzinduzi wa kituo cha maarifa ya kudhibiti Ukimwi kilichoko Manyoni kilichojengwa na TACAIDS kupitia program ya ‘Kilimanjaro Challenge Against HIV na AIDS’, inayoratibiwa na kampuni ya uchimbaji madini ya Geita (GGM).
“Lengo la kituo hiki ni kutoa elimu ya udhibiti Ukimwi na huduma mbalimbali kama vile upimaji na ushauri nasaha kwa wasafirishaji wengi kutokana na uwepo wa kituo cha treni, mapumziko makubwa ya Pamoja na kituo hicho, TACAIDS watazidua vituo vingine sitavilivyojengwa katika maeneo ya Bandari ya Dar es Salaam vituo viwili, Iringa (viwili) na Mbeya eneo la Tunduma vituo viwili. Kwa mujibu wa
Dk. Mrisho, Vituo hivi vimeanzishwa kwa ushirikiano wa TACAIDS na Taasisi ya North Star Alliance (NSA)
National Programe Officer wa UNAIDS, Fredrick Macha (kulia), akizungumza katika mkutano huo.
Baadhi ya Washiriki waliokuwepo pamoja na wanahabari wakifuatilia kwa kina mkutano huo wa maandalizi ya siku ya ukimwi.
Wakiendelea kufuatilia mkutano huo liowashirikisha waandishi wa habari.
↧
FAMILIA YA MTOTO ALIYESINGIZIWA KUBEBA BOMU YADAI BILIONI 32
Familia ya mtoto wa Kiislamu aliyekamatwa baada ya kubuni na kutengeneza saa yake na kuipeleka shuleni kisha kudahiniwa kuwa amebeba bomu, wanadai fidia ya dola milioni 15(sawa na takribani shilingi bilioni 32 za Kitanzania)
Familia ya Ahmed Mohamed pia wanadai kuombwa radhi na jiji la Irving pamoja na shule baada ya kijana huyo wa miaka 14 kukamatwa na polisi mwezi wa tisa mwaka huu.
Kwa mujibu wa gazeti la NY Daily, mwanasheria anayewakilisha familia hiyo alituma barua katika jiji la Irving, lililoko mashariki mwa Dallas pamoja na shule ya Wilaya ya Irving Independent School nchini Marekani, akielezea kuwa mwanafunzi huyo wa darasa la tisa alisingiziwa na kukamatwa kisha kuwekwa rumande na kuhojiwa bila wazazi uwepo wa wake.
Familia ya Mohamed inalidai jiji dola za Marekani milioni 10 (sawa na takribani shilingi za Tanzania bilioni 21) pamoja na shule ya wilaya hiyo dola milioni 5(sawa na shilingi za Tanzania Bilioni 11) lasivyo watafungua kesi ndani siku 60, barua hiyo ilieleza.

BINTI ALIYEJIUNGA ISIS APIGWA MPAKA KUFA ALIPOJARIBU KUTOROKA
Samra Kesinovic, 17, pichani kushoto aliondoka Austria mnamo 2014 mwezi aprili akiwa na rafiki yake Sabrina Selimovic, imedaiwa amepigwa na magaidi wa kundi la magaidi wa Kiislam wa ISIS mpaka kupoteza maisha wakati alipojaribu kutoroka eneo la Raqqa.
Inaaminika kuwa Sabina alifariki mwezi disemba mwaka jana wakati wa kipindi cha mapigano makali. Wasichana hao wawili walionekana katika video ya propaganda za ISIS mda mfupi baada ya kuwasili nchini Syria. Rafiki yake ambaye waliambatana aliuwawa miezi michache kabla yake.
Samra Kesinovic na rafiki yake Sabina Selimovic(kulia) wakiwa katika picha iliyopigwa na kundi la magaidi wa ISIS mda mfupi baada ya kuwasili nchini Syria mwezi aprili 2014.
Magazeti kadhaa ya Australia yameripoti kwamba Samra alipigwa mpaka kupoteza maisha alipokuwa akijaribu kutoroka Raqqa.
Pamoja na kwamba maafisa wa serikali wamegoma kuongelea suala hilo.
Wasichana hao wawili wenye asili ya Viena wakiwa na umri wa miaka 17,16 ambao wazazi wao wote wawili ni wakimbizi wa Bosnia, walipotea mwezi aprili mwaka jana, kwa madai kuwa wanataka kwenda kupigana vita nchini Syria.
Kwa mujibu wa gazeti la The Local lililomkariri mwanamke mmoja raia wa Tunisia aliyekuwa anaishi na wasichana hao katika kambi ya Raqqa, ambaye pia hakutaka kutajwa jina lake, alidai kuwa alifanikiwa kutoroka kambi ya ISIS.
Mapema mwaka huu, maafisa wa Umoja wa Mataifa waliripoti kuwa wasichana wawili wenye asili ya Austria wenye makazi yao Vienna wamedhibitishwa kufa katika mapigano.
Kwanza walikwenda katika mji mkuu wa Uturuki, Ankara kwa ndege, baadae walielekea kusini mwa Uturuki katika mji wa Adana. Baada ya hapo walipotelea kusiko julikana.
Badala yake walionekana katika mitandao ya kijamii wakionekana na mabunduki huku wamezungukwa na watu wenye silaa, picha zilizoonesha kutumiwa kwaajili ya kuvutia utafuta wasichana ambao wangejiunga na kundi hilo.
Inaaminika kuwa Sabina alifariki mwezi disemba mwaka jana wakati wa kipindi cha mapigano makali. Wasichana hao wawili walionekana katika video ya propaganda za ISIS mda mfupi baada ya kuwasili nchini Syria. Rafiki yake ambaye waliambatana aliuwawa miezi michache kabla yake.
Samra Kesinovic na rafiki yake Sabina Selimovic(kulia) wakiwa katika picha iliyopigwa na kundi la magaidi wa ISIS mda mfupi baada ya kuwasili nchini Syria mwezi aprili 2014.

Pamoja na kwamba maafisa wa serikali wamegoma kuongelea suala hilo.
Wasichana hao wawili wenye asili ya Viena wakiwa na umri wa miaka 17,16 ambao wazazi wao wote wawili ni wakimbizi wa Bosnia, walipotea mwezi aprili mwaka jana, kwa madai kuwa wanataka kwenda kupigana vita nchini Syria.

Mapema mwaka huu, maafisa wa Umoja wa Mataifa waliripoti kuwa wasichana wawili wenye asili ya Austria wenye makazi yao Vienna wamedhibitishwa kufa katika mapigano.
Kwanza walikwenda katika mji mkuu wa Uturuki, Ankara kwa ndege, baadae walielekea kusini mwa Uturuki katika mji wa Adana. Baada ya hapo walipotelea kusiko julikana.
Badala yake walionekana katika mitandao ya kijamii wakionekana na mabunduki huku wamezungukwa na watu wenye silaa, picha zilizoonesha kutumiwa kwaajili ya kuvutia utafuta wasichana ambao wangejiunga na kundi hilo.
↧
BRAND NEW RELEASE: BERRY BLACK FT. ALICE&DIGNA - MTUWACHE (VIDEO)
↧
UZINDUZI WA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA MANYARA, ARUSHA,K'NJARO

Brass Band ya Chuo cha Polisi Moshi ikiongoza maandamano ya uzinduzi wa kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kanda ya kaskazini .

Wanafunzi wa kozi ya awali ya Askari Polisi kutoka shule ya Polisi Tanania wakiwa katika manda,ano ya uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Kanda ya Kaskazini.

Maanda,mano ya lipita maeneo mbalimbali ya mji wa Moshi.

Maandamano hayo yakipita eneo la kituo kuu cha Mabasi cha mjini Moshi yakieekea katia viwanja vya kituo hicho ambako uzinduzi wa kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kanda ya kaskazini .

Mkuu wa wilaya ya Moshi Novatus Makunga aliyekuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kujinsia kanda ya kaskazini akimsikiliza Mwenyekiti wa Mwavuli wa Vikoba wa KIVINET ,Mama Mwingira wakati alipotembelea banda la KIVINET .

Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akisikiliza malezo kutoka katika banda la shirika la NAFGEM linalopambana na vitendo vya Ukeketaji.

Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akisikiiza maelezo kutoka TAWREF ambao pia wameshiriki katika uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia.

Afisa habari wa shirika la KWIECO ,Velonica Ollomi akitoa maelezo mbele ya mgeni rasmi katika uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kanda ya kaskazini uliofanyika katika viwanja vya kituo kikuu cha mabasi mjini Moshi,kulia kwake ni Afisa Kitengo cha elimu ya haki za binadamu na jinsia ,KWIECO ,Elizabeth Mushi.

Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi,MUWSA ,pia imeshiriki katika uzinduzi huo hapa ikiwasilishwa na afisa habari wake,Florah Nguma na mfanyakazi wa mamlaka hiyo,Kisingi.

Mwenyekiti wa kamati ya kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kanda ya kaskazini,Honorata Nasuwa akizungumza katika uzinduzi wa kampeni hiyo uliofanyika katika viwanja vya kituo kikuu cha mabasi mjini Moshi.

Kikundi cha kwaya kutoka shule ya msingi Mweleni wakitoa ujumbe kwa njia ya wimbo wakati wa uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili kanda ya kaskazini.

Mkurugenzi wa shirika la Tusonge,Agnata Rutazaa akizungumza katika uzinduzi huo.

Mkurugenzi wa TAWREF,Dafrosa Itemba akitoa mada katika uzinduzi wa kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kanda ya kaskazini.

Mkurugenzi wa shirika la KWIECO,Elizabeth Minde akitoa mada katika uzinduzi huo.

Mwakilishi wa mkuu wa shule ya Polisi Tanzania na Mkufunzi mkuu wa shule hiyo Graifton Mushi ,akiwa na aliyekuwa mwenyekiti wa dawati la Jinsia mkoa wa Kilimanjaro,Grace Lyimo katika uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia.

Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akiteta jambo na mkurugenzi wa shirika la KWIECO,Elizabeth Minde.

Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga aliyekuwa mgeni trasmi katika uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kanda ya kaskazini akitoa hotuba yake.

Baadhi ya wasiriki katika uzinduzi huo wakifutilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya kaskazini.
↧