Quantcast
Channel: Matukio
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI NAPE AONGEZA HAMASA MECHI YA WATANI WA JADI

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimiana na Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba (kushoto)walipokutana katika mchezo wa watani wa jadi...

View Article


EXCLUSIVE: GEORGE KAVISHE...JAYDEE NAAMKA TENA 28 DAYS TO GO...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DTB YATWAA KOMBE LA LIGI YA MABENKI "BRAZUKA KIBENKI" TANZANIA

View Article

EXCLUSIVE : MILLEN MAGESA…JAYDEE NAAMKA TENA 27DAYS TO GO…

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA :ZAIDI YA TRILIONI ZIMEKUSANYWA MWEZI FEBRUARI

Na MAELEZOSerikali imefanikiwa kukusanya zaidi ya shilingi trilioni moja kwa mwezi huu tofauti na zilizokuwa zikukusanya hapo awali za bilioni 850 kwa kipindi cha mwezi mmoja na kuzielekeza fedha hizo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHE.KAIRUKI AMSIMAMISHA KAZI ALIYEKUWA MKUU WA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais; Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angella Kairuki akitoa taarifa mbele ya Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu kumsimamisha kazi aliyekuwa Mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS : SERIKALI ITAWAPA USHIRIKIANO WAWEKEZAJI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewahakikishia wawekezaji kutoka China kuwa serikali itawapa ushirikiano katika kutekeleza miradi ya maendeleo watakayowekeza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IPIGIE KURA FILAMU YA MPANGO MBAYA KATIKA SHINDANO LA AMVCA 2016

Wadau wa filamu nchini tunaomba muendelee kuipigia kura filamu yetu ya Mpango Mbaya ilichezwa na washiriki wachanga kabisa ambao ni zao la Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Msimu wa KwanzaFilamu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA NA SIMBA: ANGALIA KAZIMOTO ALIVYOPEWA KIBANO JUZI...(PICHA)

Kutoka kushoto juu, mshambuliaji wa Simba, Mwinyi Kazimoto akiugulia maumivu baada ya beki wa Yanga, Juma Abdul Kumchezea madhambi, huku wachezaji wa Simba kwenye benchi wakishangaa wakati Kocha wao,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAYPORT FINANCIAL SERVICES YAZINDUZI MIKOPO YA VIWANJA

Mkurugenzi Mkuu wa Bayport Financial Services, John Mbaga, kulia akizungumza jambo katika uzinduzi wa huduma mpya wa mikopo ya viwanja vinavyotolewa na taasisi yao katika maeneo sita ambayo ni Kilwa,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARABARA YA KILWA; MFUPA ULIOMSHINDA FISI, KILA KUKICHA NI UKARABATI TU

BARABARA ya Kilwa, kipande cha Mtoni-Kwa Azizi Ali hadi Msikitini, kwa wale wenyeji wanajua maeneo hayo, imekuwa ni kama ile hadithi ya “Mfupa” uliomshinda Fisi. Barabara hiyo imekuwa ikifanyiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAWASCO YARUDISHA HUDUMA YA MAJISAFI JIJINI DAR

SHIRIKA LA Majisafi na Majitaka Dar es salaam (DAWASCO), imerejesha huduma ya upatikanaji wa Maji katika maeneo yote yanayohudumiwa na mtambo wa Ruvu chini jijini Dar es salaam, pamoja na maeneo ya mji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PSPF YATOA SOMO KWA WAJASIRIAMALI

Afisa uendeshaji msaidizi aliyekaa kulia Bi. Sophia Msuya akiwapa maelezo wateja juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Mfuko huo. (Picha na Benjamin Sawe-WHUSM) Afisa Mauzo na Masoko kutoka PSPF Bw....

View Article


MATUMIZI YA MASHINE ZA EFD KATIKA VITUO VYOTE VYAMAFUTA NCHINI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFF, KTA ZAZINDUA PROGRAMU YA MAENDELEO YA SOKA KWA WANAWAKE

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kwa kushirikiana na Taasisi binafasi ya Karibu Tanzania Association (KTA) kwa pamoja wamezindua programu ya maendeleo ya soka kwa wanawake vijana ili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA CCM AZINDUA JENGO LA CCM KIBAHA MJINI MKOA WA PWANI

Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete azindua rasmi jengo la Ofisi ya CCM, Wilaya ya Kibaha Mjini mkoa wa Pwani jana. Jengo hilo limejengwa kwa ufadhili wa fedha za familia ya Mbunge wa Jimbo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KASIM MAJALIWA AKUTANA NA WADAU WA SUKARI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wadau wa sukari nchini, ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA ZIMBABWE NCHINI MHE JUDITH...

Balozi wa Zimbabwe nchini Mhe Judith Kangoma-kapijimpanga akimsalimia kwa unyenyekevu Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli alipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mh. WILIAM LUKUVI…JAYDEE NAAMKA TENA 26 DAYS TO GO…VIDEO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTO MALAGARASI KUZALISHA MEGAWATI 44 ZA UMEME

PICHA: Mwananchi wa Kijiji cha Malinzi, Kata ya Malinzi, Wilaya ya Kigoma, Hamza Poroto, akiuliza swali kuhusu huduma ya umeme wa REA, kwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini (hayupo pichani), wakati wa...

View Article
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live