$ 0 0 Balozi wa Zimbabwe nchini Mhe Judith Kangoma-kapijimpanga akimsalimia kwa unyenyekevu Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli alipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne February 23, 2016. Picha na Ikulu