TRA YAKAMATA SHEHENA KUBWA YA BIDHAA ZA MAGENDO
Na Jacquiline Mrisho -MAELEZOMamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefanikiwa kukamata bidhaa za magendo kwenye maeneo mbalimbali ya Ukanda wa Bahari ya Hindi, Ziwa Victoria na mipakani.Taarifa hiyo...
View ArticleKATIBU MKUU TUCTA ASIFIA SHERIA ZA KAZI
Wajumbe wa Kikao cha Tathmini ya Utendaji kazi wa Mahakama Kuu, Divisheni ya Kazi wakifuatilia uwasilishwaji wa mada toka kwa viongozi mbalimbali wakati wa Ufunguzi wa Kikao hicho kilichofanyika leo...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ATEMBELEA MAKAO MAKUU POLISI ZANZIBAR
Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame akizungumza kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Masauni alipofanya ziara katika Jeshi hilo Zanzibar kujionea Utendaji wake akiwa...
View ArticleDEO MWANAMBILIMBI WA KALUNDE BAND ATIWA MBARONI
Na Mwandishi WetuIdara ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam imewakamatwa watu mbalimbali kwa makosa tofauti tarehe 10 Februali mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari jiji Dar ea Salaam jana Kaimu...
View ArticleNAIBU WAZIRI HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO ATOA PONGEZI KWA TWIGA STARS
Na: Shamimu Nyaki - MaelezoNaibu waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura ameipongeza timu ya Taifa ya wanawake ya mpira wa miguu (Twiga Stars) kwa kufanya vizuri katika...
View ArticleSERIKALI YAWATAKA WAMILIKI WA RADIO KUHAKIKISHA WANAFUATA SHERIA
Na Lorietha Laurence-MaelezoKatibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (Kushoto akiongea na waandishi wa habari) amewataka wamiliki wa radio kuhakikisha...
View ArticleKIJANA ALIYETEGUA KITENDAWILI CHA KANYE WEST -BBC
Kanye West ametoa albamu mpyaKijana mmoja nchini nchini Marekani anatarajia zawadi kutoka kwa mwanamuziki Kanye West baada yake kufanikiwa kujibu swali lake.Dante Holley, 20, alifanikiwa kueleza kwa...
View ArticleMAJALIWA AENDELEA KUTUMBUA MAJIBU,MAWAKALA WAWILI WASIMAMISHWA
Serikali imeamua kuwasimamisha kazi watendaji wawili kutoka Wakala wa Vipimo nchini (WMA) kuanzia leo ili kupisha uchunguzi wa upotevu wa mafuta bandarini kutokana na zuio la kufunga kwa mita kwa zaidi...
View ArticleMAALIM SEIF ADAI MUAFAKA UMESHINDIKANA ZANZIBAR, HIVYO KUNA UMUHIMU WA...
Katibu Mkuu wa CUF, Maaalim Seif amezungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Edward Lowassa aliyekuwa mgombea urais kupitia Chadema, Mikocheni, Dar es Salaam. Katibu Mkuu huyo alikutana na...
View ArticleZANTEL YAKABIDHI FEDHA MAKTABA KUU YA ZANZIBAR KWA AJILI YA MANUNUZI YA VIFAA
Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin (kushoto) akikabidhi hundi ya shilingi milioni 10 kwa maktaba kuu ya Zanzibar kwa Mkurugenzi wa Huduma za Maktaba Zanzibar, Bi Sichana Haji Foum (kulia)....
View ArticleMUFTI MKUU WA TANZANIA ASIFIA HUDUMA BORA HOSPITALI YA MUHIMBILI
Na Benedict Liwenga-Maelezo.MUFTI Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeiry Bin Ally amepongeza huduma bora alizopatiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Kitengo cha Taasisi ya Moyo cha Jakaya...
View ArticleTFF HAITANGAZA MSHINDI STARTIMES KUNDI C
Na Mwandishi WetuShirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) halitatangaza timu iliyopanda Ligi Kuu msimu ujao kutoka Kundi C, mpaka itakapoamuliwa na vyombo husika vya TFF baada ya michezo ya kundi...
View ArticleFAHAMU JINSI RADIOTHERAPIA INAVYOWEZA KUOKOA MAISHA YAO
Dk. Mahadev, mshauri mwandamizi wa radiotherapia kutoka Hospitali za Apollo.Na Mwandishi wetu,Matibabu ya kawaida ya saratani huwa yanahusisha upasuaji, radiotherapia na kemotherapia. Hivi karibuni...
View ArticleWAZIRI JENISTA MHAGAMA AFUNGA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WADAU WA 25 PPF
Waziri wa Sera, Bunge, Vijana Ajira na Walemavu Jenista Mhagama, akisoma hotuba yake ya kufunga Mkutano mkuu wa 25 wa mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni PPF, uliomalizika leo mwishoni...
View ArticleUTT PROMOTED COMPANIES HOLD IT’S FIRST ANNUAL GENERAL MEETING IN DAR
Chief Executive Officer, (CEO), with UTT-Project and Infrastructure Development PLC, Dr.Gration Kamugisha, (First-R), speaks during a joint news conference prior to the first annual general meeting of...
View ArticleMUFTI MKUU WA TANZANIA ABUBAKARY ZUBEIRY BIN ALLY ARUHUSIWA TOKA HOSPITALINI
Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakary Zubeiry bin Ally, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani ) na Baadhi ya viongozi wa dini ya Kikristo na ya Kiislamu wanaounda kamati ya Amani walipofika...
View ArticleACACIA STAND UNITED KUINGIA KAMBINI KATIKA MGODI WA BUZWAGI
Timu ya Acacia Stand United fc (CHAMA LA WANA) inayodhaminiwa na kampuni ya uchimbaji madini ya Dhahabu ya ACACIA, mara baada ya kupoteza mchezo wake wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa kufungwa...
View Article