KAMANDA WA MKOA WA KINONDONI AWATAKA WANANCHI KURIPOTI UHALIFU
Na. Lilian Lundo – MaelezoKamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni ACP Christopher Fuime amewataka wananchi wa Mkoa wa Kinondoni kutoa malalamiko ya uhalifu vituo vya Polisi badala ya kulalamika matukio ya...
View ArticleSERIKALI KUSHIRIKIANA NA SEKTA BINAFSI KATIKA KUINUA UCHUMI NCHINI
Na Eleuteri Mangi-MAELEZOSerikali imesema dhamira yake ya kujenga uchumi wa viwanda nchini imejengwa kupitia maeneo ya vipaumbele ambayo yataanza kutekelezwa katika bajeti ijayo ya mwaka wa fedha...
View ArticleBALOZI WA JAPAN AKABIDHI GARI YA HUDUMA YA DHARURA KWA MKEMIA MKUU
Na Beatrice Lyimo-MaelezoDae es SalaamBalozi wa Japan nchini Tanzania Masaharu Yoshida amekabidhi Gari la huduma ya dharura (AMBULANCE) kwa Kituo cha Uratibu wa Matukio ya Sumu nchini kilichopo chini...
View ArticleKAMATI YA LAAC NA PAC ZAPEWA SOMO NA TAMISEMI
WABUNGE wametakiwa kuzisimamia halmashauri ili ziwe zinachukua hatua za kisheria za kudhibiti ujenzi holela katika miji mbalimbali nchini. Kauli hiyo ilitolewa jana na Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za...
View ArticleBARABARA YA MUGUMU SERENGETI KUKAMILIKA MWEZI MEI
Na Jacquiline Mrisho-MAELEZOBarabara ya Mji wa Mugumu wilayani Serengeti mkoani Mara inatarajiwa kukamilika mwezi Mei baada ya kushindwa kukamilika ndani ya muda uliopangwa.Akiongea kwa njia ya simu...
View ArticleMBUNGE ATAKA ‘BOSI’ MKUU EWURA APEWE ULIZI
KATIKA hali isiyo ya kawaida, Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bw. Yusufu Kaiza Makame (CUF-Chake Chake), amehoji kama Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na...
View ArticleNAIBU WAZIRI LUHAGA MPINA AFANYA ZIARA KUONA UHARIBIFU ULIOTOKANA NA TABIA...
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina akiwa na aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo kwa sasa ni mgombea Jimbo la Kikwajuni Uwakilishi Mhe Nassor Salim Jazira akiwa...
View ArticleKIZAAZAA KATIKA KIVUKO CHA MV KIGAMBONI LEO ASUBUHI
Abiria waliojazana katika kivuko cha Mv. Kigamboni wakiwa katika hali ya kuchanganyikiwa baada ya eneo la mlango wa kushushia abiria na magari kulegea na baadhi ya watu kulowa. Kivuko hicho kilichokuwa...
View ArticleAJALI MBAYA, SIMBA MTOTO LAUA NA KUJERUI LEO ASUBUHI
Ajali mbaya imetokea kama inavyoonekana pichani mkoani Tanga leo asubuhi. Ajali hiyo ilitokea wakati basi la Kampuni ya Simba Mtoto ya Tanga ilipogongana na lori uso kwa uso katika eneo la Pangamlima,...
View ArticleWANAFUNZI WAENDELEA KUTEMBELEA DUKA LA KISASA LA AIRTEL EXPO
Wanafunzi wa chuo cha A3 Institute of Technology wakisikiliza mafunzo kutoka kwa mfanyakazi wa kampuni ya simu ya Airtel (hayupo pichani) walipofanya ziara ya kimafunzo katika duka jipya la Airtel...
View ArticleDKT. MAGUFULI APONGEZWA KWA UTENDAJI WAKE WA KAZI
Na Beatrice Lyimo- MAELEZO, Dar es Salaam Kijana Joseph Stanford kutoka Mabatini wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza amempongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa...
View ArticleMHARIRI MTENDAJI WA MAJIRA ATEMBELEA OFISI ZA TFF
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Majira, Imma Mbuguni (Katikati) akipokea zawadi ya mpira wa soka kutoka kwa Bw. Selestine Mwesigwa, Katibu Mtendaji wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) mapema leo...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA FEDHA AFUNGUA MKUTANO WA 25 WA WANACHAMA NA WADAU WA PPF
Mgeni Rasmi katika ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa 25 wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF uliobeba kauli mbiu ya "Uendeshaji wa sekta ya hifadhi ya jamii na umuhimu wa kuzingatia...
View ArticleNAIBU WAZIRI LUHAGA MPINA ATEMBELEA UJENZI WA MTARO UWANJA WA MNAZI MMOJA NA...
Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina akitembelea Ujenzi wa Mradi wa Mtaro katika Uwanja wa Mpira Mnazi Mmoja akiwa katika ziara zake Zanzibar kutembelea...
View ArticleNAY WA MITEGO AKANUSHA WIMBO WAKE KUFUNGIWA NA BASATA
Msanii Ney wa Mitego (Pichani Juu) amekanusha taarifa zinazoenea kwenye mitandao haswa ile ya kijamii kuwa wimbo wake “Shika Adabu Yako” umefungiwa na Baraza La Sanaa Tanzania BASATA. Katika Post yake...
View ArticleMwanamke aibukia kwenye msiba wake mwenyewe
Na Agnes AlcardoMWANAMAMA mmoja nchini Australia, aushangaza Umati baada ya kujitokeza ghafla kwenye msiba wake mwenyewe na kudai mume wake alituma watu wamuuwe.Noela Rukundo, ambaye alidaiwa kukaa nje...
View ArticleWAZIRI MPINA ATEMBELEA KITUO CHA AFYA FUONI KIBONDENI NA SKULI YA MSINGI...
Kituo cha Afya kilioko Fuoni Kibondeni ambacho kilitembelewa na Mhe Luhaga Mpina katika Jimbo la Dimani kikiwa ni moja ya kero kwa Wananchi wa kituo hicho kwa kudai kiko mbali na njia yake kuwa mbaya...
View Article