HOSPITALI YA NJOMBE YAPEWA SIKU 90 KUJIREKEBISHA
NA MAGRETH KINABO MAELEZOUongozi wa Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Njombe umepewa muda wa siku 90 kurekebisha mapungufu ya utoaji wa huduma za afya, lazima hospitali hiyo itafungwa. Kauli hiyo...
View ArticleSERIKALI YATAKA HUDUMA ZA AFYA KUKUSANYA MAPATO KWA KUTUMIA MTANDAO
Na Magreth Kinabo –MAELEZOSerikali imezitaka hospitali, zahati, vituo vya afya ambavyo bado havijatakeleza mfumo waukusanyaji mapato ya huduma kwa kutumia mtandao vitekeleze agizo kwa kuwa umeonyesha...
View ArticleWAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO AKUTANA NA COSOTA
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiongea na viongozi wa COSOTA na wa Kampuni ya Copyright Management Eas t Africa kuhusu mfumo wa ukusanyaji wa mirahaba utakavyokuwa...
View ArticleSIKU YA WAPENDANAO
Kila ifikapo tarehe 14 Februari nchini Marekani na sehemu nyengine Duniani husherehekewa Siku Ya Wapendanao "Valentine's Day", au kama ijulikanavyo kwa jina jengine "Siku Ya Mtakatifu Valentine" (Saint...
View ArticleBEN POL NA JUX WAPEANA MAKAVU KWENYE 'NAKUCHANA'
PRESS RELEASE Dar es Salaam, TanzaniaUjumbe wenye dalili za ukweli uliojificha ndani ya mzaha umezaa wimbo mkubwa kati ya wakali wawili wa RnB Tanzania, Benard “Ben Pol” Paul na Juma “Jux”...
View ArticleMAJALIWA AAGANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI KUWAIT, MAHADHI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, Mhe Mahadhi Juma Maalim ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuaga Februari 15, 2016. Waziri Mkuu...
View ArticleWAZIRI MKUU AKUTANA NA MWAKILISHI WA BIASHARA WA UINGEREZA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose (katikati) na Mwakilishi wa Biashara wa Uingereza nchini Tanzania, Lord Clive Hollick (kulia) Ofisini kwake jijini...
View ArticleSIKU CHACHE KABLA YA UCHAGUZI UGANDA, DR. BESIGYE AKAMATWA
Na Mwandishi Wetu,Ikiwa ni siku mbili kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Uganda kufanyika, mgombea wa Uraisi kutoka champ cha upinzani cha FDC na mwenye ushawishi mkubwa nchini humo, Dr. Kizza Besigye...
View ArticleWAZIRI UMMY APOKEA VIFAA WODI YA AFYA YA UZAZI YA MAMA NA MTOTO MUHIMBILI
Na MAELEZOWaziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Watoto na Wazee Mhe. Ummy Mwalimu amepokea vifaa vitakavyotumika katika wodi ya Afya ya uzazi ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya Taifa ya...
View ArticleWAZIRI WA AFYA AWASIMAMISHA WAKURUGENZI WANNE MSD
Na MAELEZO Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Watoto na Wazee Mhe. Ummy Mwalimu amewasimamisha Wakurugenzi toka Bohari ya Dawa ya Taifa(MSD) kwa ubadhilifu wa fedha takribani Shillingi Billion...
View ArticleTFF YASIKITISHWA KUPIGWA KWA MWANDISHI WA MICHEZO
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko taarifa ya kupigwa kwa mwandishi wa habari za michezo wa gazeti la Mwanaspoti nchini, Mwanahiba Richard na kiungo wa timu ya Simba...
View ArticleAFRICAN LYON YAPONGEZWA KWA KUPANDA DARAJA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeipongeza timu ya African Lyon FC ya jijini Dar es salaam kwa kufanikiwa kupanda ligi kuu ya Vodacom (VPL) msimu ujao, baada ya kuwa vinara wa Kundi A...
View ArticleNAIBU WAZIRI ANNASTAZIA AITAKA JAMII KUTOA ELIMU YA UNYAGO KWA KUZINGATIA UMRI
Na MAELEZO. Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura amezitaka jamii kutoa elimu ya jando na unyago kwa kuzingatia umri na wakati sahihi wa mafunzo hayo ili kuweza...
View ArticleWIZARA YA MAMBO YA NDANI YATOA TAMKO KUHUSU HALI YA WAKIMBIZI NCHINI
Na MAELEZODar es Salaam.Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imetoa tamko kuhusu hali ya wakimbizi nchini kuanzia mwezi Aprili mwaka 2015 hadi tarehe 10 Februali, 2016.Akitoa tamko hilo leo jijini Dar es...
View ArticleMAJALIWA AKABIDHIWA NAKALA YAKE YA FOMU YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea nakala yake ya fomu ya ahadi ya uadilifu kwa viongozi wa umma kutoka kwa Kamishina wa Maadili, Jaji Mstaafu Salome Kaganda ambayo aliitia saini na kuipeleka kwenye...
View ArticleNAPE AWASIMAMISHA KAZI BAADHI YA WATENDAJI TBC
Na: Frank Shija, WHUSMWaziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye amewasimamisha kazi watumishi wawili wa Shirika la Utangazaji la Taifa TBC kutokana na utendaji...
View Article