MALINZI AMPONGEZA MAKUNGA NA VIONGOZI WAPYA WA JUKWAA LA WAHARIRI
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amempongeza Theophil Makunga kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) mwishoni mwa wiki.Katika salamu...
View ArticleBALOZI SIMBA AWAPONGEZA WAOKOAJI AJALI YA MV KILOMBERO,ATEMBELEA MIRADI YA...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Simba Yahya (katikati) pamoja na ujumbe wake, wakiingia katika lango kuu la kuingilia abiria wakati alipotembelea eneo kilipozama kivuko...
View ArticleMATUKIO MBALIMBALI BUNGENI LEO (PICHA 12)
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiwasilia Bungeni katika kuanza kikoa cha Tano cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini DodomaSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleSERIKALI YAPANGA KUFANYA MATUMIZI YENYE TIJA
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Philip MpangoNa Raymond Mushumbusi MAELEZOSerikali katika mwaka wa fedha 2016/2017 imejipanga kufanya matumizi yeneye tija kwa kuelekeza bajeti kubwa kwenye mambo muhimu...
View ArticleWITO UMETOLEWA KWA WAMILIKI WA SILAHA KUHAKIKI SILAHA ZAO KWA WAKATI
Kamanda Liberatus Sabas, alipokuwa akifunga Kampeni za ABIRIA PAZA SAUTI, Jijini Arusha, Na Vero Ignatus wa Wazalendo 25 Blog, Arusha.Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limewataka watu wote wanaomiliki...
View ArticleKUTOKA BUNGENI: SERIKAL KUONGEZA AJIRA NCHINI
Picha Naibu waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe Suleiman Jafo akijibu maswali toka kwa wabunge katika kikao cha 6 cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma. Picha na...
View ArticleWHATSAPP NDIYO 'HUDUMA BORA' KIMATAIFA (BBC)
Image copyright GettyImage caption Huduma ya WhatsAppHuduma ya simu za rununu ya kutuma ujumbe WhatsApp kwa sasa inatumiwa na takriban watu bilioni moja kila mwezi kulingana na Facebook. Huduma hiyo...
View ArticleAIRTEL YAZIDI KUBORESHA VIFURUSHI VYA AIRTEL YATOSHA YAZIDI
Meneja Masoko wa Airtel Bi Anethy Muga akionyesha moja ya tangazo la ongezeko la muda wa masaa ya vifurushi vya Airtel yatosha wakati wa kutangaza muda mpya wa kuisha kwa vifurushi vya Airtel yatosha...
View ArticleKAMPUNI YA JAY Z YAMSHTAKI RITA ORA NA KUMDAI PAUNI MILIONI 2.4
Kampuni ya kurekodi musiki ya Jay Z (PICHANI AKIWA NA RITA ORA) imempeleka mahakamani mwanamuziki Rita Ora ikimtaka alipe jumla ya pauni za Uingereza milioni 1.6 kwa kuvunja mkataba na kushindwa...
View ArticleSERIKALI KUIMARISHA MIUNDOMBINU NCHINI KUBORESHA UTALII
Picha Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Ramo Makani akijibu maswali toka kwa wabunge katika kikao cha 6 cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma. Picha na MAELEZOMAELEZO Serikali imejipanga...
View ArticleSPIKA WA BUNGE AKIWA NA WAGENI MBALIMBALI WALIOMTEMBELEA DODOMA(PICHA)
Spika wa Bunge Mhe.Job Ndugai akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile wakati walipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma leo 02 Februari 2016 kulia ni Katibu wa Jukwaa la...
View ArticleBEN POL NA PETER MSECHU WATOA ZAWADI YA VALENTINE - ‘NYOTA YA SAMBOIRA’...
Dar es Salaam, Tanzania – February 3, 2016: Waimbaji mahiri wa muziki kutoka Tanzania, Ben Pol na Peter Msechu wameachia ‘mash-up collaboration’ ya hatari, ‘NYOTA YA SAMBOIRA’ kama zawadi ya msimu huu...
View ArticleWAMERUDIA TENA...WAKENYA WATOKA NA UZUSHI MWINGINE KUHUSU MAGUFULI
Katika mtandao wa The Spectator wa nchini Kenya , kuna habari iliyoandikwa na kuwekwa tarehe 31/01/2016 yenye kichwa cha habari (PICHANI CHINI) “All Ministers & Public Officials must use Probox or...
View ArticleSERIKALI KUTUMIA MILLIONI 300 KUJENGA BARABARA RUKWA
Picha Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Mhandisi Edwin Ngonyani akijibu hoja toka kwa Wabunge mbalimbali katika cha 7 cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma. Picha na MAELEZO(Na...
View ArticlePOLISI KUDHIBITI UPORAJI WA FEDHA KWENYE MABENKI
Picha Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Hamad Yussuf Massauni akijibu hoja toka kwa Wabunge mbalimbali katika kikao cha 7 cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma. Picha na MAELEZO(Na...
View ArticleRAIS MAGUFULI AIDHINISHA KUANZISHWA MKOA MPYA SONGWE NA WILAYA MPYA
Picha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Mhe George Simachawene akiongea na Waandishi wa Habari (Hawapo Pichani) kuhusu kuanzishwa kwa Mkoa mpya waSongwe na...
View ArticleMAMA JANETH MAGUFULI ATEMBELEA KAMBI YA WAZEE, WALEMAVU KIGAMBONI LEO
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiweka saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Makazi ya Wazee na Watu Walemavu cha Nunge, Kigamboni, jijini Dar es salaam alikotembelea...
View ArticleTCRA YATOWA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI KUGUNDUA SIMU FEKI ZANZIBAR
Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA Innocent Mungy, akizungumza na waandishi wa habari Zanzibar kuhusiana na kutambua Simu Feki na kudhibiti uingiaji wa Simu hizo Tanzania na...
View Article