Quantcast
Channel: Matukio
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WAHIMIZWA KUJITOKEZA KUPIMA SARATANI

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Dkt. Mpoki Ulusubisya akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani leo jijini Dar es salaam kuhusu maadhimisho ya siku ya ugonjwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUNGENI LEO MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA

Mwenyekiti wa Bunge Mhe.Andrew Chenge pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi Utumishi na utawala Bora Mhe.Angellina Kairuki wakiwasili katika viwanja vua Bunge kwa ajili ya kushiriki kikao cha 7 cha Bunge la...

View Article


SERIKALI YASEMA FOMU YA TATHMINI YA UTENDAJI KAZI SIO YA KUUZA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAKUNA MGOMO WA MADAKTARI MASWA - MKURUGENZI WA HALMASHAURI

Na MAELEZOMkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simiyu Trasias Kagenzi (PICHANI KULIA) amekanusha madai yaliyoandikwa na baadhi ya vyombo vya Habari kuhusiana na taarifa za kufanyika kwa...

View Article

WAAJIRI WAASWA KUTOUZA FOMU ZA OPRAS KWA WATUMISHI

Na MaelezoDar es salaamOfisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imewataka waajiri wote nchini kuhakikisha watumishi wao wanapata Fomu ya wazi ya Mapitio na Upimaji Utendaji Kazi(...

View Article


MTANZANIA MSICHANA ALIYEKO INDIA, AVAMIWA, AVULIWA NGUO, ATEMBEZWA UCHI...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRUMP ATAKA MCHUJO WA IOWA URUDIWE

Trump anasema Cruz alitumia ulaghai kushinda IowaDonald Trump anataka uchaguzi wa mchujo wa kuteua atakayegombea urais kupitia chama cha Republican katika jimbo la Iowa urudiwe, akisema mshindi Ted...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YADHAMIRIA KUKAMILISHA MIRADI YA MAJI

Na MAELEZOSerikali kushirikiana na Benki ya Dunia imejipanga kukamilisha Miradi ya Maji iliyopo katika maeneo tofauti nchini ili kuondoa shida ya upatikanaji wa maji safi na salama katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAJI MUTUNGI ASAJILI CHAMA KIPYA CHA SIASA

Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Bwana Sisty Nyahoza (kulia) akitoa ufafanuzi kuhusu taratibu za usajili wa kudumu wa Chama cha siasa mbele ya Wanachama wa Chama cha Maadili na Uwajibikaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSICHANA MTANZANIA ALIYEPIGWA NA KUVULIWA NGUO KISHA KUTEMBEZWA MITAANI...

BENGALURU/New DelhiTukio la kusikitisha lilimtokea msichana mwenye miaka 21, Mtanzania saa moja na nusu jioni, Jumapili wakati akiwa na Watanzania wenzake watatu walipokuwa kwenye gari Ganapathinagar,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LULU NAE AJA NA MUONEKANAO MPYA, KWELI MWAKA MPYA MAMBO MAPYA

Elizabeth Michael maarufu kama LULU, ametoka na muonekano mpya na kuweka picha zake katika mtandao wa Instagram na kuwavutia mashabiki mbalimbali. Katika post hiyo Lulu aliandika “The Ones Who Can't...

View Article

MAHAKAMANI KWA KUIIBIA MANISPAAYA KINONDONI MILIONI 33,681,780

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AZINDUA MWAKA MPYA WA KIMAHAKAMA SIKU YA SHERIA DUNIANI DAR ES...

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman akisoma hotuba yake kabla ya kumkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa...

View Article


HOTUBA YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI SIKU YA SHERIA FEBRUARY 4, 2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA KATIBU MKUU WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO KITUO CHA TAIFA CHA KUTUNZIA...

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora(wa pili kushoto) akisikiliza maelekezo kutoka kwa Meneja Mradi bw. Xiong Hazbin (Kushoto) na kulia ni Mkurugenzi wa TEHAMA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUTUMIA BILLIONI 60 KUFUFUA GENERAL TYRES ARUSHA

Picha Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles John Mwijage akijibu hija mbalimbali toka kwa wabunge katika kikao cha 9 cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Picha na Raymond...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAGANGA WANAOCHOCHEA MAUAJI YA WALEMAVU WA NGOZI KUSHUGHULIKIWA

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Hamad Yussuf Massauni akijibu hoja mbalimbali kuoka kwa Wabunge mbalimbali katika kikao cha 9 cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma. Picha na Raymond...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NISHA AIOMBA SERIKALI KUWAANGALIA WATOTO JICHO LA TATU

Na Lilian Lundo - Maelezo05/02/2016Msanii wa Filamu na Balozi wa kutetea watoto waishio katika mazingira magumu Salma Jabu (Nisha) ameiomba Serikali kuwaangalia watoto hao kwa jicho la tatu. Nisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU UDAHALILISHAJI WA MWANAFUNZI WA KITANZANIA INDIA

(Na Raymond Mushumbusi-MAELEZO)Seriklaiimetoa tamko la kulaani kitendo kilichotokea nchini India kwa mwanafunzi wa kike wa kitanzania kuvuliwa nguo na kutembezwa barabarani ambapo Serikali kupitia...

View Article

TAMKO LA FORUM CC KUHUSU MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA 2016/17

View Article
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live