SI KWELI KWAMBA RAIS MAGUFULI AMEENDA KENYA KUZURU KUMBUKUMBU
Kumekuwepo na habari za uongo na potofu katika mtandao wa jamii wa www.kenya-today.com kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli atazuru Kenya kuhudhuria kumbukumbu...
View ArticleSERIKALI YASEMA HAIJAFUTA VIPINDI VYA BUNGE KURUSHWA LIVE TBC
Na MAELEZOSerikali imetolea ufafanuzi kuhusu taarifa za upotoshaji kwa umma kuwa imefuta vipindi vya shughuli za Bunge kuoneshwa katika televisheni ya Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC) kama...
View ArticleSIKILIUZA KAULI YA WAZIRI NAPE KUHUSU TBC KUBADILISHA UTARATIBU WA KURUSHA...
BOFYA CHINI KUSIKILIZA Kauli ya Waziri wa Harabi, Utamaduni, Sanaa na Michezo, (Mb) Nape Nnauye wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jukwaa, unaoendelea Morogoro katika Hoteli ya Nashera leo tarehe...
View ArticleMKUTANO MKUU WA JUKWAA LA WAHARIRI MOROGORO UNAENDELEA
Wajumbe wa Jukwaa la Wahariri wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Nnauye aliyekaa katikati, baada ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wahariri ambao...
View ArticleSERIKALI YAENDELEA KUREJESHA MALI ZILIZOPATIKANA NA UHUJUMU UCHUMI
NA MAGRETH KINABO NA ALLY DAUDÂ MAELEZOSerikali inaendelea kusimamia urejeshaji wa mali zilizopatikana kwa njia ya kihalifu kupitia mpango wa kupambana na uhalifu ulioanzishwa mwaka 2012 kwa kuwashtaki...
View ArticleSERIKALI KUTAIFISHA MALI ZA MAFISADI NA WAHUJUMUUCHUMI
Mkurugenzi wa Mashtaka, (DPP), Biswalo Mganga akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliowakutanisha pamoja na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi, Kamishna wa...
View ArticleRAIS MAGUFULI ATEUA MAKATIBU TAWALA WAWILI KWA MIKOA YA MWANZA NA KATAVI
RAIS Dkt.John Magufuli amefanya uteuzi wa Makatibu tawala wawili kwa Mikoa ya Mwanza na Katavi kwa lengo la kujaza nafasi za Makatabu tawala wa mikoa hiyo kwamujibnu wa Tarrifa ya Katibu mkuu kiongozi...
View ArticleMFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI WASHIRIKI MKUTANO MKUU WA JUKWAA LA WAHARIRI...
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) Bw. Masha J. Mshomba(katikati waliosimama mbele) akiwa katika picha ya pamoja na Wanachama wa Jukwaa La Wahariri, katika Hoteli ya Nashera,...
View ArticleMATUKIO MBALIMBALI BUNGENI LEO KATIKA PICHA
Baadhi ya wabunge wakiwasili katika ukumbi wa bunge kuhudhuria kikao cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini DodomaNaibu Spika Mhe Dkt Tulia Ackson akiongoza kikao cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini...
View ArticleMAKUNGA MWENYEKITI MPYA JUKWAA LA WAHARIRI TANZANIA
Katika uchaguzi Mkuu uliofanyika leo saa tisa alasiri katika Hoteli ya Nashera mjini Morogoro ili kupata viongozi wa ngazi ya juu kabisa katika Jukwaa la Wahariri nchini, umekamilika huku Bw. Theophil...
View ArticleSERIKALI KUJENGA VYUO VYA VETA KILA WILAYA
Picha ya Naibu Waziri Elimu Wazira wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Mhe. Mhandisi Stella Manyanya akijibu maswali kutoka kwa wabunge mbalimbali katika kipindi cha maswali na majibu katika kikao...
View ArticleSTATEMENT OF PRESIDENT KIKWETE AS GLOBAL AMBASSADOR OF AFRICA UNITED
His Excellency President Jakaya Mrisho Kikwete, former President of the Republic of TanzaniaADDIS ABABA, Ethiopia, 31 January 2016,-/African Media Agency (AMA)/- It is my pleasure to announce today...
View ArticleSERIKALI KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NCHINI
Picha Naibu waziri afya Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee Mhe.Hamis Adrea Kigwangalla akijibu maswali kutoka kwa wabunge mbalimbali katika kipindi cha maswali na majibu...
View ArticleAIRTEL FURSA KUTUMIA SIMU KUWAFIKIA VIJANA NCHI NZIMA
AWAMU ya pili ya mpango wa Airtel FURSA imezidi kujimarisha nchini baada ya kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kujipanga kutoa mafunzo ya ujasiriamali na kutumia mtandao wa Airtel kuwafikia vijana...
View ArticleRAIS MSTAAFU JK AKUTANA NA MWENYEKITI WA UMOJA WA AFRIKA DKT. NKOSAZANA...
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Dkt. Nkosazana Dlamini Zuma mara tu baada ya kuteuliwa kuwa mwakilishi wa Afrika katika mchakato wa usuluhishi wa...
View ArticleTFF YASEMA HAINA VITA NA ZFA
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), limesema hakuna vita kati ya Shirikisho na Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) bali mawasiliano yanaendelea kati ya TFF na vyombo husika kuhakikisha ZFA ambaye ni...
View ArticleTFF YAIPONGEZA RUVU SHOOTING
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupitia kwa Rais wake, Jamal Malinzi ametuma salamu za pongezi kwa klabu ya Ruvu Shooting kwa kufanikiwa kupanda Ligi Kuu ya Vodacom msimu ujao.Malinzi...
View Article