Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

PARIS AKUTANA NA 'MAJANGA' YA POLISI

$
0
0

Mwigizaji mwenye heshima nchini Marekani Paris Hilton amejikuta akisimamishwa na polisi kutokana na kuendesha gari kwa mwendo kasi

Paris alikutana na kisanga hicho huko Beverl Hills, ambapo alikuwa akikimbiza gari katika njia ambayo haruhusiwi kukimbia kiasi hicho.

Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo alidai kuwa Paris anatambua kuwa sehemu hiyo huwa na polisi lakini inaonekana kama vile alifanya makusudi ili kuwapima wanamchukulia hatua gani

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles