RAIS WA ZAMANI WA CHAD ASHTAKIWA SENEGAL
Rais wa zamani wa Chad Hissene Habre (Pichani Kushoto) atafikishwa mahakamani nchini Senegal kwa makosa ya uhalifu dhidi ya Binadamu,ukatili dhidi ya binadamu na uhalifu wa kivitaUmoja wa mataifa...
View ArticleWASAFI RECORDS KUSAIDIA CHIPUKIZI
Diamond Pltnumz ni mmoja ya wasanii wa Tanzania ambao wana mafaniko ya kutosha, Diamond Platnumz kaamua kushare mafanikio yake kwa kufungua studio ya muziki na kurekodi nyimbo bure kabisa kwa wasanii...
View ArticleDAVIDO KUMFUATA ALI KIBA
Mwanamuziki nchini Nigeria, Davido (pichani kushoto) ambaye aling’ara sana nchini Tanzania, baada ya kufanya collabo na mwanamuziki Diamond, amefunguka kumfuata tena mwanamuziki mwingine baada ya...
View ArticleKIONGOZI KUNDI LA KIGAIDI AUAWA
Jeshi la Marekani linasema kuwa mmoja wa viongozi wa kundi linalotumiwa na kigaidi la al-Qaeda, ameuwaua katika shambulio la angani lililotekelezwa na ndege za kijeshi za Marekani Nchini Syria.Idara ya...
View ArticleNGOME YA MWISHO YA AL SHABAAB YATEKWA
Mji muhimu wa mwisho uliokuwa mikononi mwa kundi la Al Shabaab kusini magharibi mwa Somalia wa Baardheere umechukuliwa tena na vikosi vya Muungano wa Afrika (AU) -miaka 7 baada ya wapiganaji hao wenye...
View ArticleBECKAM ACHORA TATTOO KUIENZI MAN UNITED
Aliyekuwa mchezaji wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya England, David Beckham, ameonesha tattoo mpya ambayo inadaiwa ni kuikumbuka timu yake za Manchester.Inadaiwa kuwa tattoo hiyo ni...
View ArticleBREAKING NEWS: MUDA WA KUJIANDIKISHA DAR WAONGEZW
Tume Taifa ua Uchaguzi(NEC) imeongeza siku nne zaidi kwa mkoa wa jiji la Dar es Salam kujiandikisha katika daftari la kudumu la kupiga kura ili kuwezesha wakazi wengi kujiandikisha . Akizungumza na...
View ArticleAJALI JIJINI: MWEMBE WAANGUKA KATIKATI YA JIJI LA DAR
Mwembe mkubwa eneo la Bilicanas umeanguka hivi punde na kusababisha mali na vitu kadhaa kuharibika...
View ArticleSTARS KUONDOKA JUMAMOSI
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajiwa kuondoka nchini siku ya jumamosi usiku kuelekea Muscat Oman, kucheza mchezo wa kirafiki kabla ya kuunganisha kuelekea Istambul Uturuki kwa kambi ya...
View ArticleTFF YATANGAZA MAJINA YA WAAMUZI VPL
Kamati ya Waamuzi nchini imetangaza orodha ya waamuzi wanaotakiwa kushiriki Semina na mtihani wa waamuzi itakayoanza tarehe 21- 25 Agosti, 2015 jijini Dar es salam, Waamuzi hao na sehemu wanaozotekea...
View ArticleWALIOTAKA KUOLEWA NA AL-SHABAAB WATIWA MBARONI
Wanawake wawili raia wa Kenya na Tanzania pamoja na watoto wao watatu wanashikiliwa na Polisi nchini Kenya, baada ya kukamatwa Mjini Garissa wakiwa katika jitihada za kujaribu kutorokea Somalia...
View ArticleLOWASSA AZUA GUMZO KWENYE DALADALA
Mgombea urais kupitia umoja wa Katiba ya Wananachi (UKAWA) Edward Lowassa l(Pichani kushoto) leo amezua gumzo baada ya kuonekana akiwa ndani ya dadala katika maeneo ya Gongo la Mboto jijini Dar es...
View ArticleRAY C KUANDAA DOCUMENTARY YA MAISHA YAKE
Mwanamuziki nchini Tanzania, Rehema Chalamila ‘Ray C’, (Pichani kushoto) amefunguka na kudai kuwa amekuwa kimya kwa muda kutokana na kuandaa makala ‘Documentary’ kuhusu maisha yake aliyoyapitia ya...
View ArticleKAMPENI: SAMIA SULUHU AWANADI WAGOMBEA UBUNGE KILIMANJARO (PICHA 9)
Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bi Samia Suluhu, kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, jana aliwanadi wagombea ubunge mkoani Kilimanjaro alipokuwa katika mkutano wa kampeni....
View ArticleTAARIFA KUHUSU RATIBA YA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU
Kwa mujibu wa Kanuni za Uchaguzi wa Rais na Wabunge za mwaka 2015 pamoja na Maadili ya Uchaguzi ya mwaka 2015. Kampeni za Uchaguzi huanza siku moja baada ya uteuzi na huisha siku moja kabla ya siku ya...
View Article