HAKUTAKUWA NA TAIFA LA PALESTINA NIKIWA WAZIRI MKUU…NETANYAHU
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu (Kulia), amesema hataruhusu kuundwa kwa taifa la Palestina akiwa madarakani, matamshi ambayo ameyatoa katika mkesha wa uchaguzi mkuu nchini Israel.Kauli zake...
View ArticleBREAKING NEWS: KIM NA KANYE KUPATA MTOTO WA PILI
Kim Kardashian West na Kanye West wanategemea kupata mtoto mwingine ikiwa ni miezi 23 toka wapate mtoto wao wa kwanza wa kike aitwaye North. Taarifa hizo zilitolewa katika kibwagizo cha tamthiliya ya...
View ArticleKocha Yanga aanza tambo kuelekea Kagame
KOCHA Mkuu wa Yanga Hans Van de Pluijm amesema atahakikisha Kombe la Afrika Mashariki na Kati maarufu kama Kagame linabaki mikononi mwao kwa jinsi anavyokiamini kikosi chake.Michuano hiyo inatarajiwa...
View ArticleArticle 0
Mzee Kankaa wa Jumba la Dhahabu Aaga DuniaMSANII wa Bongo Muvi, Juma Kankaa 'Mzee Kankaa' amefariki dunia jana nyumbani kwake Tandale Chama,Dar es Salaam.Msanii huyo ambaye aliwahi kuigiza michezo...
View ArticleOKWI RASMI SONDERJYSKE FC
Mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi amesaini mkataba wa miaka mitano katika klabu ya SonderjyskE FC ya Ligi Kuu ya Denmark.Katika klabu hiyo Okwi atakuwa analipwa dola za Kimarekani 10,000 kwa mwezi,...
View ArticleAfariki kwa ajali akiwa njiani kwenda kutangaza nia
Ajali hiyo imelihusisha gari dogo aina ya Toyota Landcruser...
View ArticleSunday Oliseh kocha mpya wa Super Eagles
Timu ya taifa ya Nigeria Super Eagles imempa kibarua cha ukocha nahodha wake wa zamani Sunday Oliseh ( 40).Oliseh anachukua mikoba ya Stephen Okechukwu Keshi ambaye alitimuliwa mwanzoni mwa mwezi huu....
View ArticleMange Kimambi awekwa kizuizini na polisi
Blogger Mange Kimambi, anadaiwa kuwa chini ya ulinzi wa jeshi la polisi baada ya kukamatwa na kuwekwa rumande muda mfupi baada ya kuchukua fomu ya ubunge wa viti maalum jimbo la Ubungo, na kudaiwa kuwa...
View ArticleKAGAME CUP: MATUKIO KATIKA PICHA AZAM Vs KCCA - 1-0
KIKOSI CHA AZAMKIKOSI CHA KCCAWachezaji wa Azam wakimpongeza mwenzao John Bocco 'Adebayor' baada ya kuipatia timu hiyo bao la kuongoza katika Dakika ya 13 kipindi cha kwanza katika michuano ya Vilabu...
View ArticleJOKATE AFUNGUKA ISHU YA DIAMOND KUTUMIA VIDEO YAKE
Baada ya kushinda tuzo ya Best Act kwenye tuzo za Mama [Mtv AFrika Music Awards] Msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz aliweka picha mbili kuwashukuru mashabiki wake na video moja ikimuonyesha...
View ArticleMAZUNGUMZO YA AMANI YA KWAMA BURUNDI
Mazungumzo ya mwisho ya kuzima msukosuko wa kisiasa wa Burundi, yamesimamishwa, siku mbili kabla ya uchaguzi wa rais.Waziri wa mambo ya ndani wa Burundi, ameripotiwa akisema, kuwa mpatanishi mkuu,...
View ArticleMABENKI YA UGIRIKI KUFUNGULIWA LEO BAADA YA KUFUNGWA KWA WIKI 3
Mstaafu akiwa amekaa kwenye benchi pembeni ya wateja waliojipanga mstari kuchukua fedha kwenye ATM nje ya benki ya taifa ya Ugiriki tawi la ThessalonikiHii leo mabenki ya Ugiriki yanatarajiwa...
View ArticleKAGAME CUP: AL-KHARTOUM YAFANYA MAUAJI, YASHINDA 5-0
Ikiwa leo ni siku ya 3 tangu ufunguzi wa michuano ya Cecafa kuanza huku mchezo wa ufunguzi ukiwaacha Yanga akipata kichapo dhidi ya Gor Mahia. Mechi ya mchana leo imeikutanisha timu ya Telecom ya...
View ArticleKAGAME CUP: GOR MAHIA Vs KMKM 3-1
Wachezaji wa KMKM ya Zanzibar wakishangilia na kumpongeza Mateo Simon baada ya kufunga goli dakia ya 13 dhidi ya Gor mahia ya Kenya katika michuano ya vilabu Bingwa afrika mashariki Cecafa Kagame Cup...
View Article