Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Sunday Oliseh kocha mpya wa Super Eagles

$
0
0
Timu ya taifa ya Nigeria Super Eagles imempa kibarua cha ukocha nahodha wake wa zamani Sunday Oliseh ( 40).
Oliseh anachukua mikoba ya Stephen Okechukwu Keshi ambaye alitimuliwa mwanzoni mwa mwezi huu.
 Kikosi hicho cha Oliseh  kinatarajiwa kuja Tanzania mapema mwezi wa Septemba mwaka huu katika michuano ya kufuzu kombe la mataifa afrika la mwaka 2017.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles