Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

BREAKING NEWS: BASI LA MAGEREZA LAVAMIWA NA MAJAMBAZI, WAFUNGWA WATOROKA

$
0
0
Habari zilizotufikia jioni hii ni kwamba majira ya jioni leo eneo la Mikocheni TMJ, jijini Dar es Salaam, majambazi wamevamia gari la wafungwa na kulimiminia risasi kisha kuondoka, tukio hilo lilisababisha baadhi ya wafungwa waliokuwa ndani ya basi hilo kutoroka

Picha chini zinaonesha basi hilo lilivyovunjwa vioo







Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles