ROSE NDAUKA NDIE MSANII BORA TENA ANYAKUA TUZO ZA ZIFF TENA
Msanii wa Bongo Movies Rose Ndauka kwa mara nyingine tena ameshinda katika tuzo za ZIFF na kunyakua tuzo ya Best Female Actress katika sinema aliyoandika yeye na mumewe, Malik Bandawe. Ijulikanayo kama...
View ArticleYANGA YAZIDI KUPATA PIGO, DOMOYO ASAINI MKATABA AZAM NA TFF
Mabingwa wa ligi kuu soka Tanzania Bara, Azam Fc ndani ya siku mbili wamefanya usajili wa wachezaji wawili kutoka klabu ya Yanga SC ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mapendekezo ya kocha mkuu,...
View ArticleINATISHA, NI KWELI, MZIMU LIVE (VIDEO) WAMKUMBA JAMAA NA KUMBURUZA
Angalia kipande cha video kinachosambaa sasa hivi kwenye mitandao kinachomuonesha mtu aliyepigwa na kuangushwa na kitu kisichojulikana na wala hakionekani zaidi ya kivuli. Tukio hilo lilinaswa na...
View ArticleTANGAZO LA KONDOM LAONESHA WAPENZI WALIVYOGANDANA, ANGALI VIDEO
Je umeshawahi kupendana kiasi kwamba we na mwenzio mnajisikia kama kitu kimoja? Na hiyo ndio dhana ya tangazo unaloliona hapa katika picha lililoandaliwa na duka la vifaa vya mapenzi la Condomania huko...
View ArticleBREAKING NEWS: MABOMU YALIPUKA NA KUUA KWENYE MABASI MAWILI MFULULIZO
Watu watatu wameuawa na wengine 60 kujeruhiwa vibaya kutokana na mlipuko uliotokea katika mabasi mawili yaliyokuwa yamejaa abiria katika barabara ya Thika, jijini Nairobi. Mlipuko huo ulisababishwa na...
View ArticleNI RASMI: KIM KARDASHIAN NA KANYE WEST NI MKE NA MUME, NDOA IMEFUNGWA
Kanye West na Kim Kardashian kuanzia sasa ni mke na mume rasmi. Wapenzi hao wawili ilibidi wahalalishe muungano wao rasmi kwa bomani kabla ya kuondoka kuelekea Paris nchini Ufaransa kwaajili ya harusi...
View ArticleBREAKING NEWS, AJALI MBAYA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM SASA HIVI
Gari la abiria aina ya Eicher lenye usajili T891CRC baada ya kulipandia gari dogo aina ya Toyota Carina yenye usajili T879ARN katika makutano ya Maktaba katika mataa ya kuongozea magari mapema leo...
View ArticleANGALIA MITOKO YA JANA KATIKA FASHION GALA NIGHT RED CARPET
Hawa ni baadhi ya watu maarufu waliohudhuria kwa kiasi kikubwa katika usiku wa ubunifu wa mitindo ya mavazi katika jumba la makumbusho la sanaa la Metropolitan (Metropolitan Museum of Art’s annual...
View ArticleHUYU RIHANNA NI KICHAA, INSTAGRAM YAFUNGA AKAUNTI YAKE KWA UCHAFU
Siku chache baada ya kuondoa picha yake ya gazeti la Lui Magazine, mtandao wa Instagram ulifuta na kufunga akaunti ya Rihanna, katika akaunti hiyo Rihanna alikuwa na wafuasi milioni 12.8 (shuka chini...
View Article