MCHANGO WA MARIA SARUNGI TSEHAI, MJUMBE BUNGE MAALUMU KWA MWENYEKITI WA BUNGE
Mchango Wangu wa Kimaandishi kwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba - 24 Aprili 2014Mh. Mwenyekiti, naomba nichukue fursa hii nichangie kwa maandishi mjadala unaoendelea bungeni kuhusu sura ya 1 na...
View ArticleKAVUMBAGO, TAMBWE WAJINADI KWA TIMU ZINAZOWAHITAJI, STARS YALALA 3 KWA BURUNDI
Mshambuliaji wa klabu ya Yanga ambao ni washindi wa pili katika ligi kuu ya Tanzania Bara, Didier Kavumbago amesema kuwa hadi sasa hajui mustakabali wake katika timu hiyo kwani mkataba wake umeisha na...
View ArticleZITTO KABWE:Muungano miaka 50 ya Matumaini, Malalamiko, Hofu na Mabadiliko
Haikutarajiwa na mataifa mengi kuwa Tanzania itafika miaka 50 ikiwa moja na Jamhuri ya Muungano. Mataifa ya aina ya Tanzania kama Muungano wa Senegal na Gambia, British Somalia na Italian Somalia...
View ArticlePOLISI: MWANAMKE AUZA DAWA ZA KULEVYA AKIWA ICU
Polisi wanasema, mwanamke mmoja amefanikiwa kuuza dawa za kulevya na kujipatia maelfu ya dola za Kimarekani akiwa hospitali katika chumba cha wagonjwa mahututi. Mwanamke huyo ambaye ni raia wa Marekani...
View ArticleMAAJABU: AKUTWA NA DHAHABU VIPANDE 12 TUMBONI KWAKE
Jopo la madaktari wapasuaji walipigwa na mshangao pale ambapo hawakutegemea wangekuta utajiri ndani ya tumbo la mgonjwa aliyelalamika kuwa na maumivu makali ya tumbo baada ya upasuaji.Mgonjwa huyo...
View ArticleRAIS MSTAAFU WA KENYA AMEFARIKI DUNIA
Taarifa zilizotufikia hivi karibuni ni aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Kenya Daniel Arap Moi amefariki dunia
View ArticlePAPA FRANCIS AWATANGAZA WATAKATIFU WAWILI LEO
Papa Francis amewatangaza Papa John II na John XXIII kuwa watakatifu.Â
View ArticleKIPA WA COASTAL UNION HAITAKI TENA TIMU HIYO
Kipa Shaaban Hassan Kado wa Coastal Union amesema hataoongeza mkataba tena wa kuchezea time hiyo ya Tanga baada ya kumalizika msimu huu na anafungua milango kwa timu nyingine zinazo muhitaji kufanya...
View ArticleMAAJABU YA DUNIA: MTOTO WA MIEZI 5 AOTA MKIA WA INCHI 5, MAMA ACHANGANYIKIWA
Mama mmoja aliwabembeleza madaktari kumfanyia opereshen mtoto wake baada ya kuona anaota mkia ambao mpaka sasa una urefu wa inchi 5. Mtoto huyo mwenye umri wa miwzi 5, alizaliwa na tatizo la uti wa...
View ArticleWATU 683 WAHUKUMIWA KUNYONGWA
Jaji wa mahakama nchini Misri, amewahukumu kifo watu 683 akiwemo kiongozi wa kundi la Muslim Brotherhood Mohammed Badie.Mawakili wa watuhumiwa wanasema kuwa wateja wao walikabiliwa na makosa mengi...
View ArticleMUSIC: JHIKOMAN AENDELEA KUFANYA MAAJABU UGHAIBUNI, ANGALIA VIDEO HAPA
Mwanamuziki mashuhuri wa reggae barani Afrika, Jhikoman & Afrikabisa Band toka Bagamoyo, mkoa wa Pwani, Tanzania anarajiwa kuwa miongoni mwa wasanii wakubwa watakao tingisha onesho kubwa la 5 la...
View ArticleMPOKI WA ORIJINO KOMEDI, AMALIZA ZIARA UJERUMANI, KUREJEA NCHINI
Berlin, UjerumaniMchekeshaji maarufu kutoka nchini Tanzania Muarabu wa Dubai a.ka Mpoki ameondoka nchini Ujerumani kurudi nyumbani Tanzania baada ya ziara yake ya siku 4 kukamilika. Msanii huyo ambaye...
View Article