ANGALIA HII VIDEO UTAKUBALI: HUYU JAMAA NI LEVEL NYINGINE BANA DUH...
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI. . .
View ArticleHAWA MASTAR WA KENYA: NAONA HUKO NAKO HAKUFAI, SIO BONGO TU. . .
Vera Sedeka CHINI NI: Corazon Kwambo KamukamaVera Sedeka na Prezzo backstage shoot ya My Gal
View ArticlePICHA ZA LEO: ANGALIA UBUNIFU, VITUKO NA MATUKIO TOFAUTI HAPA
Kwa wanaoelewa na kukubali michango ya graffiti...Zawadi kwa Prince Saudi Arabia, pikipiki iliyoundwa kwa dhahabu Huyu dada sijui anataka kufanya nini, labdwa utusaidie wewe msomaji, weka comment...
View ArticleUCHUNGUZI: BOKO HARAM WANASAIDIWA NA NIGER, CAMEROON NA CHAD
Uchunguzi wa kina wa BBC umethibitisha kuwa baadhi ya wakazi wa mpaka wa Niger na Nigeria wamekuwa wakishirikiana na wapiganaji wa Boko Haram ili walipwe pesa. Nchi zilizo jirani na Nigeria, kama...
View ArticleEXCLUSIVE: MZEE YUSUPH KUSTAAFU MUZIKI, KUVUNJA BENDI YA JAHAZI BAADA YA...
Mmiliki wa bendi maarufu ya muziki wa taarab ya Jahazi, na muimbaji Mzee “Mfalme” Yusuph(Kushoto), anajiandaa kustaafu muziki. Mzee Yusuph ambaye ameiongoza bendi hiyo ambayo pia aliianzilisha, amesema...
View ArticleDAVID MOYES, ANGALIA RECORD YAKE UKILINGANISHA NA SIR ALEX FERUSON, NANI ZAIDI?
JE, INAWEZEKANA WAMECHEMSHA KUMTIMUA?Katika michezo yao 31 ya kwanza wakiwa Old Trafford, Moyes amefanya vizuri kumzidi Ferguson, Ferguson alipoanza mechi zake 31 za kwanza alifanya vibaya kumzidi...
View ArticleWATU WANNE WAPOTEZA MAISHA KUTOKANA NA MLIPUKO WA BOMU
Watu wanne, wakiwemo maafisa wawili wa polisi, wameuawa jana usiku mjini Nairobi baada ya gari walilolizuia kulipuka, lilipokuwa likielekea katika kituo cha polisi katika eneo la Pangani, jijini...
View ArticleAPANDISHWA KIZIMBANI KWA KUKUTWA NA MIKIA 20 YA TEMBO
TunduruIddi kihambwe Ndomondo (30) wa Kijiji cha silabu Wilayani Masasi Mkoani Mtwara amefikisha katika mahakama ya hakimu mkazi wa Mahakama ya Wilaya Tunduru ili kujibu Shauri la Uhujumu Uchumi linalo...
View ArticleFASHIONISTA: LUPITA AZIDI KUNG'ARA, ANGALIA MITINDO MIPYA HUMU
Juu: Sura ya gazeti toleo jipya la People, Lupita Nyong'o ang'ara katika wanawake 50 warembo zaidiChini : Toleo jipya la stileto hill, la Roberto CavalliJuu: Kim Kardashian akiwa amevaa jeans...
View ArticleRAIS KIKWETE AMCHANA LAIV DKT MWAKYEMBE MBELE YA WAANDISHI (SOMA HAPA)
Rais Jakaya Kikwete amesema kuwa anaumia na kuchukizwa na kitendo cha ongezeko matukio ya dawa za kulevya huku Tanzania ikiwa ndio njia kwa kutumia viwanja vyake vya ndege vya kimataifa (JKNI na...
View ArticleKOCHA WA SIMBA ANAONDOKA LEO USIKU, SOMA HAPA KUJUA HATMA YAKE
Kocha Mkuu wa Simba Zdravko Logarusic (kulia) anaondoka leo saa tatu usiku nchini kurudi kwao kwaajili ya mapumziko nyumbani kwao Croatia .Akiwa katika maandalizi ya safari yake, imedhibitishwa kwamba...
View ArticleMPOKI AWASILI UJERUMANI TAYARI KUSHEREHEA MUUNGANO
Msanii Maarufu nchini Tanzania Muarabu wa Dubai (a k a Mpoki) atua katika Jiji la Frankfurt na kuelekea moja kwa moja katika Jiji la Maraha Aschaffenburg ambapo atalala usiku mmoja na kuendelea na...
View Article