KESI YA TWIGA YAZIDI KUKWAMA, MSHTAKIWA KATOKOMEA KUSIKOJULIKANA
MoshiUpande wa Jamuhuri katika kesi ya utoroshwaji wa wanyama hai zaidi ya 100 wakiwamo Twiga na ndege wa aina mbalimbali kwenda Qatary, umeieleza mahakama kwamba mshtakiwa wa kwanza katika kesi hiyo,...
View ArticleKUNA MVUA KALI ZINAENDELEA, SOMA TAARIFA YA MAMLAKA YA HALI YA HEWA
TAFADHALI ANDIKA MAONI YAKO HAPA CHINI
View ArticleUKAWA YAPANIA KUZUNGUKA NCHI NZIMA, KUELEZA WANANCHI
Dodoma.Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wamepanga kufanya mikutano ya hadhara nchi nzima ili kuongea na wananchi juu ya msimano wao wa kususia Bunge...
View ArticleSERIKALI YATAKA MAELEZO KUTOKA GAZETI LA MAWIO
(Via WAVUTI.COM)Serikali imeagiza gazeti la Mawio kueleza sababu za kupotosha na kukejeli nia njema ya serikali kwa wananchi wake kuhusu Hati ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.Akizungumza jana,...
View ArticleMABADILIKO YA MATUMIZI YA BARABARA JIJINI DAR ES SALAAM, MUHIMU SANA KWA...
MABADILIKO YA UELEKEO WA BARABARA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM KUANZIA SIKU YA TAREHE 28/04/2014. TRAFFIC CIRCULATION AT CBD1. Kipande cha Mtaa wa Samora kuanzia Mnara wa Askari (Askari Monument)...
View ArticleBREAKING NEWS: JESHI LA POLISI NCHINI LATOA TAHADHARI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tunapoelekea kipindi hiki cha sikukuu ya Pasaka, Jeshi la Polisi nchini, linatoa tahadhari kwa wananchi kuwa makini katika suala la usalama wa maisha na mali zao. Uzoefu...
View ArticleFASHIONISTA: LADIES CHECK OUT ROBERTO CAVALLI'S LATEST DESIGNS
TAFADHALI SHUSHA MAONI YAKO HAPA CHINI. . .
View ArticleBREAKING NEWS: HII NDIO NDOA YA PRODUCER PFUNK (ANGALIA PICHA)
Baada ya kufunga ndoa Mr.&Mrs. PFunk Majani Juu: Majani akimvisha pete Hidaya, chini Hidaya na mtoto wao
View ArticleKUNA UKWELI KIASI GANI HAPA: RIDHWANI AMCHANA LOWASA LIVE (SOMA HAPA …)
TAFADHALI ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI. . .
View ArticlePASAKA NJEMA: HAYUPO HAPA, AMEFUFUKA
LUKA 24:6 Hayuko hapa; amefufuka. Kumbukeni aliyowaambieni alipokuwa kule GalilayaLUKA 24:7 `Ni lazima Mwana wa Mtu atolewe kwa watu waovu, nao watamsulubisha, na siku ya tatu atafufuka."
View ArticleWANYAMA: ANGALIA LIVE SIMBA WANAVYOHANGAIKA NA NYATI SERENGETI
TUPIA MAONI YAKO CHINI. . .
View ArticleMASUPER STAR : MPOKI WA ORIJINO KOMEDI KUENDA UJERUMANI
Berlin, Ujerumani.Msanii maarufu nchini Tanzania Kutoka kundi la Orijino Komedi al maarufu kama Mpoki (a k a Muarabu wa Dubai-KUSHOTO) anatarajiwa kuondoka nchini mapema mwanzo wa wiki hii kuenda...
View ArticleCLUB YA SIMBA YAMWAGA SHUKRANI TELE KWA MASHAIBIKI NA WANACHAMA WAKE
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIUONGOZI wa Simba SC unapenda kuwashukuru wanachama na washabiki wake wote hapa nchini kutokana na mshikamano mkubwa waliounyesha wakati wa kuelekea kumalizika kwa Ligi Kuu...
View ArticleKOMBE LA DUNIA BRAZIL 2014: RATIBA YOTE HII HAPA, KUWA WA KWANZA KUIONA HAPA
Kombe la Dunia la 2014 (2014 FIFA World Cup) litakuwa ni shindano la 20 kuwahi kufanyika duniani toka kuanzishwa, ni mashindano ya kimataifa ya mpira wa miguu kwa wanaume. Safari hii litachezwa nchini...
View ArticleBREAKING NEWS: MOYES KUFUKUZWA MAN U, AFURAHIA KULIPWA PAUNI MILIONI 38
DAVID MOYES, Meneja wa Machester United aliyechukua mikoba toka kwa Sir Alex Ferguson, akiwa na furaha kama anavyoonekana katika picha hapo juu baada ya kuambiwa atalipwa kitita cha pauni milioni 38...
View ArticleVIJANA WAZALENDO WA VYUO VYA ELIMU WALAANI VURUGU BUNGENI
TAMKO LA KULAANI VURUGU ZINAZOJITOKEZA KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA.Sisi wanafunzi wasomi katika vyuo vikuu mbalimbali vilivyoko Dar es Salaam (Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM); Chuo Kikuu cha...
View Article