KIM KARDASHIAN APAMBAMBANA NA TEMBO ONA PICHA HAPA
Kim Kardashian ambaye kwa sasa yuko Thiland katika mapumziko akiambatana na familia yake aliponea chupu chupu kushambuliwa na tembo alipokuwa akijipiga picha mbele ya tembo huyo.Alistukia mkonge wa...
View ArticleCHADEMA YATOA TAMKO UCHAGUZI CHALINZE: TUMEHUJUMIWA SANA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kinatoa tamko la awali kwa umma kuhusu ukiukwaji mkubwa wa taratibu, kanuni na sheria zinazosimamia uchaguzi, zilizofanyika kwenye mchakato wa uchaguzi...
View ArticleEDWARD LOWASA ATOA MSAADA MWINGINE, SOMA HAPA
IringaWaziri Mkuu mstafu Edward Lowasa ametoa msaada wa chakula kwa ajili ya kumaliza arobaini ya aliyekuwa shekhe Mkuu wa Mkoa wa Iringa Marehemu Alhaji Ali Juma Tagalile iliyofanyika juzi Nyumbani...
View ArticleHII BALAA: MTOTO WA MIEZI 9 APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUPANGA MAUAJI
Mtoto wa miezi 9 amefikishwa mahakamani kwa kudaiwa kushiriki kupanga mauaji. Mtoto huyo Muhammad Mosa Khan(Pichani Kushoto), pia anashtakiwa kwa kutishia polisi na kuingilia masuala ya taifa. Pia...
View ArticleMAJAMBAZI YATEKA MAGARI YA MAGAZETI, YAFANYA UNYAMA
Iringa Watu wanasadikiwa kuwa ni majambazi ambayo idadi yao haikufahamika mara moja usiku wa juzi wamefunga barabara ya Morogoro -Iringa eneo la Doma na kufanya unyama wa kutisha kwa wasafiri wa...
View ArticleFASHIONISTAS; ELEGANT DESIGN BY ROBERTO CAVALLI
An extreme attention to details and finish are the most important part of the RobertoCavalli collections
View ArticleSIKILIZA WIMBO WA KOMBE LA DUNIA 2014, KAIMBA PITBUL, JLO NA CLAUDIA LEITTE
BOFYA CHINI KUSIKILIZA. . .
View ArticleTWITTER KUBADILIKA, ITAFANANA NA FACEBOOK, ANGALIA ITAKAVYOKUWA
Mitchelle Obama ni kati ya wachache kutumia sura mpya ya twitterMtandao wa Twitter unazindua rasmi mtandao wake ambapo eneo lake la profile litafanana na Facebook, ambapo itakuwa na picha ya mtumiaji...
View ArticleLIVE JINSI SHOWROOM YA MAGARI KARIBU NA MLIMANI CITY INAVYOTEKETEA
BOFYA CHINI UONGE MOTO ULIVYOKOLEA. . .
View ArticleVPL : YANGA NA AZAM LEO VIWANJANI, KUTIMULIANA VUMBI
Michuano ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara inaendelea kesho (Aprili 9 mwaka huu) huku timu za Azam na Yanga ambazo zipo nafasi mbili za juu zikiendelea kuchuana.Azam itakuwa...
View ArticleMCHUNGAJI SAM AWAPA MIMBA MAMA NA MWANA NA KUTOKOMEA
Mchungaji wa kanisa maarufu la dhehebu la Pentekoste, maarufu kama Pasta Sam, inadaiwa sasa hivi hajulikani aliko baada ya kuwapa mimba wanawake wawili ambao ni mama na mwana.Wanawake hao...
View ArticleSTYLE MPYA YA NYWELE ANGALIA HAPA
JE WANAWAKE MNAWEZA KUVAA HII…SHUKA CHINI UTOE MAONI YAKO
View ArticlePICHA ZA LEO: ANGALIA MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdularahman Kinana akiwa Dodoma wiki iliyopita. Jeshi nchini Indonesia, lilipojipanga kutengeneza daraja ili kuokoa waliaokumbwa na mafurkopicha ya ajabu ambayo ilipigwa usiku...
View ArticleYALIYOJIRI KATIKA UZINDUZI WA TAASISI YA KANUMBA
Rais wa Shirikisho la Filamu nchini Simon Mwakifamba katika akiwaonesha mashabiki waliohudhuria uzinduzi wa Kanumba Foundation, uliofanyika katika Ukumbi wa Dar Live jijini Dar es Salaam juzi (kulia)...
View Article